Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Hii ni nukuu from the Heligoland Treaty.
Ziwa Nyasa ni la Malawi

Nilidhani wamepewa na Bismarck.
Kumbe alikuwa siyo Bismarck.Na Bismarck aliilaani sana hii treaty.
Halafu wakatoa hizi territory wakapewa Heligoland archipelago kuhifadhi navy yao.
Halafu Waingereza wakaja WW 1 wakaitwanga sana Heligoland. Demoralization ya Heligoland ndip iliyowafanya Wajerumani washindwe WW1

Heligoland Treaty
2 To the south by the line that starts on the coast of the northern border of Mozambique Province and follows the course of the Rovuma river to the point where the Messinge flows into the Rovuma.

From here the line runs westward on the parallel latitude to the shore of Lake Nyasa.

Turning north, it continues along the eastern,northern and western shores of the lake until it reaches the northern bank of the mouth of the Songwe river.
 
Wanafuata makubaliano ya OAU kuwa mipaka ya wakoloni iheshimiwa kwa sab ya kuondoa migogoro ya mipaka iliyokuwa inajitokeza mara kwa mara mkataba ambao Nyerere aliusaini kikamilifu hivyo according to that mkataba ziwa ni lao lkn kuna mkataba mwingine wa umoja wa mataifa unaosema nchi zinazopakana na eneo la maji basi maji hayo yagawanywe nusu kwa nusu. Sasa ugomvi upo mkataba gani utumike kwenye mzozo wetu kati ya ule wa OAU au UN

Ni mpaka gani huo unaopita pembezoni mwa maji? Unajua kitu kinachoitwa mmonyoko wa ardhi wewe,, kwa umoja wetu watanzania tutalinda nchi yetu hata inchi moja haitaondoka,, isije ikawa mnaona watu wakipingana humu ndani kwa mambo yetu ya ndani yanayotuhusu mfikiri kwamba mkileta chokochoko tutatengana.

Tutasimama kidete kutetea ardhi yetu. Msitujaribu.
 
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.

Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:

"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".

soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf
Hawa Malawi naona wanazidi kuzichezea sharubu ngoja tuwasomeshe namba
 
you are correct.
Ni kweli tulisign mkataba OAU kuwa nchi zote za afrika tuheshimu mipaka ya mwisho tuliyoachiwa na wakoloni na mpk wetu wa mwisho ulikuwa unaonyesha ziwa lote la malawi km ni kosa analo Nyerere kwa kusign makubaliano yale wakati mpk uliwapa ziwa lote malawi. Nadhani Nyerere hakutaka kuonekana mkorofi ukizingatia alikuwa mwanaukombozi mpenda amani. Kinacjotakiwa ni kuwabembeleza tu tukienda mahakama yoyote tunashindwa ndio maana maongezi na malawi yameimarika hasa kuanzia kipindi cha mkapa lkn mambo hayakukamilika baada ya bakili muluzi kutoka madarakani. Baadae mazungumzo yakaendelea lkn hayakuzaa matunda mpk waingereza walipogundua mafuta kuvuka nusu ya ziwa kuelekea kwetu mgogoro ukaibuka upya lkn kisheria ziwa ni lao 100%
 
Wanajamvi hili swala la mpaka wa ziwa Nyasa kati ya TZ na Malawi tusilichukulie lelemama, kwani wenzetu wako serious zaidi ya tunavyofikiri.

Kwa lugha yao wamesema hivi: “Timba samachepa ndi mazira ake,” maana yake:

"bila kujali jinsi udogo wake, (hummingbird-ndege) yuko tayari kupambana, jino na msumari kwa ajili ya usalama na umiliki wa mayai yake".

soma zaidi hapa: https://www.nyasatimes.com/malawi-a...-protecting-lake-malawi/#sthash.EbZZlIR6.dpuf
Hamuishi kutafuta kila baya dhidi ya nchi yenu. lini malawi ikawa tishio.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
huyu chibolo na mtu wa pwani ndio watu wanaopelekea akina M. Melo kupotezewa muda kutokana na ujinga wao wa kupayuka tu.

Hata likibaki huku we unafikili litakusaidia nini sasa au utapata faida gani kwa mfano
 
Ni kweli tulisign mkataba OAU kuwa nchi zote za afrika tuheshimu mipaka ya mwisho tuliyoachiwa na wakoloni na mpk wetu wa mwisho ulikuwa unaonyesha ziwa lote la malawi km ni kosa analo Nyerere kwa kusign makubaliano yale wakati mpk uliwapa ziwa lote malawi. Nadhani Nyerere hakutaka kuonekana mkorofi ukizingatia alikuwa mwanaukombozi mpenda amani. Kinacjotakiwa ni kuwabembeleza tu tukienda mahakama yoyote tunashindwa ndio maana maongezi na malawi yameimarika hasa kuanzia kipindi cha mkapa lkn mambo hayakukamilika baada ya bakili muluzi kutoka madarakani. Baadae mazungumzo yakaendelea lkn hayakuzaa matunda mpk waingereza walipogundua mafuta kuvuka nusu ya ziwa kuelekea kwetu mgogoro ukaibuka upya lkn kisheria ziwa ni lao 100%
Wewe ni mpuuzi.
 
