Kama USSR isingesambaratika dunia ingekuwaje leo?

haya ndio maelezo yake:-

Habari zenu marafiki ?

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 kwasasa nina mtoto mmoja wa kike ambae nilizaa na mshenzi mmoja miaka mitano iliyopita.
Huyo jamaa jina lake linaanziwa na K, alinikimbia toka kipindi cha mimba na alikuwa akiwaambia watu kuwa mimba sio yake,kwa kudra za mwenyezi Mungu nilijifungua salama na mtoto amefafana na baba yake kupita kiasi.
Toka kipindi cha mimba mpake leo hii mtoto ana miaka 5 sijawahi kuona hata senti ya huyo kaka kwa ajili ya malezi ya mtoto, huyo kaka ana kazi nzuri sana na analipwa mshahara mzuri tu kwa kweli.
Swali langu ni kwamba nikimpeleka mahakamani je ataamuriwa kunipa pesa za mtoto? Je pesa za nyuma na hizo ataambiwa anilipe? Je ni kiasi gani kwa mwaka anaweza kuamuriwa anipe. Mshahara wake kwa mwezi sio chini ya milioni 3

Russia iko vizuri sana kijeshi ni wao tu ndo wanatumia submarine zenye kuendeshwa kwa nuclear energy USA ameshindwa hilo, hafu kwasasa wanandege za kijeshi ambazo USA hawana. Ila in long term Russia itakuja kusambaratika, kwani hakuko salama sana haswa ukawanywaji wa rasilimali pesa Moscow inafaidi sana kuliko majimbo ya mashariki na kusini ambayo ndo yanautajiri wa mbao na gesi na madini, hivyo nawao siku wakichoka kuendelea kuwa maskini hapo ndo utakuwa mwisho Federetion ya Russia
 
Mkuu marekani kuna uzalendo gani? vizazi vya ma cow boys ndo wenye nchi na jamii za kiyahudi. hawa wengine ni jina tu. Yaani kwa jina jingine ni wapangaji kwenye hiyo nchi.
Tunaomba ushahidi kama mrusi kamuuzia amerika.

hata miminilisikia kuwa Alaska ilikua sehemu ya Urusi waliiuza kwa USA.
 
Warussia waliiuza kwa dola 7.2 billion kwa america, lakini wakazi wa pale hawako interested na american rule. Kinachofanyika sasa hivi ni kuangalia uwezekano wa kuirudisha kwa russian tena.
 
Hizi ni taarifa za kihisia wala hazijawahi kuzungumzwa mahala popote. Hazina ukweli wowote na sio sahihi.

Ni baada ya urusi kuimega kremia,watu "wakadhani" urusi inaweza kutaka alaska,hilo ni jambo la kufikirika.
 
Yes, unaona sasa hivi wanavyoichezea Ukraine kama kinda la ndege. Hata Obama na ujanja wake anashindwa aanzie wapi. Security yao iko juu sana........
Russia ni strong kama zamani.
Bado ana control stations zake za kwenda anga za mbali, ana zana za kivita na security huko mwezini.
Jeshi lake linajitoshereza kwa wanajeshi USA wananunua wataalam/scientists lakini russia wana create scientists.

Jamaa yangu mbona sifa za kitoto sana unawapa hao Warusi?
ni lini zana za kivita zikawekwa mwezini? (Katika anga /space kuna Satelite za kichunguzi km vile za NASA)
Google Earth na wote vijeshi vyote tunatumia Satelite za NASA na hakuna missile wala AK47 huko

Rudia Historia Mrusi alitandikwa na Hitler hadi baridi ilipotanda ndipo akamrudisha nyuma Mjerumani
Na Vita ya WW-II aliimaliza USA kwa Atomic Bomb la Nagasaki na Hiroshima
Lakini Mmarekani hakuna pimbi aliyethubutu kupigana ndani ya ardhi yake kutoka nje
km hii ya Ukraine
MY TAKE
Nowadays Russia ni cha mtoto kwa USA kwa kila kitu labda tishio la USA kwa sasa ni CHINA kwa kila kitu
km CHINA akikosa technolojia ana pesa na atainunua popote hata TZ au RUSSIA na kumtungua USA
 
Kama ussr haikufa vipi ujamaa wa tanzania na nchi zingine za kijamaa,..!!?
Kama urusi inanguvu kiasi hicho kwa nini iruhusu kupoteza washirika wake muhimu...!!?
Unadhani ukrania itakapojiunga na nato.. Urusi itasimama katika vita itakayoibuka..!!?
Kama urusi inateknolojia kubwa kiasi hicho kwa nini imeshindwa kuwa na drones bora kama marekani...!!?
Hivi karibuni nasa itaanza kutumia vyombo vya anga vya makampuni binafsi unadhani urusi itakuwa wapi katika masuala ya anga...!!?
 
