Ramani iliyochorwa na wajerumani na ndiyo tambulika na OAU ambayo sasa ni AU.Ramani ipi?
Mkuu Mdondoaji, nimesema tufuate mipaka ya The Berlin Conference but only ile iliyofuata international law. Pasu kwa pasu ni water bodies za mipakani. Ile ya 10 miles strip na Mlima Kilumanjaro tufuate mipaka ya Muingereza, ila kiukweli Mlima Kilimanjaro uko Kenya ila kule hauwezi kupandika ndio maana hata mstari wa mpaka pale umepindishwa.Mkuu Paskali,
Heshima yako kwa hoja hii je na Mlima Kilimanjaro, Ukanda wa pwani Km 12 ndani kutoka Lamu hadi Msumbiji na Rwanda na Burudi je unasemaje? Ulimsikia Professor Sharif wa Zanzibar alisema nini kuhusu waingereza na Tanganyika?
Waliichora kwa lengo gani? Je, wali consider natural categorizations? Au walibuni tu wakiwa kwenye mkutano wao ulaya?Ramani iliyochorwa na wajerumani na ndiyo tambulika na OAU ambayo sasa ni AU.
Hapa nadhani umepotoka kidogo. Either hujui historia au unataka kujifurahisha tu. Kwani kupinda hapo ndiyo inakuthibitishia mlima upo kenya? Mbona huongelei kupinda toka ziwa victoria? Kwa mantiki ukiunyoosha mstari toka ziwa victoria si utajikuta Nairobi na Mombasa zipo TZ.Mkuu Mdondoaji, nimesema tufuate mipaka ya The Berlin Conference but only ile iliyofuata international law. Pasu kwa pasu ni water bodies za mipakani. Ile ya 10 miles strip na Mlima Kilumanjaro tufuate mipaka ya Muingereza, ila kiukweli Mlima Kilimanjaro uko Kenya ila kule hauwezi kupandika ndio maana hata mstari wa mpaka pale umepindishwa.
Paskali
Hilo swali walitakiwa wajiulize viongozi wa nchi za africa akiwemo nyerere kwa sab waliridhia kwa sauti moja na kupiga saini kila kiongozi hii ndiyo legitimacy wanayojivunia wamalawiWaliichora kwa lengo gani? Je, wali consider natural categorizations? Au walibuni tu wakiwa kwenye mkutano wao ulaya?
Tutawafinyia kwandan huku tukicheza kokoro oooh ohoooo we waache tuWaache bange wafanye kama alivyofanya Idd Amini ili tumfanye kama tulivyomfanya Idd Amini shenz zake
Upo na ndio unaowapa kiburi malawi. Mpaka wa mwisho unaoheshimika na OAU ni ule uliochorwa na wakoloni ambao unaonyesha ziwa lote ni malawi (sijui walikula maharagwe gani) na marais wote wa Africa wakati huo walisaini makubaliano ya kuheshimu mkataba huo wakiwemo Nyerere na Banda lkn kuna mkataba mwingine wa UN unazitaka nchi zinazopakana na maji zigawane maji hayo nusu kwa nusu. Mkataba wa OAU umetufunga tusiende kwenye ule wa UN sasa suluisho kwa sasa ni mahakama ya kimataifa au maridhiano ya kibinaadam ambayo ni hiyari na ridhaa inayotawala. Tanzania haitaki kwenda mahakamani inahofia kushindwa kutokana na kujifunga kimkataba badala yake inataka maridhiano kwa upande wa malawi wanasuasua kukubali maridhiano sab wanajua kuna haki nyingi za kimsingi za binadamu aliyezaliwa eneo lenye maji zinavunjwa na mchoro wa wakoloni lkn wanasisitiza kwamba wakoloni walikuwa na sab za msingi kuwapa ziwa lote hasa ukizingatia Tanzania tuna maziwa na mito mingi vilevile bahari kubwa tu.
Mbona unakomalia sana kuhusu OAU. Hebu leta hiyo law hapa tuisome usijeukajikuta wewe umeingia chaka. Weka source ya hiyo law tuione.Hilo swali walitakiwa wajiulize viongozi wa nchi za africa akiwemo nyerere kwa sab waliridhia kwa sauti moja na kupiga saini kila kiongozi hii ndiyo legitimacy wanayojivunia wamalawi
Itakua umeshaolewa huko muda mrefu sana!
Hata Iddi Amini alikuwa na maneno kama yako,
halafu nyie kina chi.... che.... lazima tuanze kuwaangalia kwa darubini kali.
Ukisikia ujinga ndio huu, na Ukisikia wajinga ndio watu kama wewe.Hapa nadhani umepotoka kidogo. Either hujui historia au unataka kujifurahisha tu. Kwani kupinda hapo ndiyo inakuthibitishia mlima upo kenya? Mbona huongelei kupinda toka ziwa victoria? Kwa mantiki ukiunyoosha mstari toka ziwa victoria si utajikuta Nairobi na Mombasa zipo TZ.
Nimesema umepotoka kwa kukuheshimu tu. Zaidi ya hapo futa hiyo kauli yako inayoegemea kwenye conspiracy.
Mbona sijaona mahali unazungumziwa mgogoro wa ziwa nyasa!?Anatamani nchi yake iwe mkoa wa Tz !
hiyo ishu ya mawimbi, maji kupungua nk haina mantiki. mpaka hufuata longitudo na latitudo siyo shoreline. ila wakishindwa kucompromise hata hayo mafuta watashindwa kuchimba.