Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Kamanda wa Malawi aapa kulinda Ziwa Malawi

Kwa kawaida kelele za jirani haziwezi kumkosesha mwenye nyumba usingizi. Mipaka ya kwenye maji, bahari, mito na maziwa ina formular yake ya calculating, hivyo waacheni Wamalawi wajifurahishe tuu, mwisho wa siku mpaka ni pasu kwa pasu kama ulivyowekwa na ule mkutano wa Berlín wa 1884 na sio mkataba wa Hellingoland kwa sababu Waingereza walikabidhiwa Tanganyika just as a protectorate na sio colony, huwezi kumega kipande cha kitu cha dhamana na kukimegea koloni lako.

Paskali
 
Malawi naifananisha na mtu mfupi ziku zote anahisi anaonewa kwa sababu ya ufupi wake, Wamalawi inabidi wasome alama za nyakati huu utawala haujaribiwi.
 
Ulishawai kupigana nanani mwenye pawa zaidi idiamini na huko komoro hivi kuna kwingine mtakimbia nchi yenu soma jina langu utagundua.mimi nikabila gani sisi wanyasa tunataka nchi yetu iwe malawi tumechoka kuongozwa na mambumbumbu ficiem
Malawi aliwahi kupigana?
 
Kama ziwa ni lao wazuie meli zetu kuvinjari kwenye maji yao.
 
Rais wa Malawi aliye tangazwa kama missing in action alipatikana?
 
Waseme na Dodoma ni mali yao waliokabidhiwa na O.A.U tuone kama hawatatafuta pakwenda kwa maana itabidi tujenge makazi ya kutosha ya walowezi wa kitanzania ktk ukanda wa Nyasa kuelekea mpaka Lilongwe
 
Wewe vyombo vya ulinzi vikuchunguze kauli hii inanifanya niamini kuwa wewe si Mtanzania....

Watch your way linapokuja suala la maslahi mapana ya Mama Tanzania.........[emoji109] [emoji109]

Sintashangaa huyu jamaa akirudi kesho na kusema tuwape wa Kenya kilimanjaro na wa Uganda Victoria.

Hiyo comment yake ni kijinga mno.
 
Vinchi kama Malawi vinatakiwa vichapwe ndo viwe na adabu
 
Nafikiri malawi kama wanajipenda wangeachana na huu mgogoro, maana mwisho wa siku wanaweza kuja jutia. Tatizo vinchi kama hivi vikichochewa na nchi za ulaya vinajaa kiburi kweli
 
Sisi wenyewe wanyasa home mbambabay tunasema tunataka kuwa sehemu ya malawi wewe msukuma kawe sehemu ya burundi kama unatamani
Sasa kama una mabasha zako huko malawi si bora uvuke mpaka uende, sisi tukiamua kufanya crackdown hatujali kama kuna watu huko mna mahaba na malawi, ni bora mwondoke mapema
 
Mbona mfano wako haufanani na mada?
Mi mwenyewe nimepata tabu kidogo kufananisha,anyways nilimaanisha hivi,tunashare bahari ya hindi na kenya,sidhani kama inaweza kuwa sahihi wakenya wakasema mpaka uwe pwani ya tanga(nikidhani mombasa ipo jirani na tanga)
 
Inamaana balozi wao hajawaambia kwamba huku watu wanapasuliwa matofali kifuani na kwenye utosi pamoja na kulalia misumali kitumbo wazi? Sio bure wanyasa wanawashwa
 
Uko sahihi bali nikurekebishe kidogo kuwa mkataba wa mwisho unaokubalika unasema malawi wanacontain ziwa lote. Makubaliano ya OAU hayaongelei mpk wa nchi moja moja bali yanazitaka nchi zote ziheshimu mipaka inayotambulika iliyochorwa na wakoloni hivyo tunajifunga kutumia mikataba mingine yoyote labda kwa ridhaa ya nchi husika. Tanzania tunafanya majadiliano tokea enzi za mkapa kwa sab tunaamini tukienda mahakamani tutashindwa tunajaribu kuishawishi malawi kwa kutumia haki za urithi wa mali za asili n.k kitu ambacho malawi wamekuwa wanasuasua japo utawala wa bakili muluzi ulielekea kukubaliana na tanzania. Ni kweli mikataba ya maridhiano ya viongozi huwa inaleta migogoro wakati mwingine lkn inatambulika kimataifa na inaheshimika kuivunja itakuwa ni ukorofi ambao unaweza kutumika kuvunja hata mikataba ya kimahakama au mingine kama alivyofanya idd amin ndio maana dunia ya leo imeweka adhabu za vikwazo vingi ili kuzifanya nchi ziache ubabe dhidi ya nchi nyingine. Hivyo kwa kuwa tunaweza kushindwa mahakamani na bado tuna haki ya kuyatumia maji yale hata kwa urithi tu ni vizuri tuongee nao wakubali tutumie mkataba wa UN kwani ni kitu kisichoingia akilini wananchi washindwe kuvua kuoga au kuchota maji ziwani mpk waende upande wa pili kuomba kibali!!!
Hujui chochote unajifanya unajua. Unajua international law kuhusu mipaka?
 
Acha kutisha watz ww, fanyeni fyoko muone moto wetu. Masikini nyinyi soma jina langu utajua mimi ni nani. Tutaigeuza jivu Malawi yote
Nafikiri taarifa za hawa wakata majani toka malawi wanaoishi bongo kinyume cha sheria na kutaka kuisaliti nchi, wanaojiita ndomba, chikundu sijui vitu gani ndo zinatakiwa zitolewe kama zitahitajiwa na TISS
 
Wewe vyombo vya ulinzi vikuchunguze kauli hii inanifanya niamini kuwa wewe si Mtanzania....

Watch your way linapokuja suala la maslahi mapana ya Mama Tanzania.........[emoji109] [emoji109]

We mtandao unatumiwa na Nchi tofauti, sio kila anae comment ni mtanzania kaka/dada
 
Back
Top Bottom