izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
Binadamu wote ni zao la maamuzi tunayofanya wenyewe au wanayofanya watu au viumbe wengine juu yetu na sehemu pekee ambapo maamuzi ya kila kitu yanafanyika ni katika ubongo ambapo wanasanyansi wanasema ndio organ pekee ya mwanadamu inayofanya kazi zake kwa kasi kuliko organ zingine zote 3 pound sawa na 1.4Kg ndio uzito wa ubongo wa mwamdamu na ndio Command Center na ndipo ndani ya masaa 24 maamuzi 35,000 yanafanyika kwa watu wazima huku mtoto anafanya maamuzi 3000
NEURONS
Hizi ndizo basic working unit ndani ya ubongo wa mwanadamu ambapo inasemekana binadamu tuna 100 billions of neurons ndani ya ubongo ambazo ndani ya saa moja zinatuma taarifa sehemu mbalimbali mwilini kwa speed ya miles 270 kwa saa sawa na gari aina ya Hennessey Venom GT (270 mph) ambayo ndio fastest car in the world katika maamuzi tunayofanya yanawezekana kuwa mazuri au mabaya . Maisha ya binadamu yametawaliwa na vitu viwili
A Past
B Future
Maendeleo ya binadamu ya kiuchumi ,kijamii na kiulinzi na kiusalama yanatokana na
A Past (Historia)
B Future(Sayansi)
Binadamu tunahofu au kuogopa FUTURE zetu huku tukijivunia au kujilaumu juu ya PAST zetu so maamuzi ya mbeleni ndio tunayaogopa zaidi kuliko yale maamuzi tuliyofanya kipindi cha nyuma so maaamuzi ya uwepo wa amani na maendeleo ya dunia hasa enzi hizi za WMD AGE ambazo ndani yake kuna silaha za nuclear, radiological, chemical, biological ( weapon of mass destruction) baada ya ATOMIC AGE July 16, 1945, yanategemea utashi wa viongozi wa U.S.A , Russia,China na EU
Tukiangalia maamuzi 5 yaliyofanyika nyuma ambayo viongozi waliyafanya kuepusha dunia na balaa ambayo kama yangefanyika tofauti na yalivyofanyika mimi na ww leo tungekuwa tunaongea mengine
1 WASHINGTON DC (October 16–28, 1962)
Mwezi wa 10 mwaka 1962 ni mwezi wenye majina mengi kama October Crisis ,Cuban Missile Crisis,Missile Scare , Crisis de Octubre huu ndio mwezi ambao vigogo wawili wa Dunia walikutana huso kwa huso na kuleta tension kubwa kabisa duniani kwa kutokea vita vya Nuclear vya kwanza kabisa baada ya kuisha kwa vita vya pili vya dunia wababe hao ni United States na Soviet Union USSR ambapo USA alipeleka ballistic missiles haya ni makombora ya masafa marefu,masafa ya kati na masafa mafupi ambayo yanajulikana kama intercontinental ballistic missiles (ICBM) ndani ya nchi za Italia na Uturuki main target wakiwa ni wakazi million 209, 035 000 wa iliyokuwa USSR kitendo kilichofanya ndani ya jengo la Grand Kremlin Palace, Moscow Kremlin Vodka zisinywewe kwa raha ndipo baraza la Supreme Soviet of the Soviet Union walipofanya maamuzi
Baada ya kushindwa kwa Bay of Pigs Invasion mission ambapo Central Intelligence Agency (CIA) walitoa udhamini kwa kikundi cha kijeshi Brigade 2506 kwa ajili ya kupindua serikali ya Cuba ambapo uvamizi ulifanyika kupita Guatemala and Nicaragua 17 April 1961 mapigano ya situ tatu ambapo jeshi la watu wa Cuba Cuban Revolutionary Armed Forces, chini ya command kutoka kwa Castro kupata ushindi kiongozi wa Soviet Bwana Nikita Khrushchev kukubali kupeleka Makombora ya Nuclear ndani ya kisiwa cha Cuba sasa balaa ni kuwa US alikuwa hataki kuona makombora hayo kwenye mlango wa chumbani kwake yani Cuba na USSR alikuwa hataki kuona makombora mlangoni mwa sebuleni kwake yani Uturuki na Italia
October 24, 1962 ndani ya White House Washington DC rais wa US John F. Kennedy alikuwa na kikao cha kiulinzi na kiusalama ambcho wanachama wake wanajulikana kama (APNSA) yani Assistant to the President for National Security Affairs ambapo General Curtis Emerson LeMay aliyekuwa Air force Chief of Staff alipotoa Ushauri ambao kama John F. Kennedy angeukubali leo hii tungekuwa tunasema mengine leo US na Russia zingekuwa vingine kabisa na inawezekana Super power zingekuwa nchi zingine kabisa General Curtis Emerson LeMay alimwambia John F. Kennedy kuwa njia pekee ya kusolve tatizo hili ni kuripua Base zote za makombora ya Nuclear zilizokuwa Cuba chini ya USSR na akasema yeye mwenyewe angependa kuwepo ndani ya moja ya ndege zitakazo kwenda kufanya maripuzi hayo na akasema anataka OPS hiyo wafanye Air force pekee si kushirikiana na vitengo vingine kwani anaamini vijana wake wa Air force ni bora kuliko vyombo vingine vyote vya usalama na ulinzi ndani ya US kumbuka jeshi lina vitengo vatatu yani