Ni mpaka gani huo unaopita pembezoni mwa maji? Unajua kitu kinachoitwa mmonyoko wa ardhi wewe,, kwa umoja wetu watanzania tutalinda nchi yetu hata inchi moja haitaondoka,, isije ikawa mnaona watu wakipingana humu ndani kwa mambo yetu ya ndani yanayotuhusu mfikiri kwamba mkileta chokochoko tutatengana.

Tutasimama kidete kutetea ardhi yetu. Msitujaribu.
Hayo ni makubaliano yalifanyika kwa signature ya nyerere ndio wanachojivunia wamalawi. Technically wako right kiubinadamu wako wrong kwa maana ni vigumu kuyaona maji ushindwe kuyatumia mpk ukaombe kibali upande wa pili
 
Ili tuheshimiane ni vema waje kwani kerere zao haziwezi kumuzuia tembo kunywa maji.
 
Ni kweli tulisign mkataba OAU kuwa nchi zote za afrika tuheshimu mipaka ya mwisho tuliyoachiwa na wakoloni na mpk wetu wa mwisho ulikuwa unaonyesha ziwa lote la malawi km ni kosa analo Nyerere kwa kusign makubaliano yale wakati mpk uliwapa ziwa lote malawi. Nadhani Nyerere hakutaka kuonekana mkorofi ukizingatia alikuwa mwanaukombozi mpenda amani. Kinacjotakiwa ni kuwabembeleza tu tukienda mahakama yoyote tunashindwa ndio maana maongezi na malawi yameimarika hasa kuanzia kipindi cha mkapa lkn mambo hayakukamilika baada ya bakili muluzi kutoka madarakani. Baadae mazungumzo yakaendelea lkn hayakuzaa matunda mpk waingereza walipogundua mafuta kuvuka nusu ya ziwa kuelekea kwetu mgogoro ukaibuka upya lkn kisheria ziwa ni lao 100%

Wewe ni pungu.ani, tokea lini ramani ya Tz ikachorwa ikionyesha ziwa la wamalawi. Mipaka iliyoachwa na wakoloni ni pamoja na sheria inayonyesha mpaka kati ya nchi na nchi utapita katikati ya maji na si vinginevyo,

Ni punguani tu atakayesema ziwa upande wa msumbiji mpaka unapita katikati then ukija upande wa Tanzania, eti malawi ziwa lao wote. Msitujaribu., msifikiri tunashikiwa akili sisi, hatutaachia hata inchi ya ardhi yetu.
 
Naona Wamalawi wanacheza sharubu za Simba.
Soon tutawashikisha adabu kama Iddi Amini, na fidia ya usumbufu wa kuwashikisha adabu nishasema tutajibebea North Malawi (Mzuzu, Karonga, Chitipa). Mtaka yote mwisho hukosa yote, nafikiri watanielewa.
Malawi.jpg
 
Hata mi naona wapewe ziwa lao lote isitoshe halitusaidii chochote

Wewe utakuwa na tatizo la mgo lo bila shaka na hayo uliyoandika ni mawazo yatokanayo na mu washo, unge kuwa unaishi pembezoni mwa hili ziwa ungeona umuhimu wake, sio kila kitu muongelee kishenz shenz, ziwa nyasa ni Muhimu sana kwetu na ni haki yetu kunywa maji yake, kula samaki wake na hata kuchimba mafuta yake bila kkuathiri mazingira, maji asilimia tisini ya ziwa yanatoka tz.
 
Ni mpaka gani huo unaopita pembezoni mwa maji? Unajua kitu kinachoitwa mmonyoko wa ardhi wewe,, kwa umoja wetu watanzania tutalinda nchi yetu hata inchi moja haitaondoka,, isije ikawa mnaona watu wakipingana humu ndani kwa mambo yetu ya ndani yanayotuhusu mfikiri kwamba mkileta chokochoko tutatengana.

Tutasimama kidete kutetea ardhi yetu. Msitujaribu.
Utasimama wewe ficiem wenzako sisi tunawaza pesa zetu za rambirambi huku bukoba eti tutalinda linda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom