Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

A-Nyasa-Times-photo-80-600x411.jpg

General Supuni Phiri with a sword of command
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.

Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:

"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".

soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf

Kamanda Supuni (Spoon) kumbe jamaa zetu wana majina kama ya kule Mtwara ya Chibiriti, Sipoku, Chakumwenda n.k basi atakuwa mtani wetu hivyo hamaanishi ''anachosema'' kuwa kipo ktk kichwa cha habari maana sijaona neno Lake Malawi/Nyasa ndani ya habari yenyewe kwa urefu. Hii Nyasa Times itakuwa haina tofauti na magazeti yetu-pendwa ya Globo.
 
Ulishawai kupigana nanani mwenye pawa zaidi idiamini na huko komoro hivi kuna kwingine mtakimbia nchi yenu soma jina langu utagundua.mimi nikabila gani sisi wanyasa tunataka nchi yetu iwe malawi tumechoka kuongozwa na mambumbumbu ficiem
Acha kutisha watz ww, fanyeni fyoko muone moto wetu. Masikini nyinyi soma jina langu utajua mimi ni nani. Tutaigeuza jivu Malawi yote
 
Waambie hivi waliangalia maonyesho yetu ya makomandooo?Tutawatumia mmoja tu anawatoshaas
 
Japo huwa cmuung mkono Maguful lakin kwenye hil hatujaribiwi kabisa.
 
Sasa kama umekiri hujui kuhusu OAU kwanini hukubali kueleweshwa au kama huamini ungekuja na proof baada ya kutafuta kwenye vyanzo mbali mbalo vya makubaliano Ngoja nikueleweshe zaidi ukibisha basi lkn labda kuna wengine watafaidika na maelezo haya.MCHORO WA MWISHO KUTOKA KWA WAKOLONI WA KIJERUMANI UNAONYESHA ZIWA LOTE KABISA NI LA MALAWI KUTOKANA NA MIGOGORO NA VITA NYINGI ZA MIPAKA AFRIKA HUKU OAU IKIJARIBU KUSULUISHA BILA MAFANIKIO YA KUTOSHA VIONGOZI WAKE WALIKUBALIANA KUWA NCHI ZOTE ZIHESHIMU MIPAKA YA WAKOLONI PEKEE BILA KUJALI MAKUBALIANO YA KABLA YA HAPO AU MINGINE YOYOTE PAMOJA NA ILE YA UN VIONGOZI WOTE WALIKUBALI NA KUSAINI WAKIWEMO NYERERE NA BANDA. UGOMVI BAINA YA NYERERE NA BANDA HAUKULALIA ZAIDI KWENYE MPAKA WA ZIWA BALI NI MANENO YA BANDA KUITAKA NYASA YOTE AKIDAI NI YA MALAWI HIYO NYERERE HAIKUMSUMBUA KWA SAB ALIAMINI MKATABA WA OAU UNAMLINDA KILICHOMKERA ZAIDI NYERERE NI MALAWI KUISAIDIA SOUTH AFRICA CHINI YA MAKABURU KUPAMBANA NA NCHI AMBAZO ZILIKUWA ZINAWAPINGA TANZANIA IKIWA TARGET YAO KUBWA BANDA ALITOA ARDHI YAKE ITUMIKE KAMA BASE YA KIVITA YA MAKUBURU HALI HIYO ILIMKOSESHA USINGIZI NYERERE SIO MPAKA WA ZIWA NYASA. TAWALA ZILIZOFUATA HASA YA MKAPA NA KIKWETE WALIWAOMBA MALAWI WAREJEE MKATABA WA UN UNAOZITAKA NCHI ZOTE ZILIPAKANA NA MAJI BASI ZIGAWANE NUSU KWA NUSU LKN MALAWI WALISTICK KWENYE MKATABA WA OAU AMBAO UNAKATAZA KUFUATA MKATABA MWINGINE ZAIDI YA ULE WA OAU LABDA KUWE NA RIDHAA YA KAWAIDA TU. HIVYO TANZANIA TUKAWA TUNAWAOMBA KWA VIGEZO VYA KIBINAADAMU SIO KISHERIA KWANI KISHERIA HATUNA NGUVU. MAZUNGUMZO YALIONYESHA DALILI NZURI CHINI YA UTAWALA WA BAKILI MULUZI LKN BAADA YA KUTOKA MADARAKANI HALI IKAWA NGUMU TENA HALI ILIKUWA MBAYA ZAIDI PALE UGUNDUZI WA MAFUTA ULIPOIBUKA TANZANIA TUKILALAMIKA KUDHULUMIWA NUSU YETU YA MAJI. JUMUIYA YA KIMATAIFA INATUTAKA TWENDE KATIKA MAHAKAMA YA KIMAIFA LKN TANZANIA TUNAJUA TUTASHINDWA KINACHOTAKIWA NI BUSARA TU VITA SIO SULUISHO.
Mkuu umeandika vema kabisa ila wamalawi wanatakiwa kwenda hatua moja mbele nayo ni kuvamia hilo eneo kijeshi vinginevyo Joyce Banda kapita na huyo Muthalika atapita hiyo ngoma ni mbichi mno.
 
