Kampeni ya kuikataa Vodacom

Hahaha kamanda wa TANAPA pole sana hii campaign haijawai kufanikiwa na ilianza siku nyingi hahaha
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
mimi shida yangu sio vodacom pekee, shida yangu ni sisi wabongo. je, tunaweza kweli kuendesha kampeni ya kususia bidhaa au huduma ya kampuni fulani?.

tukumbuke ccm ina hisa ndani ya vodacom. hofu yangu wanaweza kuja na strategy ya kutangaza offer maalum ya vifurushi vya data ili wakabiliane na hii kampeni.
 
Acha mazoea binadamu hubadilika,ndiyo maana mnafanya vitu kwa mazoea mkiamini watanzania ni wajinga.
Wewe ndiye unayetakiwa kuacha mazoea ya ujinga wa kuona swali na kulisoma kama statement.

Kuna activism kibao twitter ambazo hazijawa translated into real life.

Unaposema "mnafanya vitu" unakusudia mimi na nani?

Habari yoyote itakayoanza na "Watanzania ni ..." kama si tautology ni uongo.
 
Uamuzi bora kabisa waambie na marafiki, ndugu, jamaa na majirani pia Mkuu.


 
Mtahama Vyumba tu,ila mjue nyumba ni ileile na mwenye nyumba ni yule yule
 
Voda ni kama maji! Usipoyanywa utaoga!

Watanzania wa natumia mitandao kulingania na huduma zao, kwa akili yako unafikiri kuna watanzania wangapi wataacha voda sababu ya huu ujinga wenu wa siasa? Yani eti kwa vile Membe au Nape kadukuliwa basi sitymii voda?

Uijinga mtupu. Hata mnaocoment hapa hakuna hata aliye acha hiyo laini
 
Ila kwakweli hata matapeli wengi wa mitandao wako sana vodacom, wale wa mara pesa imetumwa kwako kimakosa, tuma ile pesa kwenye namba hii na meseji za ndagu hutaviona kwingine ispokuwa vodacom
 
Mtoa mada kasema kuhusu Msigwa au Lema? Nyie ndiyo mnafanya wanawake waonekane wana upeo mdoga kwa sababu ya watu kama wewe
Kijana, kama hujui Lema alishawahi leta kampeni kama hii ikahanikizwa na kamanda wenu Mange na iliishia patupu,

Watanzania wa natumia laini za simu kulingania na huduma zao siyo kwa sababu na fulani anatumia,

Ilipikuja halotel wengi tume nunua laini yao sababu ya huduma zao kuwa nafuu! Wakizingua tu naachana nayo haijalishi ni mtandao gani. Huduma zao ndio zitaamua tuendelee kutumia au tupumzike, siyo sababu ya huo upuuzi wenu m
 
Chochote nisichokusudia kisikiwe na MTU asiyetarajiwa nami ni siri yangu bila kujali mtazamo wako ndugu
Sasa wewe udukuliwe kwa lipi hasa?
Unafikiri kama una mambo ya kijinga ukienda mtandao mwingine utakuwa salama?
 
😂😂 this is funny ...na akina mwaju
 
Sijui Kama Mshana Jr amepitia hii post.. sijui
 
Kwa akili yako kuna watu wameigomea voda?
 
Umeeleweka vizuri kwa vile vodacom ina wateja wengi kuliko makampuni mengi ya simu...udukuzi sio tu kwamba ni virus kwa wateja ila pia ni risk kubwa kwa kampuni kupoteza wateja....ila wakisikia wasikie wasiposikia wasisikie ...ila picha kwenye anvatar wakiona watapuuza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…