Kampeni ya kuikataa Vodacom

Eti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Yeye na sisi tusio na PHD alizosema Musiba
 
Hivi kuna watu bado wanatumia voda?
Uko mkoa gani mkuu?
 
Mi niliacha kutumia baada ya kunifanyia uhuni zaidi ya mara tano kwenye kununua bando la elfu kumi,,,baada ya muda mfupi wanakutumia meseji kwamba bando lako la elfu tano limekwisha....pambaf kabisa
 
Umeongea la maana mkuu. ila watu hawaelewi,wanaendekeza siasa tu.
 
Hawa ni Vodacom waacha wafie mbali,wanashirikiana na watu wasiojulikana kuwateka watanzania hawa vodacom ni wauaji watatumaliza tuwaepuke hatuko salama.
Kwa hyo mitandao mingine ikiombwa hzo taarifa na serikali, huwa wanakataa?
 
Twende na simple logic, 1% ya 10M subscribers ni wateja wangapi? Kama kwa mwezi kila mteja akiweka vocha ya 1000 tuu ni pesa ngapi inaingiza hiyo 1%?
Hameni peke yenu, bila kutushawishi..
 
Nawaona vodacom wanavyosoma comments zenu kisha waone jinsi gani watajisafisha
 
Una ushahidi au unawashwa kwenda jela tu?
 
Lazima mjue Rostam karudi nchini na ni mwanaccm.
Voda tanzania inamhusu.
La msingi ni kuomba msaada wa kisheria kuishtaki kampuni ya vada Tz kwa mmiliki mkuu kanda ya afrika.
Ni makosa sana kumwamini fisi kulinda bucha.
Uhalifu lazima ufatiliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…