Katika mambo ambayo niliwahi kumuheshim Kikwete basi ni issue ya security ya Tanzania, PK wa Rwanda alijifanya anaijua vizuri Tanzania hata eti akasema, 'i will hit him somehwere, Kenyetta nae akajifanya eti haki na gari la Tanzania kwenda airport zao, Kikwete aliwathibitishia wote hapo kwamba when we say East Africa then we mean Tanzania, Wote hao walimpigia magoti JK. Sina hakika na msimamo wa mhe Wa sasa na security ya nchi yukoje, wagomvi na maadui Wa ccm nimemwona but kwa wachokozi wa Tanzania bado sijajua msimamo wake.
 
Wakoloni wa mwisho wa Tanganyika kwa sheria za kimataifa walikuwa Wajerumani. Waingereza walikabidhiwa kwa rehani ya UN. Ndiyo maana mwalimu alisaini mkataba wa OAU bila shaka
 
Waache bange wafanye kama alivyofanya Idd Amini ili tumfanye kama tulivyomfanya Idd Amini shenz zake
Unajua tusiipime nchi kuwa tunaweza kupambana nayo kwa kuangalia udogo wake, uingereza ni kisiwa kidogo tu nchi ya Tanzania ni kubwa lakini nafikiri mnaifahamu kwa nguvu za kivita. Kwa hiyo nishauri kwamba busara itumike kutatua mgogoro huo, na si kutanguliza zarau kwa nchi ya Malawi kwa kuitazama kwa udogo wake bila kuchunguza nyuma anasapotiwa na nani.
 
siasa za ukawa na ccm ktk mambo ya kitaifa unazileta hapa?

Unaamini kuwa huyu ni CCM au UKAWA, huyu.ni mhamiaji haramu, ana uchungu ganj na nchi ambayo siyo yake ndo maana anacoment utumbo.

Katika maslahi ya nchi kwa pamoja tutaungana kuwabomoa.
 
Wapewe nini !!??umesoma hii mada inahusuni nini !!??yaani wilaya za kyela na Nyasa zisitumie hilo ziwa ni mwendawazimu tu ndie anaweza kufikiria hivyo Banda katika uhai wake enzi hizo alijaribu hata kutaka njombe kyela na rungwe ni maeneo yake alishindwa.
Kisheria na mikataba inasema hivyo wakazi wa wilaya hizo wasilitumie ziwa bila vibali kutoka serikali ya malawi lkn kibinadamu ni ngumu au haiwezekani maji wanayaona toka vizazi na vizazi vinazaliwa halafu wasiwe na haki ya kuyagusa! Hata ile haki ya urithi wa asili hapo haipo.
 
Magufuli hana tofauti sana na Nyerere... Wakijaribu kufanya alichofanya Idd Amin atafanya tu kama alivyofanya Nyerere. Kama wanajiamini basi waambie waje, tena waje na rafiki zao wanaowashika masikio.
Wanafuata sheria
 
Malawi tulikuwa nao Kongo ....wanajua vyema kirefu cha JWTZ ...Wanajua kwa Africa hakuna nchi inayoinusa Tanzania kwa Gorilla war ....wanajua TISS ndio the most powerful intelligence institution in Africa ....tukiamua hatuhitaji kuwatandika wale ....tunaweka Rais wetu tu pale ....HATUSHINDWI .....
 
Kukaa chini sio lazima kuwaomba na kuwabembeleza ni kuongelea HAKI. ..njia itapatikana tu. ..maana hakuna mkataba wa ajabu kama huo duniani. ..yaani hau make sense period. ..
Upo na ndio unaowapa kiburi malawi. Mpaka wa mwisho unaoheshimika na OAU ni ule uliochorwa na wakoloni ambao unaonyesha ziwa lote ni malawi (sijui walikula maharagwe gani) na marais wote wa Africa wakati huo walisaini makubaliano ya kuheshimu mkataba huo wakiwemo Nyerere na Banda lkn kuna mkataba mwingine wa UN unazitaka nchi zinazopakana na maji zigawane maji hayo nusu kwa nusu. Mkataba wa OAU umetufunga tusiende kwenye ule wa UN sasa suluisho kwa sasa ni mahakama ya kimataifa au maridhiano ya kibinaadam ambayo ni hiyari na ridhaa inayotawala. Tanzania haitaki kwenda mahakamani inahofia kushindwa kutokana na kujifunga kimkataba badala yake inataka maridhiano kwa upande wa malawi wanasuasua kukubali maridhiano sab wanajua kuna haki nyingi za kimsingi za binadamu aliyezaliwa eneo lenye maji zinavunjwa na mchoro wa wakoloni lkn wanasisitiza kwamba wakoloni walikuwa na sab za msingi kuwapa ziwa lote hasa ukizingatia Tanzania tuna maziwa na mito mingi vilevile bahari kubwa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom