Kampeni dhidi ya Mkapa asishinde Tuzo ya uongozi bora

mie niko tofauti na mwafrika wa kike,there iz no person who is perfect bt mkapa has done excellent in the development of this country,rejea post ya AUGUSTINE mosha alivyodadafua kati ya JK na BEN..
AS LONG AS AM A TANZANIAN,NAMSUPPORT FISADI MKAPA ,ataieletea sifa nchi yetu..
 
Masatu,
Mawazo yako ni yapi?... maanake sioni kitu unachoandika zaidi ya kurudia maneno ya watu na kuyaweka wino mwekundu..kisha unauliza tena kuhusu maelezo hayo ukitaka ushahidi!.. Nothing else yaani hakuna mtu hapa anayesikia hoja toka upande wako.. mathlan kama unapinga Utawala wa Mkapa kuhusika na kifo cha Dr. Omar tuambie wewe kilitokea nini kisha watu wanaweza pima uzito wa hoja yako. Otherwise sijawahi kukuona ukiandika mawazo yako mwenyewe ila kazi yako ni kupinga tuuu..kwa kunukuu maelezo ya watu wengine..
Kwa mara nyingine mjomba unachemsha wewe, Watanzania wote tunaendelea kuwaita hawa jamaa MAFISADI kwa maana tunayoifahamu sisi kwa hiyo hulazimishwi kumkubali mtu hapa sii Butiku, Mwinyi wala Mkandara.
 
Bubu,Rwabugiri,Mkandara,tz-devil,KadaMpinzani,Masatu,

katika kila awamu ya serikali za Tanzania kumetokea matatizo yaliyosababisha wananchi kupoteza maisha kutokana na msuguano na vyombo vya dola.

wakati wa Nyerere wako waliopoteza maisha kutokana na operesheni vijiji. vilevile kulitokea matatizo Shinyanga. Mwinyi alipokuwa madarakani kulitokea machafuko Kilombero. Mkapa naye ktk awamu yake tumepata matatizo Mwembechai na Pemba.

Pamoja na hayo yote Maraisi wetu hawajafikia kiwango cha kuitwa WAUAJI. Vilevile Maraisi wetu hawajafikia daraja la UDIKTETA.

Hizi hoja za Mafisadi ni kama mchuzi wa Mboga. Sasa naomba waandaaji msizidishe CHUMVI mkakosa walaji. Nadhani mmenielewa.

NB:
kuna aliyedai ati pamoja na kwamba Raisi alikuwa nje ya nchi wakati wa mauaji ya Pemba, lakini anakuwa briefed. Sasa ktk mazingira kama yale ya polisi kufyatua risasi alikuwa briefed kitu gani na wakati gani?

Kwanini Mkapa ndiyo abebe lawama zote? What is Karume's responsibility in this case? How about Dr.Omar who was the acting President at the time?

Watendaji wakuu wa Polisi Zanzibar wanateuliwa na Raisi wa Zanzibar. Hata ripoti ya Hashim Mbita ilitaja majina mengi ya Makamanda wa Polisi walioshiriki na inaelekea wanatokea ZNZ.
 
Jokakuu,
Tatizo la mada hii ni kuwepo tuzo ambalo lkinatakiwa kupewa rais kwa sababu ya UONGOZI BORA!..
Wakati wa Nyerere watu walikufa kutokana na majanga yaliyosababishwa na siasa yenyewe! Utekelezaji wa siasa hiyo ulikuwa mbaya na siasa yenyewe lakini yote haya hayakuwa makusudio ya Nyerere wala utawala wake kuua.
Wakati wa Mwinyi pia kulitokea uzembe wa viongozi wapinzani kuuawa kwa sababu ya kupingana na mrengo wa chama. Mwinyi also was weak, kuna watu waliuawa under his watch, lakini Mwinyi hayupo ktk list ya viongozi wanaogombea tuzo ama nafasi hiyo ya Uongozi bora. Na nakuhakikishia hata kama angekuwa Mwinyi ktk nafasi hiyo ningesema ukweli daima. Kwa hiyo nachofanya mimi hapa sichagui mtu kwa jina lake ila mabaya ya Uongozi wake. Na hoja ilyopo hapa ubaoni ni TUZO hilo kama Mkapa analistahili.. nothing else!
Wapo viongozi Africa waliokuwa wabaya na walioharibu kuliko Mkapa...
 
