davejillaonecka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2018
- 652
- 652
Hahahahhh bongo sihami ng'o
Na mimi nitawashataki kwa kutumia jina langu vibaya...Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Huyo Askofu wa Kilokole ndiyo wale walimpa Nishani ya kuishinda CovidKamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Sawa boss wetu wapumbavu, maana maupumbavu yote wewe ndio ulikabidhiwa mikoba yake na mwendazake.Sawa mpumbavu
MwendawazimuBasi sawa tutamuita MJAZAKE
Hivi hii "Kamati" inafanya kazi kutokana na sheria gani?Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Hakuna shida Mwendawazimu linamfaa zaidi.😂Hahah ila hilo neno limekaa kikuda...lakini sasa ndio lishakuwa maarufu
Wana mapepo hawa sio bureKamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Legacy hiyo kwioooo...! Mwendawazimu na legacy yake Sabaya.
Hiyo nayo Iko Katika kipengele cha legacy?
Mjinga ni wewe, marehemu kiongozi anaitwa Hayati.Mambo ya kijinga tu