Russia is lagging behind USA in all aspects..
karl Max was wrong,his philosophy was a philosophy of fairules
 
Hizi ni taarifa za kihisia wala hazijawahi kuzungumzwa mahala popote. Hazina ukweli wowote na sio sahihi.

Ni baada ya urusi kuimega kremia,watu "wakadhani" urusi inaweza kutaka alaska,hilo ni jambo la kufikirika.
Mkuu, hatufanyi bongo movie hapa. Hizo ni taarifa ambazo zipo hata kwenye weakpedia. Jamaa walinunua kwa mrusi.
Kwa urahisi zaidi ebu google utapata taarifa mbali mbali za kuhusu hiyo alaska
 
Jamaa yangu mbona sifa za kitoto sana unawapa hao Warusi?
ni lini zana za kivita zikawekwa mwezini? (Katika anga /space kuna Satelite za kichunguzi km vile za NASA)
Google Earth na wote vijeshi vyote tunatumia Satelite za NASA na hakuna missile wala AK47 huko

Rudia Historia Mrusi alitandikwa na Hitler hadi baridi ilipotanda ndipo akamrudisha nyuma Mjerumani
Na Vita ya WW-II aliimaliza USA kwa Atomic Bomb la Nagasaki na Hiroshima

Lakini Mmarekani hakuna pimbi aliyethubutu kupigana ndani ya ardhi yake kutoka nje
km hii ya Ukraine
MY TAKE
Nowadays Russia ni cha mtoto kwa USA kwa kila kitu labda tishio la USA kwa sasa ni CHINA kwa kila kitu
km CHINA akikosa technolojia ana pesa na atainunua popote hata TZ au RUSSIA na kumtungua USA

Mkuu sijakuelewa, hitler aliipiga USA kwa hiloshima na nagasaki bomb?......ehehehe!
Kwa taalifa yako mkuu pesa hazi determine Technologia. Mchina ana pesa lakini huwezi kulinganisha tech yake na ya Russia. Kama ni hivyo mbona gadaffi alikuwa ana pesa nyingi lakini hakuwa na tech kubwa?
Russia ana siraha kali sana angani na hazina ya mafuta hukohuko. hata siku moja russians hawawezi kutumia satelite za USA tena especially kwenye millitary activities.......du! ipo kazi.
CHINA, North korea vile vile wana satelite zao. Hapo ndipo USA anapoogopa kugombana na russia, kwasababu kama vita ikiwa kubwa. Russians wanaweza ku destroy satelite za mmarekani huko angani.
 
Kama ussr haikufa vipi ujamaa wa tanzania na nchi zingine za kijamaa,..!!?
Kama urusi inanguvu kiasi hicho kwa nini iruhusu kupoteza washirika wake muhimu...!!?
Unadhani ukrania itakapojiunga na nato.. Urusi itasimama katika vita itakayoibuka..!!?
Kama urusi inateknolojia kubwa kiasi hicho kwa nini imeshindwa kuwa na drones bora kama marekani...!!?
Hivi karibuni nasa itaanza kutumia vyombo vya anga vya makampuni binafsi unadhani urusi itakuwa wapi katika masuala ya anga...!!?

mkuu mrusi ndiye alikua wa kwanza kuunda drone lakini baada ya cold war kuisha naye akaachana nayo hiyo tech na kujiimarisha zaidi na zana zingine hata hivyo yupo mbioni kuzindua tena drone 25 za kisasa zaid hadi kufikia mwaka 2018,
 
Mkuu, hatufanyi bongo movie hapa. Hizo ni taarifa ambazo zipo hata kwenye weakpedia. Jamaa walinunua kwa mrusi.
Kwa urahisi zaidi ebu google utapata taarifa mbali mbali za kuhusu hiyo alaska

mambo ambayo huwa unaongea humu huwa hata sijui unayatoa wapi. Anyway mimi sijakataa kuhusu kuuziwa,nimepinga urusi kuitaka alaska kama ulivyosema.wapi urusi ilisema inaitaka alaska au marekani wamesema wanataka kuiuzia urusi alaska.
 