Jokakuu, umeainisha hoja yako barabara ! Maswali uliyouliza ni mazuri sana tena sana, na kwa kuwa hii ilikuwa kampeni ya kuchafua mambo fulani fulani so usishangae kuona hayo maswali uliyoulizwa yakakaa bila ya kujibiwa !

Ningesema mengi sana kutokana na kuuliza maswali yako, lakini i take it easily maana these questions will never be asnwered, and if answered, they will not be appropriate !

Hapo nimekuamini Jokakuu !
 
Jokakuu,
Tatizo la mada hii ni kuwepo tuzo ambalo lkinatakiwa kupewa rais kwa sababu ya UONGOZI BORA!..
Wakati wa Nyerere watu walikufa kutokana na majanga yaliyosababishwa na siasa yenyewe! Utekelezaji wa siasa hiyo ulikuwa mbaya na siasa yenyewe lakini yote haya hayakuwa makusudio ya Nyerere wala utawala wake kuua.
Wakati wa Mwinyi pia kulitokea uzembe wa viongozi wapinzani kuuawa kwa sababu ya kupingana na mrengo wa chama. Mwinyi also was weak, kuna watu waliuawa under his watch, lakini Mwinyi hayupo ktk list ya viongozi wanaogombea tuzo ama nafasi hiyo ya Uongozi bora. Na nakuhakikishia hata kama angekuwa Mwinyi ktk nafasi hiyo ningesema ukweli daima. Kwa hiyo nachofanya mimi hapa sichagui mtu kwa jina lake ila mabaya ya Uongozi wake. Na hoja ilyopo hapa ubaoni ni TUZO hilo kama Mkapa analistahili.. nothing else!
Wapo viongozi Africa waliokuwa wabaya na walioharibu kuliko Mkapa
...

Nimepigia mstari kwa maneno ya bluu kuashiria nimefurahia sana hoja yako na ni matumaini yangu wengi wakaelewa unachosema mkuu ! angalau kuna mambo viongozi wetu hukosea lakini haimaniishi wasipate tuzo !
Big up !
 
mie niko tofauti na mwafrika wa kike,there iz no person who is perfect bt mkapa has done excellent in the development of this country,rejea post ya AUGUSTINE mosha alivyodadafua kati ya JK na BEN..
AS LONG AS AM A TANZANIAN,NAMSUPPORT FISADI MKAPA ,ataieletea sifa nchi yetu..

Mbona hata mie namsapoti Mzee Benny bigi taim tu !
 
Masatu,
Mawazo yako ni yapi?... maanake sioni kitu unachoandika zaidi ya kurudia maneno ya watu na kuyaweka wino mwekundu..kisha unauliza tena kuhusu maelezo hayo ukitaka ushahidi!.. Nothing else yaani hakuna mtu hapa anayesikia hoja toka upande wako.. mathlan kama unapinga Utawala wa Mkapa kuhusika na kifo cha Dr. Omar tuambie wewe kilitokea nini kisha watu wanaweza pima uzito wa hoja yako. Otherwise sijawahi kukuona ukiandika mawazo yako mwenyewe ila kazi yako ni kupinga tuuu..kwa kunukuu maelezo ya watu wengine..
Kwa mara nyingine mjomba unachemsha wewe, Watanzania wote tunaendelea kuwaita hawa jamaa MAFISADI kwa maana tunayoifahamu sisi kwa hiyo hulazimishwi kumkubali mtu hapa sii Butiku, Mwinyi wala Mkandara.

Mkandara, mawazo yangu ni kuwa unapotosha umma unaposema Mkapa alihusika na kifo cha Dr Omar na katika hili wala sijataka ushahidi kwani nafahamu fika kuwa si kweli hata Dr wake marehemu Dr Mohammed Bakari ambaye ndiye aliemfia mikononi na mtu ninae fahamiana nae. Nilichotaka uniambie ni motives behind Mkapa kumuua Dr Omar Juma ili iwe nini? badala ya kujibu hoja unamshambulia mtoa hoja ooh hatoi mawazo yake kazi yake kukosoa tu, kama hutaki kukoselewa iweje unakuwa mstari wa mbele kuwakosoa hao unaowaita "Mafisadi" kila uchao?

Sasa unaleta hoja eti nikwambie kilichomtokea Dr Omar mpaka akafariki here we go...

Tanzanians bury vice-president
Tanzanians are shocked by the news

President Benjamin Mkapa and foreign dignitaries have attended the funeral of Vice-President Dr Omar Ali Juma who died of a heart attack.
Dr Juma's body, which had been lying in state in the Tanzania capital, Dar es Salaam, was flown to his native island of Pemba, where he was buried.

