Kama USSR isingesambaratika dunia ingekuwaje leo?

Kama USSR isingesambaratika dunia ingekuwaje leo?

Technolojia gani ambayo magharibi wanayo Russia hana? Kwa taarifa yako kaa ukijua Russia kuna wayahudi na USA kuna wayahudi hawawote ndo wanafanya inovation ya technology kama unakumbuka hawa wote walichukuliwa kipindi Russia ilipoiteka Berlin baadaye USA naye akashotukia mchezo akawachukua wanasayansi kadhaa wa kiyahudi na ndo chanzo cha uhasama aka Vita baridi.

Russia ni mshindani wa marekani kwenye military technology tu huko kwingine russia ni mweupe yaani hata south korea na japan hawezi kuzigusa
 
Nielewavyo ni kwamba sample zimepelekwa nje kwa uchunguzi, ili tujue ni nini kiliwaua hao dolphins. Tusubiri majibu ya uchunguzi kabla ya kuwacharukia Wamarekani.

Utalii ni uti wa mgongo wa uchumi wa Zanzibar. Kitu cho chote kinachoharibu ufukweni Zanzibar ni tishio kwa usalama wao (na wetu).

Nadhani watu independent kama Green Peace nao wangealikwa kuchunguza kinachendelea. Waziri Mwandosya ndiye anahusika, na naamini ataweza kushughulikia kikamilifu.

Augustine Moshi

Hahaaa! Bila wayahudi USA hana jipya katika upande wa electronic Japana na nchi za kadhaa za Asia ndo inaongoza ndo maana katika kampuni zote za USA lazima utawakuta wajapani wengi sana wakifanya kazi na ndo wanaoleta inovation.
 
Yaan ni sawa na kusema marekani bila kenya ama afrika isingekuwa na rais saiz, kweli!
 
Man, you are real mgalanjuka, I wrote that they have satellite but i did not say many satellite. You seems smart but dizzy.......
All what you know is 'funny guy'
Please be kind and contribute something concerning the thread topic.

Taja Satellite Tano za north korea zilizopo Angani..!!?
 
Russia ni mshindani wa marekani kwenye military technology tu huko kwingine russia ni mweupe yaani hata south korea na japan hawezi kuzigusa

Mr Elias Inabidi ujifunze zaidi.Russia Navy has no match even to Italy's,Russia Airforce has no match even to Israel's how can it be Ahead...!!?
 
Hapa tunaongelea sayansi siyo siasa kwani wewe unashindwa kuwa rais? Au unadhani rais anaakili kuzidi wote katika nchi yake?

Kwa wewe unashindwa kuwa mwanasayansi? Au unadhani mwanasayansi ana akili kuzidi wote katika nchi yake?

Afu jifunze kuelewa maana ya mifano, mchungaji ama sheikh akitoa mfano wa mlevi katika mahubiri haimaanishi anahubiri pombe sawa
 
Mr Elias Inabidi ujifunze zaidi.Russia Navy has no match even to Italy's,Russia Airforce has no match even to Israel's how can it be Ahead...!!?

Nimesema russia ni mshindani kijeshi tu kwingine kapigwa gap na hayo uliyosema ni ya kijeshi. Badhani nimeeleweka
 
Nimesema russia ni mshindani kijeshi tu kwingine kapigwa gap na hayo uliyosema ni ya kijeshi. Badhani nimeeleweka

Back to your Argument... Make a research on comparisson between Us Airforce and Russia's US navy and Russia's and further more US can a strikes from any where (I mean US has many effective bases around her potential enemy) which in turn, Russia has only one navy base in Syria... If the war where to break out between these nations Russia will be the First to consider nuclear Strike..
 
Swali langu lilikua dogo tu,kama USSR ingekuwapo leo dunia ingekuwaje?,simaanishi RUSSIAN FEDERATION hii ya V Puttin.Kumbuka kabla ya kusambaratika hizi nchi zilizojitenga za Estonia,Luthuania,Azebaijan,Kyugistan,Latvia,Ukrain, Tajikistan,Georgia,n.k yalikua ni majimbo yaliyokua yakiunda umoja wa Kisovieti.kumbuka haya sasa ni nchi zina nguvu za kiuchumi na kijeshi,na hizi nguvu walihama nazo,yaani yalijitenga yakiwa na silaha,uchumi,viwanda n.k.Kumbuka Kama USA USSR nayo ilikua imedeploy majeshi dunia nzima,kumbuka USSR iliivamia Afghanistan na kuitawala kwa miaka 10 1979 - 1989.Kama USSR ilikua mkuu wa umoja wa kujihami wa WARSAW PACT na kama ilikua mshindani mkuu wa USA na allies wake.kumbuka kuweza kutengeneza kombora moja tu la ICBM YAANI inter continental ballistic missile ni lazima uwe na uchumi imara sana,kuweza kutengeneza space station kama MIR ni lazima uwe na uchumi imara sana.kuweka majeshi LATIN america ni gharama sana.WEAPONS RACE NA COLD WAR ni gahrama sana.kosa alilofanya USSR ni to put ALL GOOD EGGS IN MILITARY BASKET.Natambua kua USA ndio sole super power kwa sasa economically na militally. Ajali aliopata USSR ilimpotezea wakati kwani alitumia mda mwingi kujijenga upya wakati mshindani wake anasonga mbele.hoja yangu inabaki palepale kwa hayo machache niliyosema hapo juu kuwa kama USSR isingesambaratika dunia ingekuaje leo?
 