1 Kikosi cha Anga
2 Kikosi cha Aridhini
3 Kikosi cha Majini
General huyu alikuwa ni mkuu wa vikosi vya Anga jeshini na alisema yeye vikosi vya Anga ndani ya US ndio vikosi bora kabisa kuliknganisha na vikosi vyote vya Usalama,Ulinzi na Uchunguzi alikuwa anawadharau sana CIA kwa kushindwa kwenye mission yao ya Bay of Pigs Invasion na kusema mbele ya Rais John F. Kennedy kuwa CIA ni warembo tu akawafananisha na wahudumu wa ndani ya ndege ambapo mkurugenzi wa CIA katika kikao hcho Mr John McCone nusu atoke nje kwa kususia kikao hicho so General Curtis Emerson LeMay alisema solution ni kupiga mitambo na base za Russia ndani ya Cuba kikao kikakatizwa na maamuzi yatatolewa baada ya masaa 48 na rais John F. Kennedy mwenyewe kumbuka kipindi hicho hata John F. Kennedy imani yake na CIA ilikuwa imepungua sana kwa kitendo cha kushindwa tena kwa aibu kwa mission ya John F. Kennedy
Usiku Mkuu wa CIA Mr John McCone alikwenda kwa John F. Kennedy na kumwambia kama atakubali ombi la General Curtis Emerson LeMay bhasi anakwenda kuharibu Dunia na kusababisha hatari kubwa kabisa Duniani lakini Kennedy bado aliona wazo la General Curtis Emerson LeMay ni bora Mkuu wa CIA akamwambia kuwa kazi ya Intelligence ni yao si kazi ya United States Army sasa kama atamsikiliza General Curtis pekee ni hatari kubwa kwani General Curtis ni mkuu wa Air force tu kikosi ndani ya jeshi la US
MASAA 5 KABLA YA MAAMUZI YA KENNEDY
Masaa matano kabla ya maamuzi ya Kennedy juu ya kukubali au kukaataa ombi la General Curtis ambae tayali alikuwa ameshachagua vijana wake 15 na yeye mwenyewe wakiwa katika Andrews Air Force Base, sehemu inapokaa ndege ya Air Force One mwendo wa dakika 30 kwa gari umbali wa Km 32.9 kutoka White House mission ni kuwa Kennedy baada ya kutoa maamuzi anapanda Air Force One na kwenda pasipo julikana kwa usalama na vijana wa General na General mwenyewe wanawasha midege na kuelekea Cuba kufanya mashambulizi yatakayobadilisha Dunia masaa 5 kabla ya tukio Ikulu ya US wanapata simu kutoka Cuba simu ambayo mpaka leo hakuna anayejua alipiga nani zaidi ya Kennedy na Secretary wake ndani ya simu hyo Kennedy anapewa habari ambayo ilimfanya kubadili mawazo yake na kufanya maamuzi ya kihistoria ambayo ndio yamefanya leo dunia kuwa sehemu salama na kuwa na safari za ndege 20 kila siku kutoka Moscow na DC
Kennedy anaambiwa na aliyepiga simu kuwa zipo Base 10 ndani ya Cuba na kuna vichwa 20 vya Nuclear na chenye uwezo mdogo kina 2 Megaton, pia kuna makombora ya masafa ya kati yani intermediate-range ballistic missile (IRBM) yenye uwezo wa kufika Washington DC ndani ya dakika 29 tu. Mbaya zaidi Mkuu wa Kikosi cha Russia ndani ya Cuba amepewa mamlaka na Rais wa USSR Nikita Khrushchev ya Kulounch any Missiles sehemu yeyote Duniani bila ya kupata kibali au ruhusa kutoka Moscow so kama angeona US wanapiga Base zao alikuwa na ruhusa ya kujibu mashambulizi ya Nuclear bila ya ruhusa ya Moscow so jiulize Base 10 zipo sehemu tofauti lakini kipindi hicho US walikuwa wanajua kuna Base tatu tu kumbe zilikuwa 10, Kennedy baada ya kupata taarifa hizo alisitisha mpango wake haraka sana na kufata njia za kidemocrasia kusolve tatizo hilo yakiwa yamebaki masaa 4 tu masaa ambayo wakazi wa states 50 za US wasingeyasahau mpaka leo mwaka uliofata yani November 22, 1963, Dallas, Texas, United States Kennedy alipigwa Risasi kwenye tukio lenye mkanganyiko wengine wakisema ni CIA huku wengine wakisema ni Freemason ndio wahusika kumbuka mahusiano kati ya CIA na Kennedy yalikuwa mabaya sana kama nilivyoelezea hapo juu
Maamuzi mengine ya 2,3,4,5 yaliyofanyika Duniani yatakuja ...