Flags throughout Tanzania are flying at half mast and parliament has suspended business for two days.

Sixty-year-old Dr Juma was the chief minister of Zanzibar for the ruling CCM party before moving to Dar es Salaam, to become President Benjamin Mkapa's running mate in the 1995 elections.

Haya Mkandara tuletee ya kwako ya Mkapa kumuua Dr omar.....
 
Masatu,
Mawazo yako ni yapi?... maanake sioni kitu unachoandika zaidi ya kurudia maneno ya watu na kuyaweka wino mwekundu..kisha unauliza tena kuhusu maelezo hayo ukitaka ushahidi!.. Nothing else yaani hakuna mtu hapa anayesikia hoja toka upande wako.. mathlan kama unapinga Utawala wa Mkapa kuhusika na kifo cha Dr. Omar tuambie wewe kilitokea nini kisha watu wanaweza pima uzito wa hoja yako. Otherwise sijawahi kukuona ukiandika mawazo yako mwenyewe ila kazi yako ni kupinga tuuu..kwa kunukuu maelezo ya watu wengine..
Kwa mara nyingine mjomba unachemsha wewe, Watanzania wote tunaendelea kuwaita hawa jamaa MAFISADI kwa maana tunayoifahamu sisi kwa hiyo hulazimishwi kumkubali mtu hapa sii Butiku, Mwinyi wala Mkandara.

Masatu said:
Haya Mkandara tuletee ya kwako ya Mkapa kumuua Dr omar.....

Am I correct?
 
NANI ATASHINDA TUZO YA MO IBRAHIM?

Imeandikwa na BBC London.21.10.07
Hii ni mara ya kwanza kwa tuzo ya Mo Ibrahim kutolewa.
Sikiliza Leo Afrika

Siku ya Jumatatu, mfuko wa Mo Ibrahim [Mo Ibrahim Foundation], utatangaza jina la mshindi wa tuzo ijulikanayo kama Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership, inayotolewa kwa mara ya kwanza kwa kiongozi bora mstaafu barani Afrika.
Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, mwenyekiti wa kamati ya tuzo hiyo, atatoa tangazo mbele ya vyombo vya habari vya kimataifa, wawakilishi maswala ya kijamii na wanabalozi kwenye ukumbi wa City jijini London.

Kamati hiyo imefanya tathmini na kutafakari kwa sifa walizonazo viongozi wastaafu wa mataifa 13 ya mataifa ya Afrika, wengi wao wakiwa wameondoka madarakani katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Je unadhani tuzo hiyo ina manufaa yoyote kwa nchi za Afrika?

Tuzo hiyo ni wazo la Mo Ibrahim, mfanyabiashara milionea wa kampuni za simu za mkononi, ambaye anadhamini mradi huo kwa matumaini kwamba utatoa changamoto kwa viongozi wa serikali za Afrika; ili siku moja wananchi wao waishi bila kutegemea misaada.

Washindani:

Miongoni mwao ni wale ambao jopo lolote makini halitawazingatia, kwa kufanya hivyo watalichafulia jina bara la Afrika.

Sita kati yao walikuwa wameingia madarakani kwa njia ya mapinduzi; na baadhi yao walingolewa katika utawala kwa nguvu.Abdiqasim Salad Hassam wa Somalia, hakuwa na taifa rasmi la kuongoza.

Lakini wapo viongozi makini miongoni mwao, Benjamin Mkapa wa Tanzania anayesifika kwa kujenga uchumi wa taifa lake.

Lakini mfano unaong'ara zaidi ni Joachim Chissano aliyeitoa Msumbiji katika vita vya wenyewe vya wenyewe na kuimarisha amani na uchumi.

Mwingine ni Domitien Ndayizeye wa Burundi aliyefanya kazi ya kuisuluhisha nchi yake kati ya wahutu na watutsi

Malengo;

Tuzo ya Mo Ibrahim ilianzishwa kutambua ufanisi wa uongozi wa mataifa ya Afrika.

Viongozi wote wastaafu kutoka nchi za kusini mwa Afrika walioondoka madarakani miaka mitatu awali wanakuwa na sifa ya kuzingatiwa na kamati hiyo.

Tuzo hiyo itakuwa na thamani ya dola 500,000 kila mwaka kwa kipindi cha miaka 10, na dola 200,000 kila mwaka baada ya hapo.