Russia kwa sasa yupo juu kivita tu ila sekta nyingine za uchumi ni mweupe tu
 
Waafrika hatushindwi kuwa wnasayansi tatizo ni serikali kutokutoa viapumbele kwa watafiti na kuwawezesha ili wafanye tafiti zao, Kijana nilikujibu kutokana na ulivyouliza sasa hapa hatupo kanisani/msikitini,

Kwa wewe unashindwa kuwa mwanasayansi? Au unadhani mwanasayansi ana akili kuzidi wote katika nchi yake?

Afu jifunze kuelewa maana ya mifano, mchungaji ama sheikh akitoa mfano wa mlevi katika mahubiri haimaanishi anahubiri pombe sawa
 
Mr Elias Inabidi ujifunze zaidi.Russia Navy has no match even to Italy's,Russia Airforce has no match even to Israel's how can it be Ahead...!!?

Mkuu, eti ni kweli uliacha kukojoa kitandani ukiwa mkubwa kabisa?
Italy ni moja ya vinchi vingi vya NATO ambavyo vinaogopa kumkaribia russia kule crimea/ukraine.
Na hutasikia hata siku moja russia anagombana na muisrael. Kwani waisrael moto wa russia wanaujua.
Kwa airforce wakwanza ni Russia wa pili america.
 
Russia kwa sasa yupo juu kivita tu ila sekta nyingine za uchumi ni mweupe tu

Mkuu, kila mtu anasema hivyo. ukimwambia how??? hana jibu.
Hakuna sekta yoyote aliyoyumba.
Hivi unajua kielimu asilimia kubwa ya raia wa russia wamesoma kuliko russia? hivi unajua kwamba russia ukifikia kiwango fulani cha elimu lazima upate kazi kwa kiwango cha mshahara unaokutosha tofauti na america?
 
Waafrika hatushindwi kuwa wnasayansi tatizo ni serikali kutokutoa viapumbele kwa watafiti na kuwawezesha ili wafanye tafiti zao, Kijana nilikujibu kutokana na ulivyouliza sasa hapa hatupo kanisani/msikitini,

Tafuta kwanza maana mfano labda itasaidia zaidi
 
Mkuu, eti ni kweli uliacha kukojoa kitandani ukiwa mkubwa kabisa?
Italy ni moja ya vinchi vingi vya NATO ambavyo vinaogopa kumkaribia russia kule crimea/ukraine.
Na hutasikia hata siku moja russia anagombana na muisrael. Kwani waisrael moto wa russia wanaujua.
Kwa airforce wakwanza ni Russia wa pili america.

http://www.businessinsider.com/11-most-powerful-militaries-in-the-world-2014-4

Prove Us wrong with evidence and Actions not just bare words
 
Russia kwa sasa yupo juu kivita tu ila sekta nyingine za uchumi ni mweupe tu

Kumbuka vita na uchumi ni vitu vinaenda sambamba mjomba, kumbuka vita vya kagera vilivyoisha tanzania ilikuwa kwenye hali gani, then vuta picha Iddi amini angakaza vita isonge miaka miwili mbele ya hapo ilipoishia wat will happen.
 
Kuhusu nani atampiga mwenzake ni ngumu kujua coz nchi kubwa kama marekani na russia vifaa wanavyoonyesha au vinavyojulikana sivyo tunavyofikiri wanavyo kuna ambavyo ni siri na ndo maana wana spy ili kila mtu amtambue mwenzake. Na usiangalie marekani kapigana na Iraq so ndo hivyo hivyo atapigana na Russia mtu anaanzwa kudhoofishwa kiuchumi kabla hajapigwa na ndo marekani anachoanza kukipandikiza sasa, kaanza na china wananchi na wanafunzi wanataka democratic government,akamuangusha mchina mrusi kwake ni mrahisi sana. Ila kwa sasa marekani hawezi kumfanya Urusi kitu wakati china bado imesimama kiuchumi hivi lazima aishushe kwanza china then ndo ataweza ku step forward. But all in all money ni kila kitu katika vita lasi hivyo hata ukiwa na vifaa vikali vipi kama hauko vizuri finacially utapigwa tu. Uchumi wa nchi ukiwa mkubwa lazima na kijeshi litakuwa vizuri mfano mzuri India, juzi kati iko kawaida but now imepita nchi zote za ulaya ingawaje kivita hatoziweza.
 
Back
Top Bottom