Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Inawezekana sijui tueleze unachojua.
Sasa usikirupuke na kuanza kuongelea mambo ya Helgoland Treats. Makubaliano kati ya wazungu na wazungu yapo kwenye makaratasi yao. Lakini kwenye international laws ni kwamba kama nchi mpaka upo kwenye mto, ziwa, bahari nk. Mpaka unakuwa ndani ya maji.

Ukisema ziwa lote ni la malawi je mito inayotoka Tanzania na kuingia kwenye ziwa la malawi tuifanye nini?

Je, maji yakiongezeka na kuingia kwenye nchi yetu tufanye nini?
Je, maji yakipungua pia kipi kitatokea?
Je, wapo tayari kuyalipia maji yetu ya mito yanayoingia kwenye ziwa?
Je, wapo tayari kulipia kila wimbi la maji linapopiga nchi yetu?

Mbona ni common sense tu. Hawa wamalawi wanajishaua tu. Hawawezi chochote. Kivita tutawagonga, kimahakama tutawashinda. Huo ni mtaji wao tu wa kisiasa na kulia lia.
Ndio maana hawatupi shida yoyote.

Vilevile itabidi tuhesabu ni lita ngapi za maji zimeingia kwenye ziwa hilo tokea tanzania tangu Helgoland treat. Maji yetu wayarudishe.
 
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.

Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:

"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".

========

Malawi army commander Supuni fires warning shot: National security critical including protecting Lake Malawi

Malawi Defence Force (MDF) commander. General Griffin Supuni says his force will not tolerate any threats on the country’s territorial peace and integrity.

1x1.trans.gif

General Supuni Phiri with a sword of command

The General told officers of the MDF, invites guests that included foreign defence attaches and advisors, that he and the MDF is committed to defending Malawi at all cost.

“Timba samachepa ndi mazira ake,” he emphasized in vernacular, meaning, “no matter how small a humming bird, it will fight tooth and nail for the safety and ownership of its eggs”.

The top soldier was also quick to warn his officers and all soldiets that he shall deal with all manner of indiscipline.

“When traffic police stop and ask you about driving licence, just produce the relevant document for inspection. I also dont want to hear that any soldier is harrassing anyone, be it a police officer, a civilian, anybody. You will go!”

General Supuni, who was brief in his speech during the 2016 Year End Ball that took place on the night of 30th December at the Officers Mess, Kamuzu Barracks, added that he will also not hesitate to fire anyone who is caught dating a fellow officer or soldiers spouse.

“I have already fired some. I will fire you as well. Your careet will be short lived. I liken this to witchcraft which can never be tolerated,” he said.

He also warned service staff to avoid expressing their grievances to wrong quarters

“There will always be differences and disagreements. Relaying these through politicians, social media, and other places will not help us. We have the rightful channels for complaints and grievances.”

Supuni then shared his ambitions for the defence force.

He highlighted that his vision includes construction of a weapons manufacturing plant, opening of a second engineers’ battalion in Zomba City, the construction of a military reference hospital, and upgrading of the farm department.

“We have engineers to out source. We have so many other plans that can help the defence force to lessen overburdening the national coffers,” he said.

The General then wished all soldiers in the country a prosperous New Year 2017, and said that those who just sit, drink and eat and are not physically fit, and are obese, will see an early exist from the force.

“I have always emphasized physical fitness. If you are not, am sorry to say you joined the wrong profession and I will help you go out as quick as possible.

“If I can jump 6 metres, ask yourself have high or far you should jump. I am telling this to everyone here. Go back and tell your troops about this,” he said.

The genral also advised that promotion will never come on a silver platter and challenged the soldiers to earn their promotion.

soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf
Nimesoma habari tote mbona cjaona mahali amezungumzia kuhusu Ziwa Malawi (Nyasa)?
 
Inawezekana sijui tueleze unachojua.
We mmalawi msitukwaze ... Nenda kawaambie huko kwenu kuwa sisi hatujaribiwi hizo chokochoko mnazoanza zitawageuza majivu... Badala ya kushughulikia umasikini unaowasumbua nyie wamalawi, mnapoteza muda kusigana na international Laws wakati hamjui chochote....

Halafu nawaomba uhamiaji wawatimue wamalawi Wote wanaoishi Tanzania illegally .. Kwanza wengi ni masikini kama sisi tu and have nothing to contribute in our economy....
 
Nimesoma habari yote mbona cjaona mahali amezungumzia kuhusu Ziwa Malawi (Nyasa)?
 