Je unadhani tuzo hiyo ina manufaa yoyote kwa nchi za Afrika?
Tuandikie maoni yako ambayo tutayasoma katika mojawapo ya matangazo yetu.www.bbc.co.uk/swahili
 
Jamani sisi kama Watanzania -tufike mahali- tuweke utaifa wetu mbele- mengine nyuma! Watu wa mataifa mengine hawataelewa juu ya maoni kama haya!
BWM tumwombee Mungu ili atutoe kimasomaso Watanzania this time! Ishallah atapata tuzo! Dua la Kuku Halimpati mwewe!
 
Mzalendohalisi naomba usome tena hiyo signature yako kisha oanisha na unachotuambia hapa tafadhali.....LOL
 
Signature ni juu ya uadilifu ni kweli!
The issue is- BWM (mstaafu) hafai kupewa tunzo la Wastaafu Afrika kwa kuwa alikuwa sii mwadilifu!
Wastaafu wasiokuwa waadilifu Afrika ni wengi! BWM alikuwa bora kuliko akina Muluzi, n.k.
Kwa hili Watz- utaifa mbele- Tanzania BWM tumwombee kwanza ashinde tuzo! Hii ndo point yangu!
 
Mzalendo hapo unatatwanga maji kwenye kinu! Tusubiri "mtakatifu" Mbowe akae ikulu 10? years harafu ashinde MO award..
 
Habari za kuaminika lakini ambazo hazijathibitishwa toka katika vyanzo vyangu vya habari aliyeshinda ni Chissano. Kama kuna ukweli na habari hii basi Watanzania wapenda viongozi waadilifu watafurahia sana, kwani hakuna hata kigezo kimoja katika kuamua mshindi wa zawadi hiyo ambacho kimetimizwa na Mkapa. Na angeshinda huyu jamaa ndio kiburi kingezidi sana.
 
Habari za kuaminika lakini ambazo hazijathibitishwa toka katika vyanzo vyangu vya habari aliyeshinda ni Chissano. Kama kuna ukweli na habari hii basi Watanzania wapenda viongozi waadilifu watafurahia sana, kwani hakuna hata kigezo kimoja katika kuamua mshindi wa zawadi hiyo amabcho kimetimizwa na Mkapa. Na angeshinda huyu jamaa ndio kiburi kingezidi sana.

Kaka Bubu Ukweli wa mambo ni kwamba Mshindi bado hajachaguliwa,Mpaka mchana wa Jumapili kwa saa za London ni majina matatu kati ya 13 yaliyowakilishwa yanapewa nafasi sawa ya ushindi,mmoja kati ya hao Viongozi watatu jina la Mzee Mkapa lipo.Mwenyekiti Annan atamtangaza Mshindi kesho asubuhi kwa saa za London (11:00 Local Time),ambako kwa US itakuwa alfajiri ya saa kumi na moja.Ngoja tusubiri,lakini ni kweli kwamba pia Mkapa anazungumzwa sana kupata Tuzo hilo!!!
 
Masatu,
badala ya kujibu hoja unamshambulia mtoa hoja ooh hatoi mawazo yake kazi yake kukosoa tu, kama hutaki kukoselewa iweje unakuwa mstari wa mbele kuwakosoa hao unaowaita "Mafisadi" kila uchao?
Ebu rudia kusoma maelezo yako mwenyewe kisha nambie hapa umesema kitu gani hasa!..
Kama sitaki kukosolewa kwa nini nawakosoa hao wanaoitwa Mafisadi?.. Ni jambo gani nimewakosoa ama huelewi maana ya Kukosoa!.. Hakuna maandishi ama usemi waliotoa wenye madai tofauti na ukweli unaosemekana...
Kisha tunaoandika hapa ni sisi yaani mimi na wewe imekuwaje niwakosoe watu wasiosema ama kuandika kitu, Mjomba vipi?
Nacho kusisitiza wewe kama kweli umeongea na huyo Daktari wa marehemu na mtu wako wa karibu andika alichokuambia!..weka maandishia hapa kama sio habari za kina Sokoine, Mwaikambo, AC ambazo mnasisitiza vifo bila uchunguzi nje ya wataalam wa serikali.
Unaponiuliza mimi sababu ya serikali ya Mkapa kufanya hivyo nashindwa kabisa kukuelewa kwani hata alipofungua ofisi ya biashara Ikulu ama alipoiba fedha za Umma siwezi kujua sababu yake hasa maanake kama ni Utajiri basi fedha alokuwa akilipwa kama rais ilitosha kabisa kumtajirisha.
Kitu kimoja tu ikiwa kweli Mkapa ni mkweli na mwenye sifa usozisema mbona anashindwa kujibu tuhuma za Ufisadi akisema ni siasa!... Lini umesikia wizi wa mali ya Umma iwe siasa! na imekuwaje wanaomfuata sasa hivi ni wana CCM wenzake hizo siasa zimetoka wapi?
Bro, jaribu kuwa mkweli pale panapostahili na hata kama unapinga usiwe na lugha ya ki CCM ambayo leo hii haieweki kwa Watanzania walio wengi. Unapokana tuhuma ama mashtaka at least unakuwa na ALIBI ya wapi ulikuwa wakati tuhuma hizo zilitokea sio kukataa tu ukisema ni uongo hali ukweli pia huna.
 
