Death after life
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 379
- 422
Ifikie mahala viongozi wadini wajulikane wapo upande upi rasmi.
KonkiMaisha yanaenda kasi sana leo hii dudu baya kawa askofu
Hata wakitoa nani anawasikiliza ?Kwanza hii kamati imemaliza muda wake ivunjwe.hao wajumbe hawana uhalali wa kutoa maamuzi yeyote.
Mi nafikiri tumeiga kimakosa kiswahili cha kenya. Ni vyema tutumie neno marehemu. Hilo ndio neno tunatumiaga kwa kiswahili chetu.Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Yani ni kama watumishi wa Mungu wasipokoma kumwongelea shetani...Kuna watu humu wasipomuongelea jpm hawapumui.
Ndio wamelikuza hilo jina kwa Ujinga waoKamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Mi nafikiri tumeiga kimakosa kiswahili cha kenya. Ni vyema tutumie neno marehemu. Hilo ndio neno tunatumiaga kwa kiswahili chetu.
Mimi nafikiri neno sahihi badala ya kutumia neno "MWENDAZAKE"Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Kuna watu humu wasipomuongelea jpm hawapumui.
kuna haja wazungu waje watutawale tena, hata haya makanisa tangu yaongizwe na wazawa baada ya wZungu kuondoka, yamekuwa bure kabisa. wao ni kuhubiri na kusihi waumini walete tu sadaka na si vinginevyo..Hawa ni wa kuwapuuza kabisa,hawakukemea maovu waliyofanyiwa raia,walikuwa watu wa kupongeza tu,wamefikia hatua ya uvivu wa kuangalia kamusi
Ngoja niche niongoze siku za kuishi maana huu mzigo sio wa nchi hiiBrother K kulikoni hapo juu,boxer inapatikana duka gani
Hivi wanapiga marufuku kwa mandate gani waliyonayo? Angalau wangekuwa bado wana moral authority yoyote mbele ya jamii tungewapa benefit.of doubt tukawaheshimu sasa tutafanya kweli! Tukutane mahakamani! Walikaa kimya wakati Yohanna mwendazake akivurumisha taifa kwa ubabe dhuluma na ukatili wa kutisha leo wanatutishia nyau kisa wamekosa bahasha, konki dudubaya mshenzi kabisa huyu!Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
aaa kumbe ni KONKI!!!????!!!!Kamati ya amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.
Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.
Je unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita JPM mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?
Credit Malisa GJ
Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Huyo askofu mwehu kabisa.
Hawa ndio wale maaskofu wanaochaguliwa kwa kura za wizi, rushwa na uchawi.
Yaan wanafikirisha kwa kweli, khaaaahHawa maaskofu wamevimbiwa sadaka za wajinga hadi wanajiropokea na kusahau wajibu wao wa kukemea dhambi