Kampeni dhidi ya Mkapa asishinde Tuzo ya uongozi bora

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
6,141
Points
1,500

Koba

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
6,141 1,500
Mkapa alilewa Misifa na akafikiri kwa mazuri ya awamu ya kwanza aliyofanya basi akaona yatafunika chochote kibaya atakachofanya kumbe alisahau ubaya huvuma zaidi ya uzuri
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,156
Points
1,250

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,156 1,250
hatari kubwa mie lawama nampa brotherman ndugu yangu borther man unatuharibia jamvi(nnategemea keshanielewa nnakusudia nn).

halafu hii topik ifungwe tayari kampeni imeshatimia na uchaguzi umeisha kwa hiyo lengo limefikiwa.


nnaomba kuwa silisha mada
 

Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2006
Messages
4,330
Points
2,000

Maarifa

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2006
4,330 2,000
PAFUKAPO MOSHI PEKECHA PANA MOTO. Tatizo ni kuwa watu hawana I mani na vyombo vyao vya sheria na haki. Ni sawa na hadithi ya paka na Panya nani amgunge kengele paka? But one day History will reveal the truth!
 

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,472
Points
1,250

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,472 1,250
Nimepitia sifa alizopewa Chisano tena ktk Ukanda wa picha, kusema kweli jamaa mkali..nimeona tofauti kubwa kati yake na Mkapa yaani ni mbingu na ardhi...Sijui kama Mkapa angeshinda wangeweka picha gani hasa!..
Well, mnaotaka ushahidi ndio huo umeshatoka maanake ndio yale yale ya Taifa Stars!..HOPE na kumuomba Mungu wakati hakuna uwezo.
FD,
Hivi kweli ulifikiria Mkapa akipata hizo dollar ataziweka ktk NGO yake?... ama kweli hii wazimu mpya.. Hiyo NGO yake ni fedha anazopewa ama kukusanya nje kwa malengo hayo hajatoa na wala hataweza kutoa hata senti moja toka mfukoni mwake, kuna uwezekano mkubwa akachota toka ktk NGO hii kuliko the other way around..... Unacheza na mama wa Kichagga nini?...
 

FDR Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
249
Points
0

FDR Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
249 0
Watanzania Tuache Roho Za Husuda Na Choyo,watu Tunajifanya Wapenda Na Watenda Haki Sana,kuna Mtu Anasema Tofauti Ya Chisano Na Mkapa Ni Mbingu Na Nchi!!!
Huyu Mzee Anatufahamu Sana Watz Kuliko Kitu Kingine,hatupendi Mafanikio Ya Wengine Always Mimi,uzushi,kashfa N.k

Nilifuatilia Sana Yaliyompata Mzee Mungai Kule Iringa,kama Kweli Wana Jf Ni Waungwana,sikutarajia Kuona Ushabiki Wetu Dhidi Ya Mungai Na Maamuzi Ya Wana Ccm Mkoa Wa Iringa. Mimi Nathubutu Kukiri Mufindi Ni Kielelezo Cha Maendeleo Ya Mtanzania Na Pia Ni Ushahidi Tosha Kuwa Mungai Hataondoka Ktk Historia Yao Ya Maendeleo Hata Kama Ana Madhaifu Yao. Angalia Walivyomnanga Na Kumuita Mkenya Na Blablaa,leo Mtu Anataka Aungwe Mkono Kumuangamiza Mtanzania Mwenziwe Eti Kwa Sababu Ya Kutofautiana Kimsimamo!!!!
Salim Alipigwa Vita Na Wamarekani Kule Un,butros Naye Pia Mtu Pekee Ambaye Alipingwa Na Waafrika Ni Koffi Annan-warwanda Hawataki Kumsikia Lakini Afrika Ilikemea Hilo.


Tanzania ,tanzania ,nakupenda Kwa Moyo Wote
 

Domo Kaya

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2007
Messages
530
Points
0

Domo Kaya

JF-Expert Member
Joined May 29, 2007
530 0
Haya jamani Watanzania wenzangu Benny ndio hivyo kapata pigo kubwa kwa kumwangwa kwenye kinyanganyiro cha kuwania tuzo za kiongozi bora barani africa yote kwa sababu alikuwa na atamaa ya kujilundikizia mapesa yeye pamoja na mke wake...MKAPA NA MKE WAKE NI WEZI WAKUBWA WAMEIIBIA SANA SERIKALI YETU.
 

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,025
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,025 2,000
Haya jamani Watanzania wenzangu Benny ndio hivyo kapata pigo kubwa kwa kumwangwa kwenye kinyanganyiro cha kuwania tuzo za kiongozi bora barani africa yote kwa sababu alikuwa na atamaa ya kujilundikizia mapesa yeye pamoja na mke wake...MKAPA NA MKE WAKE NI WEZI WAKUBWA WAMEIIBIA SANA SERIKALI YETU.

Utavuna ulichopanda hapa duniani na si ajabu hata katika pumziko la milele.
 

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Messages
2,169
Points
2,000

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2011
2,169 2,000
Utavuna ulichopanda hapa duniani na si ajabu hata katika pumziko la milele.
Bubu Atakakusema nakuhakikishia huwezi kusema kwa chuki binafsi dhidi ya Shujaa wetu wa uchumi, miundombinu na duru za kimataifa. Hii thread ya 2007 umeivuta tu kutaka kuchefua watu. Ushindwe kwa dini yako
 

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,025
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,025 2,000
Bubu Atakakusema nakuhakikishia huwezi kusema kwa chuki binafsi dhidi ya Shujaa wetu wa uchumi, miundombinu na duru za kimataifa. Hii thread ya 2007 umeivuta tu kutaka kuchefua watu. Ushindwe kwa dini yako
hahahaha eti Mkapa shujaa wa uchumi! Kwani kuna sheria hapa inayokataza threads za miaka ya nyuma kujadiliwa? iliwekwa lini na nani? Labda wewe unamuona Mkapa Shujaa wa uchumi lakini Watanzania walio wengi tunamuona Mwizi tu! Ufisadi wa rada $12 million, EPA $133 million, Meremeta $155 million, Uuzwaji wa nyumba za Serikali shilingi bilioni 200 and counting n.k. halafu unamwita shujaa wa uchumi! umesahau Watanzania walikuwa wanasema Mkapa kaleta UKAPA! Sasa huo ushujaa wa uchumi ulitoka wapi!?

Mwambie ajivue Presidential immunity ili apandishwe kizimbani halafu tuone kama kweli alikuwa shujaa wa uchumi au fisadi tu na alitumia wadhifa aliokabidhiwa na Watanzania kujitajirisha.
 

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,854
Points
1,250

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,854 1,250
Bubu Atakakusema nakuhakikishia huwezi kusema kwa chuki binafsi dhidi ya Shujaa wetu wa uchumi, miundombinu na duru za kimataifa. Hii thread ya 2007 umeivuta tu kutaka kuchefua watu. Ushindwe kwa dini yako
hii ni crap from stuxnet.....new kid on the blog..!!

sikujua ni kosa kwenda thread za zamazi
 

Forum statistics

Threads 1,379,944
Members 525,634
Posts 33,761,704
Top