Yaani wewe naona hujui hata unachoandika! Hivi Watanzania wana sababu gani ya kumchukia Mkapa kiasi hicho!? Mbona Mwalimua aliyeng'atuka tangu 1985 miaka 22 iliyopita mpaka leo ni kipenzi kikubwa cha Watanzania walio wengi. Watanzania sio wapumbavu, Mkapa ndio aliongeza kwa kiasi kikubwa makusanyo ya kodi lakini Watanzania hawakunufaika na lolote kutokana na makusanyo hayo.

Ni kama baba anayetamba mtaani kwamba yeye ndio mwenye mshahara mkubwa pale mtaani, lakini pesa zake zote zinaishia nyumba ndogo, nyama choma na moja moto moja baridi na watoto wake wamedhoofu kwa kukosa lishe bora. Kuna ushahidi wa kutosha unaonyesha kwamba hakuwa Mr Clean kama alivyotaka Watanzania waamini.

Hivi kaka unayejua ya kuandika. Ukiulizwa uchague uongozi wa JK na wa BWM utachagua upi? kuwa muwazi. Mkapa alikuwa na mapungufu kama viongozi wengine lakini ni afadhali sana. Kabla ya kuingilia personal attacks inatakiwa uwe na vission, otherwise unayoandika yanaweka kuwa unajiandika mwenyewe!
 
Masatu,

Ebu rudia kusoma maelezo yako mwenyewe kisha nambie hapa umesema kitu gani hasa!..
Kama sitaki kukosolewa kwa nini nawakosoa hao wanaoitwa Mafisadi?.. Ni jambo gani nimewakosoa ama huelewi maana ya Kukosoa!.. Hakuna maandishi ama usemi waliotoa wenye madai tofauti na ukweli unaosemekana...
Kisha tunaoandika hapa ni sisi yaani mimi na wewe imekuwaje niwakosoe watu wasiosema ama kuandika kitu, Mjomba vipi?
Nacho kusisitiza wewe kama kweli umeongea na huyo Daktari wa marehemu na mtu wako wa karibu andika alichokuambia!..weka maandishia hapa kama sio habari za kina Sokoine, Mwaikambo, AC ambazo mnasisitiza vifo bila uchunguzi nje ya wataalam wa serikali.
Unaponiuliza mimi sababu ya serikali ya Mkapa kufanya hivyo nashindwa kabisa kukuelewa kwani hata alipofungua ofisi ya biashara Ikulu ama alipoiba fedha za Umma siwezi kujua sababu yake hasa maanake kama ni Utajiri basi fedha alokuwa akilipwa kama rais ilitosha kabisa kumtajirisha.
Kitu kimoja tu ikiwa kweli Mkapa ni mkweli na mwenye sifa usozisema mbona anashindwa kujibu tuhuma za Ufisadi akisema ni siasa!... Lini umesikia wizi wa mali ya Umma iwe siasa! na imekuwaje wanaomfuata sasa hivi ni wana CCM wenzake hizo siasa zimetoka wapi?
Bro, jaribu kuwa mkweli pale panapostahili na hata kama unapinga usiwe na lugha ya ki CCM ambayo leo hii haieweki kwa Watanzania walio wengi. Unapokana tuhuma ama mashtaka at least unakuwa na ALIBI ya wapi ulikuwa wakati tuhuma hizo zilitokea sio kukataa tu ukisema ni uongo hali ukweli pia huna.

Mkandara kama hujui maana ya kukosoa kaangalie kweney kamusi! teh teh teh....

Back to the mada tuambie kilichopelekea Mkapa kuhusika na kifo cha Dr Omar Juma acha kuruka ruka!
 
Back
Top Bottom