Kampeni ya kuikataa Vodacom

Zima yako au na wewe uichome moto kama huyo mwathrika wa bisibisi
Nadhani ipigwe kampeni wateja wa voda wazime simu zao kwa siku mbili tuu. Iwe fundisho kwa huu mtandao.
Kwanza huduma zao ni ghali ukilinganisha na mitandao mingine halafu bado wana fanya ushenzi.
 
Kujipambanua sio excuse! Muhimu ni kujiuliza ikiwa walifanya hayo kwa mujibu wa sheria! Kama haikuwa kwa mujibu wa sheria, walikuwa na haki ya kugoma, na ikibidi kwenda hata mahakamani! Kwamba hata akina Tigo nako huenda kukawa na matatizo bado hiyo haiwezi kuwa hoja; kwa sababu huyo Vodacom tayari imeshathibitika!
 

nani kasema wametoa taarifa za wateja?
 

aliyesema wanatoa siri za watu ni nani?
 
aisee, unazungumza kwa confidence ya ajabu!...kama una akili vile
Acha matusi, kwa sababu matusi hayauzwi! Uungwana ndio unakupasa kukuongoza kwenye majadiliano! Haya matakataka yako hapa chini sijayasoma kwa sababu siwezi kupoteza muda kusoma kilichoandikwa na mtu asiyejiheshimu!!
 
Sawa ila sisi ilipo vida na sisi tupo. Msituletee siasa kwenye biashara. Voda ina wateja zaidi ya 10m ukiondoka wewe haina shida
 
aliyesema wanatoa siri za watu ni nani?
NImesema sina muda wa kujadiliana na watu wa aina yako! Nilidhani ni muungwana vinginevyo nisingepoteza hata huo muda kuandika post yangu ya kwanza kwako!
 

Awakupaswa kutoa taarifa au siri za mteja pasipo kibali cha mahakamani.Namba ya ben8 imepewa MTU mwingine still jalada La uchaguzi halijafungwa,kama wanashindwa Linda taarifa zetu kuwapa wasiojulikana si haki kuwaamini.
 

Vodacom kafanya kosa,then unasema tufanye hajafanya kosa eti sababu hatujui mitandao mingine ipo compromised kiasi gani!

Again ni upumbavu ule ule kufanya moral equivalencies!

Kwamba fulani kafanya kosa basi sio kosa sababu huenda mwingine kafanya kosa hilo hilo!

Jamii ya manyani matupu!

Monkey see monkey do!

Vodacom kashikwa anaisaidia regime kuonea wanyonge!

Tayari damage has been done!Deal with it Vodacom!

Yarayarayarah...cry me a river!

Fvck outta here!
 

Pasipo mipaka lzm upoteze wateja,
 

Mkuu hao Vodacom hawatoi habari za wateja wao kwa ridhaa yao bali ni kwa kulazimishwa.
 
Vodacom wachukulie bendi ya TOT kama angalizo , ukitumiwa na ccm ni lazima uadhirike na kufirisika tu
 
umeandika upumbavu gani ??na wewe ukitaka kubaki baki kimya kimya.......wadukuzi ni voda tu wengine unawajua wewe na uzwazwa wako!voda ni makaburu warudi kwao Tanzania hatuwataki tena!
Pole sana mkuu,Kutukana ndo umeona suluhisho naeudia tena pole sana kizazi kisichokuwa na hekima na kutomwogopa Mungu, kinatukana ndo kinaona suluhisho kifupi tu usilazimishe tufanane mawazo
Narudia tena pole sana,Mungu akusaidie
 
Statistics zinaonyesha VODACOM ndio inaongeza wateja zaidi wiki hii baada ya kushambuliwa..
Maadui zako ndio wanaokupa promo wakidhani wanakuchafua 😁 😁
 
halafu mpaka wasomi kabisa na akili zao, eti....wanaacha kutumia VODA!!! wakati ni mitambo ya TCRA na makampuni yote wanafanya hivyo

Ishu sio mitambo kosa ni kuvujisha taarifa za watu public ni kukiuka Sheria za faragha ambapo wasipokuwa makin kukubali kuwafurahisha washamba wataishia kuburuzwa mahakamani na kulipa watu pesa mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…