Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Kama ni haki yao wapewe. Ubabe na maneno ya fedhuli hayasaidii
Haki hipi mkuu! Ebu nitajie nchi mbili ambazo zinategwa na ziwa au mto mkubwa halafu nchi moja wapo inadai ziwa au mto ni la kwake, hakuna kitu kama hicho Duniani lazima itengwe katikati - mfano angalia Ziwa hilo hilo la Nyasa upande wa Msumbiji na Malawi mpaka hupo katikati - kwa nini upande wa Tanzania uwe tofauti.
Wamalawi wanakuja na story zilizo pitwa na wakati eti sijui Waingereza na Wajerumani walielewana nini kuhusu Ziwa Nyasa - mipaka iwekwe katikati ya Ziwa period, hakuna haja ya kubishana na vitu visivyo na logic - wahusika wakuu wanao wachochea Wamalawi ni Waingereza - baada ya ugunduzi wa mafuta ndani ya Ziwa ndiyo wanawapa jeuri ya kukomalia Tanzania bila shaka kwa ahadi za kuwasaidia kisheria kupambana na madai ya Tanzania, Waingereza wanafiki sana.