Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,808
Tafuta kwanza maana mfano labda itasaidia zaidi
Huna jipya kijana
Tafuta kwanza maana mfano labda itasaidia zaidi
Kumbuka vita na uchumi ni vitu vinaenda sambamba mjomba, kumbuka vita vya kagera vilivyoisha tanzania ilikuwa kwenye hali gani, then vuta picha Iddi amini angakaza vita isonge miaka miwili mbele ya hapo ilipoishia wat will happen.
Russia kwa sasa yupo juu kivita tu ila sekta nyingine za uchumi ni mweupe tu
usikwepe Swali mention majina ya Satellites za north korea ambazo zipo Angani..!!?
Mkuu, kila mtu anasema hivyo. ukimwambia how??? hana jibu.
Hakuna sekta yoyote aliyoyumba.
Hivi unajua kielimu asilimia kubwa ya raia wa russia wamesoma kuliko russia? hivi unajua kwamba russia ukifikia kiwango fulani cha elimu lazima upate kazi kwa kiwango cha mshahara unaokutosha tofauti na america?
Ok mkuu nilimaanisha wamesoma kuliko raia wa USAConfusing statement. Hueleweki.
Muwe mnasoma msipende kubishana tu kiushabiki, Rusia unajua ni ya ngapi kwa kuwa na uchumi wenye nguvu Duniani? Unajua Russia ni ya ngapi kwa kuwa na akiba nyingi ya fedha za kigeni? Kusema hayuko vizuri kiuchumi unakosea, Russia anauza magari na so far amenza kuuza ndege za abiria
Mfano hapo chini ni Ndege zake mpya na tiyari zimeisha anza kuuzwa nje hiyo ni Sukhoi Super jet
![]()
Huna jipya kijana
Unaweza kulinganisha uchumi USA na Russia wewe! Ebu cheki mwenyewe
Rank, Country/Region, GDP (Millions of US$)
1 United States 16,800,000
2 China 9,240,270[n 2]
3 Japan 4,901,530
4 Germany 3,634,823
5 France 2,734,949[n 7]
6 United Kingdom 2,522,261
7 Brazil 2,245,673
8 Russia 2,096,777[n 4]
9 Italy 2,071,307
10 India 1,876,797
Chuki zenu na USA zisifanye mnaanza kupindisha ukweli kufanya russia ionekane ina nguvu.. katika military hakuna kama mmarekani huo ni ukweli hata muimbe ngonjera... russia ndio anafata baada ya hapo.. u guys have no idea what these guys are capable of, mnaishia kwenye media tu CNN, mngejua military ya US walivojipanga msigetamka neno....
USSR isingevunjika am pretty sure dunia ingekua kama ilivo leo tu, japo kuna probability pia jamaa ndo wangekua world number one afu USA wakafatia..
Mbona unatokwa povu kuitetea USA katika militari Russia hachezewi, ndo maana USA anaogopa nchi kama Iran ikiwa stable na ikapata technology ya Russia USA hatosogea, USA pamoja na kuisifia haijawahi kushinda vita badala yake huwa wanakimbia wenyewe.
Haya bna, statement zote hizo ambazo unatoa ukiombwa evidences huna... au nuclear power ya russia ndo inakutisha? waka nuclear missiles 7k USA wanagusa 10K sasa hivi... naona we ndo unatokwa na povu kuongea kitu ambacho nikiomba uje na data huna, unabaki kujaza assumptions tu... its a waste of time talking to people who don't come with evidences to back up their claims
Kwa hiyo kutokana na US kutokuingilia kati ina maanisha moja kwa moja russia anamshinda power? thats your argument! hahaha, una conclude ovyo afu mapema sana.... marekani hawajaogopa, kuna nchi huwezi ziendea kijinga hata kama unazishinda nguvu, mrussia akipigana na mmarekani unajua watakavochoshana? au unadhani wao wawili ni wajinga kuingia kwenye vita ambayo wanajua itawashusha na kuwageuza maskini... russia wakipigana na USA jiandae kupata vita ya tatu ya dunia, nchi nyingine zote zitachagua upande na watu watakufa, wanalijua hilo na wanajaribu kulizuia, mwisho wa siku ni watu wataumia, na hilo halimaanishi russia yuko juu, ana nguvu kubwa sema mbabe wake US..Kwani wewe data unazotaka ni data zinazotoka wapi? Haya mambo ya military power huwa ni secret kubwa kila nchi. Sisi kuna viashiria fulani vinavyoonyesha uwezo wa kijeshi wa nchi fulani. kwa mfano, mbona USA na washirika wake wameogopa kwenda kumtoa russia crimea? mbona USA na washirika wake wameogopa kusaidia jeshi la ukraine kupambana na pro russia? utasema ukraine siyo NATO member, sawa, lakini mbona iraq, libya, afghanistan etc nanaingilia moja kwa moja kijeshi?
Hachana na mzee mzima PUTIN bwana.
Hizo figer ni za mwaka gani? Brazili yenyewe kwa sasa ni ya sita wewe hizi data ni za maika ya 2010
Kwani wewe data unazotaka ni data zinazotoka wapi? Haya mambo ya military power huwa ni secret kubwa kila nchi. Sisi kuna viashiria fulani vinavyoonyesha uwezo wa kijeshi wa nchi fulani. kwa mfano, mbona USA na washirika wake wameogopa kwenda kumtoa russia crimea? mbona USA na washirika wake wameogopa kusaidia jeshi la ukraine kupambana na pro russia? utasema ukraine siyo NATO member, sawa, lakini mbona iraq, libya, afghanistan etc nanaingilia moja kwa moja kijeshi?
Hachana na mzee mzima PUTIN bwana.
Mbona russia hakuisaidia iraq isivamiwa na US, alimuogopa mmarekani, chezea US Army ww
Kwa hiyo kutokana na US kutokuingilia kati ina maanisha moja kwa moja russia anamshinda power? thats your argument! hahaha, una conclude ovyo afu mapema sana.... marekani hawajaogopa, kuna nchi huwezi ziendea kijinga hata kama unazishinda nguvu, mrussia akipigana na mmarekani unajua watakavochoshana? au unadhani wao wawili ni wajinga kuingia kwenye vita ambayo wanajua itawashusha na kuwageuza maskini... russia wakipigana na USA jiandae kupata vita ya tatu ya dunia, nchi nyingine zote zitachagua upande na watu watakufa, wanalijua hilo na wanajaribu kulizuia, mwisho wa siku ni watu wataumia, na hilo halimaanishi russia yuko juu, ana nguvu kubwa sema mbabe wake US..
Nachosema mimi ni kua Russia hamzidi nguvu USA, my point was pretty clear mbona toka mwanzo...Unakubali nini na unapinga nini? mi sikuelewi mkuu. labda kama kuna mtu ameelewa huyu jamaa anaongea nini anisaidie kufafanua.......