masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 789
Ramani uliyoitumia darasani iliwahi kukuonesha kuwa Lake Nyasa lote ni la Malawi?Kama ni haki yao wapewe. Ubabe na maneno ya fedhuli hayasaidii
Kama uliwahi iona basi sawa. Ila kama uliyoisoma na kuiona ni sawa na tuliyoiona na kuitumia darasani sisi...hawana chao. Waambie hawana chao. Wabaki na sehemu yao kama inavyoonekana tangu zamani.
Hawana tofauti na jirani anayesogeza mpaka wa kiwanja kila uchao kwa kusogea kidogo kidogo mwisho wa siku kafika hadi miguu 2 au 3.
Akileta fyokofyoko achapwe. Over.