Mi nadhani nianze na Mo Ibrahim, as a Businessman, yeye ni NANI hadi apate nafasi ya 'kuwapanga mstari' viongozi wa Afrika katika misingi sijui ya demokrasia na nini?
I mean, huyo mfanyabiashara binafsi ni msafi kiasi gani hadi athubutu kutoa hiyo tuzo? maana mimi sioni kingine zaidi ya ubeberu tu hapa, asiwadanganye mtu, siasa zinatofautiana, from one place to another, and what democracy means, pia ni tofauti,
Na je, kwa nini zikatolewa London na sio makao makuu ya AU kwa mfano? hizo bilioni tano si angeanzia kwao Darfur ambako watu wanateseka, huena zingewasaidia hata maji ya kunywa, kuliko kumpa mtu mmoja ambaye tayari yuko better off? Raisi gani kastaafu masikini ukiacha wale wa enzi ya Nyerere?
Mi naona hapo kuna ubeberu wa kifikra tu, 'wakubwa' wanaendelea kutufundiha nini maana ya demokrasia, huku wao wenyewe utekelezaji wao wa demokrasia ukitia shaka....
Masatu,
Huna mpya kaa pembeni dogo watu wazima tuendelee kukata issue hapa.
Pumueni. Mkapa amekosa.
Afadhali amekosa maana angepata publicity ya bure.
Ila huenda mwakani akapata maana Chissano sasa kapungua na waliobaki wote hoi.
we masatu mavi kweli,shoga la pwani wewe,nasikia ushakua malaya sana unatafuta wanaume humu kwenye site pumbafu wewe.
Hivi mbona Mandela hakuwemo kwenye list? Au ni wale tu ambao wameachia madaraka siku za karibuni.