We mmalawi msitukwaze ... Nenda kawaambie huko kwenu kuwa sisi hatujaribiwi hizo chokochoko mnazoanza zitawageuza majivu... Badala ya kushughulikia umasikini unaowasumbua nyie wamalawi, mnapoteza muda kusigana na international Laws wakati hamjui chochote....

Halafu nawaomba uhamiaji wawatimue wamalawi Wote wanaoishi Tanzania illegally .. Kwanza wengi ni masikini kama sisi tu and have nothing to contribute in our economy....
Kimsingi wamalawi sio wachokozi kwa sab ramani ya mwisho inaonyesha ziwa lao na makubaliano ya kuheshimu mipaka ya wakoloni inataka hivyo. Wamalawi wanaendelea na maisha yao yalipogunduliwa mafuta ndani ya ziwa sisi tukalalamika kuwa eneo ni letu. Sasa mchokozi nani hapo kama sio sisi? Tunakiuka makybaliano tuliyosaini wenyewe.
 
~~~~>>>>Kelele mingi mingi ni ishara ya "UOGA"..... Kama anajiamini afanye kama Idi Amini.... Kisha na sisi tutamjibu kama tulivyomjibi Idi Amini...

~~~~~>>>>>Hatujaribiwi.
 
Tumechoka na Maneno yao, tunataka vitendo sasa, kama wapo tayari waseme, tunaweza kurusha Bomu sisi wenyewe upande wetu wa Tanzania ili tulianzishe tu, maana kuna namna nyingi ya kutangaza vita,

Sasa tunataka vitendo, hivi huyo Mutharika anajipenda kweli?
Huyu Mmalawi anafikiri sisi ni watu wa mchezo mchezo. Kwanza inabidi tufanye majaribio ya zana zetu za kivita katika Ziwa hilo {Nyasa} kama anavyofanya Northern Korea kwa Southern Korea.
 
Ni mpaka gani huo unaopita pembezoni mwa maji? Unajua kitu kinachoitwa mmonyoko wa ardhi wewe,, kwa umoja wetu watanzania tutalinda nchi yetu hata inchi moja haitaondoka,, isije ikawa mnaona watu wakipingana humu ndani kwa mambo yetu ya ndani yanayotuhusu mfikiri kwamba mkileta chokochoko tutatengana.

Tutasimama kidete kutetea ardhi yetu. Msitujaribu.
Hakuna mpaka unaoweza kuwa kandokando ya ziwa, bahari au mto. Ardhi ina tabia ya kumomonyoka kila siku na kusababisha maji mto, ziwa au bahari kumega nchi kavu. Kama mpaka ukiwa kandokando ya ziwa Nyasa kuna hatari iko siku hata Songea na Mbeya ikawa iko Malawi baada ya ziwa kuelekea huko kutoka na kumomonyoka kwa ardhi na ziwa kuhamia huko
 
Ni kweli lkn wao wanang'ang'ania makubaliano waliyoyafanya OAU kuwa nchi zote zifuate mipaka ya mwisho iliyochorwa na wakoloni mchoro unaoonyesha ziwa lote ni la malawi. Makubaliano yalisainiwa na mwl nyerere.
Acha uongo wako ww leta ushahidi
 
Sasa usikirupuke na kuanza kuongelea mambo ya Helgoland Treats. Makubaliano kati ya wazungu na wazungu yapo kwenye makaratasi yao. Lakini kwenye international laws ni kwamba kama nchi mpaka upo kwenye mto, ziwa, bahari nk. Mpaka unakuwa ndani ya maji.

Ukisema ziwa lote ni la malawi je mito inayotoka Tanzania na kuingia kwenye ziwa la malawi tuifanye nini?

Je, maji yakiongezeka na kuingia kwenye nchi yetu tufanye nini?
Je, maji yakipungua pia kipi kitatokea?
Je, wapo tayari kuyalipia maji yetu ya mito yanayoingia kwenye ziwa?
Je, wapo tayari kulipia kila wimbi la maji linapopiga nchi yetu?

Mbona ni common sense tu. Hawa wamalawi wanajishaua tu. Hawawezi chochote. Kivita tutawagonga, kimahakama tutawashinda. Huo ni mtaji wao tu wa kisiasa na kulia lia.
Ndio maana hawatupi shida yoyote.

Vilevile itabidi tuhesabu ni lita ngapi za maji zimeingia kwenye ziwa hilo tokea tanzania tangu Helgoland treat. Maji yetu wayarudishe.
hiyo ishu ya mawimbi, maji kupungua nk haina mantiki. mpaka hufuata longitudo na latitudo siyo shoreline. ila wakishindwa kucompromise hata hayo mafuta watashindwa kuchimba.
 
