Ningefurahi sana kama wote tunao miliki line za VODA tungefanya kama wewe hapa, of course mi nimeisha fanya ivyo, mambo yote yapo line zingine, VODACOME tupilia mbali kule. Hawaheshimu privancy za watu na sisi tuwaadhibu kwa njia hiyo tu, periodHii ndo faida ya musiba wengine walikuwa hawajui kwamba kupayuka kwake kutaleta faida. Line ya voda tupa kulee fyekelea mbalii
Bora nimejua kumbe nikinunua bando nachangia CCM, asante kwa kunisaidia hilo.Watanzania wanashangaza sana.
Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.
Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.
Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Umekurupuka jombaa...Siku zingine jitahidi uwe unatumia vyema Akili zako hasa ukija hapa The Home of Great Thinkers tafadhali. Hilo ambalo unadhani limefanywa tu na huo Mtandao ambalo umekuja nalo kwa Mhemko hapa pia huwa linafanya hata na Mitandao mingine mikubwa kama Tigo na Airtel na Mifano yake ipo wazi isipokuwa tatizo Kubwa la Watanzania si Wafuatiliaji wazuri wa mambo, hamjui Kutunza Kumbukumbu na ni Watu wanaopenda Kukurupuka na si ajabu ndiyo maana huko nje tunadharaulika mno na waliotuzidi Akili.
Ungekuwa unajua ya kwamba haya Makampuni yote ya Simu nchini yapo chini ya Serikali na kwa Msaada mkubwa wa Kiudhibiti kutoka TCRA wala usingekuja na huu Uzi wako ulio na Hoja Nyepesi kama siyo ya Kipuuzi. Halafu msisahau ya kwamba kuna hatua zingine zinaweza zikawa zinachukuliwa dhidi ya Mtu kwa ajili ya Usalama wa Taifa letu na hata Sisi Wananchi wake ila bahati mbaya sasa hivi kila Jambo la Muundo huo kama uliomtokea huyo Mtu likitokea haraka sana lawama zenu mnazielekeza katika Mamlaka ila huwa hamtaki Kujua ya upande wa Pili.
Namalizia tu kwa Kukuambia kuwa KUNA UNAYOYAJUA NA YALE USIYOYAJUA na msije Kuona Watu wanakurupuka tu.
We utajua nini kwenye ulimwengu wa watu wenye akili wakati akili zako ziko kama jina lako tu. Ambacho ni kiungo cha sehemu nyeti za mwanamkeNyie ndio mnatumika na mabeberu,haya nenda kwenye kampuni za simu za mabeberu
Bora mitandao ya mabeberu ambao hawawezi kukubali kutumika kukublock ili utekwe na mapolisiCCM kama VODA walivyofanya kwa Kabendera.Nyie ndio mnatumika na mabeberu,haya nenda kwenye kampuni za simu za mabeberu
Hukumbuki lile sakata la Tala ilivyokuaKwa kitendo chenu cha kudukua mawasiliano ya akna Membe mmejitia KITANZI wenyewe . Watu maelfu wanaendelea kuwaacha, hamfai na mko hovyo.Mimi nimeshaweka chip yenu pembeni.
Hii si mara ya kwanza.nyumbu kuhamasishana kukataa vodaMi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Amri halali lazima Jaji apitishe sio mtu anajiamkia asubuhi anasugua pvmbv zake tu anavamia simu za watu!Customer privacy and cookies policies za makampuni ya simu zinasemaje kuhusu kutoa taarifa kwa third party? Mara zote matakwa yanayopewa na serikali kutekeleza yanakuwa ndani ya ile inayodaiwa ni sheria ya usalama ya nchi husika. Wao ni nani hata wakatae kutii "amri halali" waliyokubali kuitii walipoomba leseni? Vodacom wanajuaje kuwa nyuma ya amri hii kuna utekaji unaoenda kufanyika? Mnataka ku-victimize bure kampuni ya watu badala ya kupigia kelele matumizi mabaya ya sheria halali.
Ndio li kampuni ambalo tuliambiwa linamilikiwa na RostamKwa hiyo VodaCom wanawiwa kukisaidia chama cha CCM hata kwa kuvunja sheria? Kama ndivyo hili kampuni ni majanga.
Kwa kitendo chenu cha kudukua mawasiliano ya akna Membe mmejitia KITANZI wenyewe . Watu maelfu wanaendelea kuwaacha, hamfai na mko hovyo.Mimi nimeshaweka chip yenu pembeni.