Man, you are real mgalanjuka, I wrote that they have satellite but i did not say many satellite. You seems smart but dizzy.......
All what you know is 'funny guy'
Please be kind and contribute something concerning the thread topic.
Okay, Yes I am real mgalanjuka, the one you know from your streets as crazy. That is my avatar and ID, and am going to "Just do it Now" to reveal funny parts of your arguments.
Okay lets get back to your misleadings.
North korea vile vile wana satelite zao. Hapo ndipo USA anapoogopa kugombana na russia, kwasababu kama vita ikiwa kubwa. Russians wanaweza ku destroy satelite za mmarekani huko angani.
Umesema North Korea wana satellite "zao", and that was a bit funny.(that's why I called you "funny guy") Mwaka 2012 North Korea walifanikiwa kurusha kifaa ambacho kilikuwa "Satellite mfu" ikiwa na maana hakikuwa na uwezo wa kurusha transmission zozote na badala ya ku-spin katika orbit yake kilikuwa kinabiringita/poromoka (tumbling). Hii ni baada ya miaka 14 ya kujaribu kurusha satellite angani. Kifaa hiki ambacho size yake ni kama mashine ya kufulia nguo kiliwekewa kamera kadhaa ili ziweze kuangalia dunia. Katika propaganda kwa watu wa North Korea serikali yao iliwatangazia kwa mara ya kwanza wana satellite sasa inabrodcast wimbo wa "jenerali Kim II-sung" na na wimbo wa jenerali "Kim Jong Il"
Astronomers kutoka Russia, Europe na Russia wanathibitisha kwa evidence juu ya ubovu wa kifaa hicho na kulikuwa na majadiliano makali juu ya hofu kwamba kingeweza kuanguka tena duniani kutoka kwenye orbit yake lakini uwezekano ni mdogo kwa sababu size yake ni ndogo na friction on the atmosphere itasababisha kiungue kabla ya kufika ardhini.
North Korea hawana satellite try another story.
Labda kidogo nikusaidie elimu ya satellites ili unapotoa arguments ziwe concrete.
Satellites zina matumizi mbalimbali(60% ni satellite za mawasiliano) na sio zote zinatumika kwa sababu za kijeshi. Mpaka sasa kuna satellites karibu 1100 zinazofanya kazi(functioning) lakini nyingi zilishachakaa na hazitumiki tena (non-functioning) ziko zaidi ya 2600 angani.
Satellites wala sio agenda ya siri kwa mataifa na ziko angani wala hamna kificho kama unavyodhania. Mgawanyo wa umiliki wa satelites hizi uko wazi kabisa na kuna mamia ya vyanzo vyenye statistics mpaka za mwaka huu 2014. Zaidi ya mataifa 50 yana umiliki wa satellites kwa kushirikiana na mataifa mengine lakini nchi zenye umiliki wa moja kwa moja ni USA satellites 504, Russia satellite 118, China - satellites 116, Thailand - 4 satellites. Pia private companies zinamiliki baadhi ya satelites (nyingi za mawasiliano). Kumbuka ownership does not mean they do have space program which launch those satellites.
Sattelites za kijeshi sio jambo dogo ni hatua nzito sana ambayo mataifa yenye uchumi mkubwa pekee kwa kutumia nguvu kubwa ya fedha yanaweza kuafford kuwa na satellite za ulinzi wa taifa. Nitakugusia kidogo tu maana information hizi ni classified. Kuunda satellite moja ya mawasiano ya kijeshi ni zaidi ya dola bilioni moja. Kuirusha angani ikae kwenye orbit yake ni zaidi ya dola milioni 100. Kununua na kufunga terminals ambazo zitawezesha mawasiliano kutoka kwenye satelite na kwenda kwenye military terminal ni mara 30 ya gharama za satelite pamoja na urushaji wake angani. Hii ina maana advanced satelite progam moja ina gharama za zaidi ya dola bilioni 32 bila kuingiza gharama za utaalam na wataalam wa uendeshaji.
Ukijiridhisha vizuri katika ufahamu wa haya ninaweza kuanza ku-contribute vizuri juu ya arguments zako nyingine