Kwani uchumi wao umeshushwa mbinguni au.ni sawa na sisi tu? Maadam tupo kanda moja na uchumi unaofanana, tutaonyeshana ubabe tu hamna namna nyingine,

hamna ujinga kama huo, meza za makubaliano zipo hazijavunjka.
 
Hakuna mpaka unaoweza kuwa kandokando ya ziwa, bahari au mto. Ardhi ina tabia ya kumomonyoka kila siku na kusababisha maji mto, ziwa au bahari kumega nchi kavu. Kama mpaka ukiwa kandokando ya ziwa Nyasa kuna hatari iko siku hata Songea na Mbeya ikawa iko Malawi baada ya ziwa kuelekea huko kutoka na kumomonyoka kwa ardhi na ziwa kuhamia huko
Unawabishia wakoloni waliochora mipaka. Nakubaliana na wewe sio sahihi na mpk wa namna unakiuka haki ya urithi wa asili kwa sab haingii akilini mtu akaombe kibali cha kuoga kwenye ziwa ambalo liko unazaliwa unaliona. Kimsingi tujiulize kwanini wakoloni walichora mpk wa namna na sheria au maridhiano yafanyike kutengua mchoro lkn mpk sasa mchoro wa kisheria kabisa unaonyesha ziwa lote ni la malawi na ndivyo ramani ya malawi inavyoonyesha hata masomo yao ya kijiografia yanafundisha hivyo.
 
Upo na ndio unaowapa kiburi malawi. Mpaka wa mwisho unaoheshimika na OAU ni ule uliochorwa na wakoloni ambao unaonyesha ziwa lote ni malawi (sijui walikula maharagwe gani) na marais wote wa Africa wakati huo walisaini makubaliano ya kuheshimu mkataba huo wakiwemo Nyerere na Banda lkn kuna mkataba mwingine wa UN unazitaka nchi zinazopakana na maji zigawane maji hayo nusu kwa nusu. Mkataba wa OAU umetufunga tusiende kwenye ule wa UN sasa suluisho kwa sasa ni mahakama ya kimataifa au maridhiano ya kibinaadam ambayo ni hiyari na ridhaa inayotawala. Tanzania haitaki kwenda mahakamani inahofia kushindwa kutokana na kujifunga kimkataba badala yake inataka maridhiano kwa upande wa malawi wanasuasua kukubali maridhiano sab wanajua kuna haki nyingi za kimsingi za binadamu aliyezaliwa eneo lenye maji zinavunjwa na mchoro wa wakoloni lkn wanasisitiza kwamba wakoloni walikuwa na sab za msingi kuwapa ziwa lote hasa ukizingatia Tanzania tuna maziwa na mito mingi vilevile bahari kubwa tu.
Nafikiri unasahau pia kuwa maji ya ziwa Nyasa (in flow) yanatoka kwenye mito ya Tanzania kwa asilimia kubwa sana; hii ni sababu tosha kuwa Ziwa lile tunalichangia wote (nchi tatu), iweje nchi moja ijione ndo yenye haki na wakati hata haichangii maji zaidi ya kutoa yale maji (out-flow)?????? kama ni bahari hata Msumbiji wanayo; iweje wao wawe na portion pia? Hivi inaingia akilini watu wamezaliwa mababu na mababu na wanamiliki Ziwa (portion yao) afu mtu anakuja na reason eti ni OAU, mara Heligoland...upuuzi mtupu unaotawaliwa na urafi na uroho.
 
hiyo ishu ya mawimbi, maji kupungua nk haina mantiki. mpaka hufuata longitudo na latitudo siyo shoreline. ila wakishindwa kucompromise hata hayo mafuta watashindwa kuchimba.
Sasa maji yanayotoka kwenye mito ya Tanzania watayalipia?
 
Nafikiri unasahau pia kuwa maji ya ziwa Nyasa (in flow) yanatoka kwenye mito ya Tanzania kwa asilimia kubwa sana; hii ni sababu tosha kuwa Ziwa lile tunalichangia wote (nchi tatu), iweje nchi moja ijione ndo yenye haki na wakati hata haichangii maji zaidi ya kutoa yale maji (out-flow)?????? kama ni bahari hata Msumbiji wanayo; iweje wao wawe na portion pia? Hivi inaingia akilini watu wamezaliwa mababu na mababu na wanamiliki Ziwa (portion yao) afu mtu anakuja na reason eti ni OAU, mara Heligoland...upuuzi mtupu unaotawaliwa na urafi na uroho.
Ni kweli haingii akilini lkn kinachozungumziwa hapa legitimacy ya madai ya malawi. Malawi wamepewa ramani inayoonyesha ziwa ni lao sasa wamekosea nini?
 
Back
Top Bottom