Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,285
Mkuu sijakuelewa, hitler aliipiga USA kwa hiloshima na nagasaki bomb?......ehehehe!
Kwa taalifa yako mkuu pesa hazi determine Technologia. Mchina ana pesa lakini huwezi kulinganisha tech yake na ya Russia. Kama ni hiRussia ana siraha kali sana angani na hazina ya mafuta hukohuko. hata siku moja russians hawawezi kutumia satelite za USA tena especially kwenye millitary activities.......du! ipo kazi. vyo mbona gadaffi alikuwa ana pesa nyingi lakini hakuwa na tech kubwa?
CHINA, North korea vile vile wana satelite zao. Hapo ndipo USA anapoogopa kugombana na russia, kwasababu kama vita ikiwa kubwa. Russians wanaweza ku destroy satelite za mmarekani huko angani.
Jamaa yangu km uelewa wako ni huu kuwa kuna Siraha angani basi yaishe
na hakuna mahali niliosema Hitler aliipiga USA
ila Bomu (Little-man) la Nagasaki na Bomu la (Fat-man) la Hiroshima ndilo lilomaliza Vita kuu ya Pili ya Dunia
hebu fuatilia Historia ni wapi Russia kapigana na Taifa lingine la mbali zaidi ya Polland, Hungary na vinchi vya jirani?a
ruke basi km USA anavyokung'uta Vietnam, Afghanistan Iraq nk