Mkuu sijakuelewa, hitler aliipiga USA kwa hiloshima na nagasaki bomb?......ehehehe!
Kwa taalifa yako mkuu pesa hazi determine Technologia. Mchina ana pesa lakini huwezi kulinganisha tech yake na ya Russia. Kama ni hivyo mbona gadaffi alikuwa ana pesa nyingi lakini hakuwa na tech kubwa?
Russia ana siraha kali sana angani na hazina ya mafuta hukohuko. hata siku moja russians hawawezi kutumia satelite za USA tena especially kwenye millitary activities.......du! ipo kazi.
CHINA, North korea vile vile wana satelite zao. Hapo ndipo USA anapoogopa kugombana na russia, kwasababu kama vita ikiwa kubwa. Russians wanaweza ku destroy satelite za mmarekani huko angani.

hizi taarifa zako zimejaa hisia kuliko ukweli. Kuhusu silaha kua angani ni UONGO mkubwa. Enzi za vita baridi kulikua na wasiwasi au mpango kua nchi mojawapo au zote urusi na usa wangeweza kuweka silaha za maangamizi angani kwa ajili ya kufanya mashambulio duniani,yaani from space to ground missiles,na kufanya mashambulio ya kushtukiza "surprise attacks" lakini mwaka 1980 walisaini pact iliyokataza utunzaji wa silaha angani kwa wote wawili.hadi sasa inafanya kazi,pia baada ya ussr kuanguka mashaka yale yaliisha.

Kuhusu satelite,nchi zinazomiliki ant satelite missiles ni 3 tu,urusi,usa/nato na china,kwa hiyo kuhusu kuharibu satelite angani nchi yoyote kat ya hzo inaweza kuharibu satelite ya mwenzake. Ufaransa mwaka juzi imezindua millitary satelite tech mpya ambayo haizitegemei satelite za angani. Jifunze hayo mambo ndio uje kuandika hapa.
 
Mkuu, inaonekana hupendi kutafuta info tofauti tofauti kwenye vyanzo tofauti. Basi endelea hivyo hivyo na uelewa wako finyu.
Putin yeye anaendelea na mipango yake mahususi.
 
mkuu mrusi ndiye alikua wa kwanza kuunda drone lakini baada ya cold war kuisha naye akaachana nayo hiyo tech na kujiimarisha zaidi na zana zingine hata hivyo yupo mbioni kuzindua tena drone 25 za kisasa zaid hadi kufikia mwaka 2018,

Kwa kumsaidia drone ya kisasa zaidi na yenye uwezo mkubwa inatoka russia.
 
mambo ambayo huwa unaongea humu huwa hata sijui unayatoa wapi. Anyway mimi sijakataa kuhusu kuuziwa,nimepinga urusi kuitaka alaska kama ulivyosema.wapi urusi ilisema inaitaka alaska au marekani wamesema wanataka kuiuzia urusi alaska.

Nafikiri issue ni lugha. Mimi nilisema raia wa alaska ndo wanaopendelea wawe chini ya utawala wa russia na siyo urusi kuitaka russia mkuu.
 
raia wangapi,na lini walifanya kura za maoni ikaonekana raia wa alaska wanatamani wawe chini ya urusi?nataka tu hizo takwimu.
 
Mkuu sijakuelewa, hitler aliipiga USA kwa hiloshima na nagasaki bomb?......ehehehe!
Kwa taalifa yako mkuu pesa hazi determine Technologia. Mchina ana pesa lakini huwezi kulinganisha tech yake na ya Russia. Kama ni hivyo mbona gadaffi alikuwa ana pesa nyingi lakini hakuwa na tech kubwa?
Russia ana siraha kali sana angani na hazina ya mafuta hukohuko. hata siku moja russians hawawezi kutumia satelite za USA tena especially kwenye millitary activities.......du! ipo kazi.
CHINA, North korea vile vile wana satelite zao. Hapo ndipo USA anapoogopa kugombana na russia, kwasababu kama vita ikiwa kubwa. Russians wanaweza ku destroy satelite za mmarekani huko angani.

Hahaha unazi mbaya, kama wote wana satelite kwan us hawezi kuharibu za russia
 
Iliuzwa wakati wa vita kuu ya pili ya dunia wakati ambapo majeshi ya Manazi wa Ujerumani walikuwa wameizidi Urusi kwa kila hali. Manazi walikuwa wameshachukua sehemu kubwa ya USSR ya magharibi, ikiwemo Ukraine na Crimea ya leo na walikuwa wanasonga kuelekea east kuitafuta Moscow. Kumbuka uvamizi wa Wajerumani kwa Urusi ulikuwa wa kustukiza kwani kabla ya vita ya pili kuanza Ujerumani na Urusi walikuwa na mahusiano mazuri tu, kwahiyo Urusi hakutarajia kuvamiwa na Ujerumani.

Hali hii iliifanya Urusi ku-exploit options zote za kukabiliana na Manazi na bado Manazi wakawa wagumu kupigika. Ndipo Joseph Stalin akaamua kuiuza Alaska ili apate fedha za kununua silaha kutoka Marekani na ku-improve research centres za mambo ya tafiti za zana za kivita. From there, Manazi wakaanza kurudishwa nyuma.
thanx bro!
 
Back
Top Bottom