Kama USSR isingesambaratika dunia ingekuwaje leo?

You're right [emoji736]
I think it collapsed because the system was built on lies...power was given to the few who abused it. Leo hii dunia ingekuwa si salama kabisa kama watu wangeendelea kutunishiana misuli kwa kutumia silaha za nyuklia. Let Lenin and Karl Max rest were they deserve. The system they devised was not realistic
 
sidhani kama huo mfano ni sahihi ulioutumia.
Russia ni strong kama zamani. kilichobadilika ni kuwa km/eneo la himaya yake ndo imepungua. Lakini kiuchumi iko safi sana. Wale matapeli wa benki ya dunia-IMF walitaka kumpa msaada lakini alikataa akawaambia hawana sera ya kukopa pesa nje ya russia. Mpaka sasa ana siraha nzito na za maana hata kuliko USA. Najua watakuja watu hapa watapinga bila ushahidi.
Bado ana control stations zake za kwenda anga za mbali, ana zana za kivita na security huko mwezini.
Jeshi lake linajitoshereza kwa wanajeshi na vifaa, yaani mkusanyiko wa vinchi vyote vya ulaya bado unakuwa hujafikia uimara na vifaa vya russians box headed!
Ki technologia mfumo wake ni mzuri ukilinganisha na USA. USA wananunua wataalam/scientists lakini russia wana create scientists.
Warusi weusi mnajua kujipa moyo sana, ni kweli unaamini kiteknolojia Russia yuko vizuri kuliko US?
 
sidhani kama huo mfano ni sahihi ulioutumia.
Russia ni strong kama zamani. kilichobadilika ni kuwa km/eneo la himaya yake ndo imepungua. Lakini kiuchumi iko safi sana. Wale matapeli wa benki ya dunia-IMF walitaka kumpa msaada lakini alikataa akawaambia hawana sera ya kukopa pesa nje ya russia. Mpaka sasa ana siraha nzito na za maana hata kuliko USA. Najua watakuja watu hapa watapinga bila ushahidi.
Bado ana control stations zake za kwenda anga za mbali, ana zana za kivita na security huko mwezini.
Jeshi lake linajitoshereza kwa wanajeshi na vifaa, yaani mkusanyiko wa vinchi vyote vya ulaya bado unakuwa hujafikia uimara na vifaa vya russians box headed!
Ki technologia mfumo wake ni mzuri ukilinganisha na USA. USA wananunua wataalam/scientists lakini russia wana create scientists.
Awali nami sikujua Kama Russia alishakuwa stable, ila unapoona Vitaifa vya Ulaya vinapambana kujiunga pamoja na kutaka ushirika USA tafsiri yake ni kuwa Russia pia ni Super power.
 
Kwa nini hatutaki uhalisia wa mambo... Urusi ni dhaifu kwa sasa.. huna haja ya kusubiri vita ndo uamini hivyo... tazama suala la Ukrania... walikuwa na rais anayewaunga mkono alisaini mkataba na Urusi akakataa wa Ulaya.Lakini baadaye alipinduliwa na sasa wamesaini mkataba wa biashara na Ulaya na kuiweka Ukrania karibu na Ulaya magharibi na kuongeza uwezekano wa NATO kuwa karibu na mpaka wa Urusi
Choko choko zote nadhan zimeanzia Hapa[emoji22]
 
Urusi haiwezi kuleta balance of power dunia hii ya sasa na uchumi wake wa kudunduliza ulio mdogo sana ukilinganisha na West. China labda ndio inaweza kuleta balance of power kwa sababu ina uchumi mkubwa unaokimbizana na West kwa karibu.
Fikiria mabingwa wa riadha wawili wanaaokaribia kwelikweli wanakimbia,mmoja akapata ajali akadondoka,akavunjika mguu,akaanza kujitibu akapona lakini hakuwa kama alivyokuwa mwanzo.Kuvunjika ni kuvunjika tu.

Huwezi kuwa sawa kama ulivyokuwa kabla hujavujinka.Yule mwingine akashinda mbio na sasa ndio bingwa pekee wa riadha.

Napenda kufahamu usalama wa dunia ungekuwaje leo hii kama USSR ingekuwepo leo hii kama vile ilivokuwa kabla ya kusambaratika.

Weapons race ingekuwaje,cold war ingekuwaje.Je ni sawa kuwa nasole superpower au kuwa na balance of power.?
 
Russia imepewa mikopo mikubwa sana na IMF tangu 1992.
sidhani kama huo mfano ni sahihi ulioutumia.
Russia ni strong kama zamani. kilichobadilika ni kuwa km/eneo la himaya yake ndo imepungua. Lakini kiuchumi iko safi sana. Wale matapeli wa benki ya dunia-IMF walitaka kumpa msaada lakini alikataa akawaambia hawana sera ya kukopa pesa nje ya russia. Mpaka sasa ana siraha nzito na za maana hata kuliko USA. Najua watakuja watu hapa watapinga bila ushahidi.
Bado ana control stations zake za kwenda anga za mbali, ana zana za kivita na security huko mwezini.
Jeshi lake linajitoshereza kwa wanajeshi na vifaa, yaani mkusanyiko wa vinchi vyote vya ulaya bado unakuwa hujafikia uimara na vifaa vya russians box headed!
Ki technologia mfumo wake ni mzuri ukilinganisha na USA. USA wananunua wataalam/scientists lakini russia wana create scientists.
 
Sasa amekutana na Biden anayejua pa kuanzia
Yes, unaona sasa hivi wanavyoichezea Ukraine kama kinda la ndege. Hata Obama na ujanja wake anashindwa aanzie wapi. Security yao iko juu sana........
 
Hakika.
I think it collapsed because the system was built on lies...power was given to the few who abused it. Leo hii dunia ingekuwa si salama kabisa kama watu wangeendelea kutunishiana misuli kwa kutumia silaha za nyuklia. Let Lenin and Karl Max rest were they deserve. The system they devised was not realistic
 
Communism ni mfumo unaleta ahueni na manufaa kwa wengi lakini capitalism ni mfumo unaofanya kazi kwa faida ya wachache kwa kunyonya rasilimali za wengi.Yaani wengi ni ngazi ya wachache,,watu dhoofu kama Nyerere wangekuwa wamesoma nchi za kisovieti na kuyaelewa kwa undani mawazo ya watu wenye akili kubwa kama Lenin Leo Tanzania isingekuwa shamba la bibi au mwembe wa uwani wa nchi za kinyonyaji za magharibi.Ingekuwa na watu wenye viongozi wanaojitambua wazalendo wasio na viwatilifu vya kisaliti na upumbaf.
 
Justdoitnow uliendaga wap kamanda pro russia wa ukweli? popote ulipo tunaikumbuka hii post yako. Kuna tetesi unatumia ID mpya.
 
Attachments

  • 1667881858155.jpg
    1667881858155.jpg
    57.1 KB · Views: 7
Back
Top Bottom