Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.

Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.

Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?

Credit Malisa GJ

Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Mi hiyo kamati ya amani ya viongozi wa dini huwa naiona kama kundi la walevi fulani hivi wachumia tumbo maana huwa wameegemea upande waupendao.
Haki huleta amani, haki huleta upendo...
#KATIBA MPYA ITAONDOSHA UPUUZI MWINGI UNAOJITOKEZA.

JE WAKIFANYA MADUDU AU KUTUMIA OFISI VIBAYA WAACHWE TU?
IKIWA NDIVYO HIVYO BASI WANAOTUHUMIWA KUUA HUKU MITAANI NA KUFISIDI NCHI NAO WAACHWE TU!!!
 
Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.

Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.

Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?

Credit Malisa GJ

Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Dalili ya wazi kabisa ya wasaka-tonge kufilisika akili. Yaani katika changamoto ambazo zinalikabili taifa hili waowakaona hiyo ni mojawapo!? Tunasema basi "MWENDAZAKE". Sasa wafanye watakacho.
 
Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.

Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.

Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?

Credit Malisa GJ

Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Hivi mpuuzi mmoja alipomfananisha JPM na Yesu Kristo haoviongozi walisema chochote? Watuondolee upumbavu wao.
 
Wapumbavu tuu,atabakia kuwa mwendazake kwani nini maana ya mwendazake?

Kwani mwendazake mwenyew anasemaje? Kawatuma au?
 
Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.

Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.

Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?

Credit Malisa GJ

Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Askofu anaitwa konki itakua askofu mchumia tumbo
 
Moderator

sasa ni rasmi hilo jina halihitajiki humu kwenye platform yetu,tunaomba jf iendelee kuwa uwanja unahoshimika katika kujadili mambo.

atakayelitumia lifutwe kama mlivyoweka matusi na maneno mengine yasiyofaa.
 
Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na ametaka wanaotumia neno hilo washtakiwe kwani wanahatarisha amani.

Lakini kwa mujibu wa Kamusi kuu ya Kiswahili ya baraza la Kiswahili nchini (BAKITA) toleo no.2 la mwaka 2017, neno mwendazake linamaanisha "mtu aliyekufa hivi karibuni na anaelekea kuzikwa au mipango ya mazishi yake inaendelea." Mwendazake ni kisawe cha neno marehemu ama hayati.

Je, unaamini neno mwendazake ni matusi? Je wanaomuita Magufuli mwendazake washtakiwe kama alivyoshauri Askofu Konki? Je Askofu apuuzwe, au anunuliwe Kamusi ajifunze Kiswahili?

Credit Malisa GJ

Hawa wazee kazi yao ni kupiga marufuku,au kuhamaisha amani
Washtakiwe vipi tena si wapige dua tu na kusali wawafurumue hao wanaoita Ivo. Wao wana mahakama ya Mungu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni mawazo yao tu, nchi haiendeshwi na kamati uchwara za vichochoroni.

Mwandazake atabaki kuwa mwendazake. Hayati ni Mwalimu Nyerere na Ben Mkapa.
mwamakula anawakilisha jamii,ila hawa wanawakilisha mawazo yao!!!

ndio maana Mungu huwa anajitenga na nyinyi nyumbu,hata mfanyiwe madhira kiasi gani.
 
Back
Top Bottom