Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,510
2,000
nitamfata kwa ridhaa yangu ila wewe israel atakupeleka huku umefinya matako.
hutaki kufa kisa unapenda kuliwa.
Marko 7: 20-23
"Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi. Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu. Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi."
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
4,027
2,000
Wamekosa allowance alizokuwa anawapatia wakimsifia na kumpa mic kila anapoenda kanisani.

Wasitupangie tutamuita tunavyotaka wao waende kaburini wakamlilie awape hela.
 

Kihava

JF-Expert Member
May 23, 2016
4,636
2,000
Basi tuacheni kumwita Mwendazake tuanze kumuita "Hamnazo". Maana jana kwenye TBC kipindi cha TAFAJURI yule presenter Shaban Kissu amemuita Hamnazo
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Eti Hamnazo. Mimi naona aitwe Hamnazo Mwendazake maana kwa mila na desturi zetu mara nyingi tuna majina mawili
 

Kabugula

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,716
2,000
Kamati ya Amani ya wapi
Ambayo haikukemea uvunjaji wa nyumba KIMARA,huku Mwanza ni wapigakura.
Hao ndio waliopingana na Mabaraza halali ya Maaskofu kipindi wametoa nyaraka kuhusu HAKI ZA BINADAMU.

Wangependekeza liende kwenye mabaraza yao likajadiliwe ndipo ije kauli yakushauri.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
34,831
2,000
Hahahahaa tulilawitiwa🤣🤣🤣
Yalikuwa ni maajabu,imagine jitu lilikuwa linafanya hadi ubaguzi wa rangi kwa waafrika wenzake achilia mbali kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza,kuweka mfukoni mihimili yote mitatu,kuajiri viongozi wabakaji na wanaolawiti wananchi kama akina Sabaya na kuwalinda,na kadhalika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom