Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,678
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahahahaha,,,matokeo yake jamaa kamkandakanda panya amekuwa chapati ya maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahahahaha,,,matokeo yake jamaa kamkandakanda panya amekuwa chapati ya maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee kama ulikuwepo hawa wadudu ni wa ajabu sana ukizima taa utasikia wanaanza kukufokonyoa ukija kushtuka asubui kama kilo moja ya damu wameondoka nayo[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]Kama Wachina vile hawa washenzi sana kunguni.
Ukizima taa unashughulikiwa vizuri tu.
Ukiwasha tu wananyamaza kimyaa.
Washenzi kweli hawa wananifanya nikeshe usiku kucha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee kama ulikuwepo hawa wadudu ni wa ajabu sana ukizima taa utasikia wanaanza kukufokonyoa ukija kushtuka asubui kama kilo moja ya damu wameondoka nayo[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Sebuleni vikae vitu vinavyopaswa kuwa hapo tu na kwa nafasi.Ni kweli nyumba yenye makorokoro mengi na ina gizagiza ndio mazalia ya panya hata wanyama/wadudu wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Halafu ukimcheki vizuri usoni akiwa anatoka mbio waweza sema anakutisha na ile sura yake ilivyokaa kikauzu utadhani kimoyomoyo anasema "kubabako nakuja sasa ole wako nikukute kwenye njia yangu" sasa ukiwa muoga unampisha kweli walitola
[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]duuuuh[emoji3]
Kuna siku panya kaingia kwenye kabati ya nguo niko na jamaa yangu tukaanza kupekura mule kabatini, pekenyua huku tunapigapiga bwana, yule panya si akatoka kwa spidi ya risasi.... Jamaa akaruka kwa mshituko [emoji3][emoji3] sasa kile kitendo cha kuruka ikawa ni kosa la jinai maana alimtimbatimba panya kapasukapasuka... Aisee siwezi sahau siku ile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kusema ananifata ukaanza kutoa mchozi kumbe yupo tuki anasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Halafu ukimcheki vizuri usoni akiwa anatoka mbio waweza sema anakutisha na ile sura yake ilivyokaa kikauzu utadhani kimoyomoyo anasema "kubabako nakuja sasa ole wako nikukute kwenye njia yangu" sasa ukiwa muoga unampisha kweli walitola
Sasa ndugu yangu aya maisha yetu ya stoo hayakwepeki kabisa mana unakuta sebule lina makopo ya kukojolea usiku, mandoo ya maji, makopo ya kuogea yani shida tupu kwa pembeni kuna sufuria lina maji ya ukoko la juzi mixer na sufuria la maharage la tangu juzi unataka kunambia uyu jamaa yetu panya na kunguni wanawezaje kukosaSebuleni vikae vitu vinavyopaswa kuwa hapo tu na kwa nafasi.
Alikadharika sehemu nyingine. Panya hawawezi kuwa tatizo sana. Wanyama na wadudu wanaishi sehemu zilizo jaa vitu na kukaa hovyo na bila mpangilio mzuri.
Wapi bwana wewe ! Niliikuta kwenye jiko kubwa la gas nilikua namsikia kwenye jiko mda mrefu nililifungua ndo nkazikuta elfu tatu zangu.Labda kapeleka kwa mdai wako
Alikuwa anataka azitumbue?Wapi bwana wewe ! Niliikuta kwenye jiko kubwa la gas nilikua namsikia kwenye jiko mda mrefu nililifungua ndo nkazikuta elfu tatu zangu.
Imekula kwakeAlikuwa anataka azitumbue?
Wananuka Sana bwashee!Usidanganywe indocide ni salama ikiwa kwenye capsule zake tu nje ya hapo ni sumu kama sumu zingine na hasa ikiingia mfano kwenye kidonda au sehemu ulipojikata hata uuzaji wake mpaka uwe na cheti cha dactari ndio unauziwa.
Ila ni sumu nzuri sana kwa panya na wakifa hawanuki
[emoji23][emoji23][emoji23]Imekula kwake
Teh teh [emoji28][emoji3]
Halafu ukimcheki vizuri usoni akiwa anatoka mbio waweza sema anakutisha na ile sura yake ilivyokaa kikauzu utadhani kimoyomoyo anasema "kubabako nakuja sasa ole wako nikukute kwenye njia yangu" sasa ukiwa muoga unampisha kweli walitola
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kusema ananifata ukaanza kutoa mchozi kumbe yupo tuki anasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ufafanuzi mkuu si kwamba nyoka watakuwa wengi mana chakula chao kinapatikana kwa wingi?**penye panya wengi ni salama zaidi, hamna nyoka hapo mahali.
Haina madhara kwa binadamu in case of anything?kuna phenobabiton
Kwa hyo ugoro unawaua au kuwakimbiza?Hiyo Indocid ndugu utawapata wawili au watatu wa mwanzo tu, wakishajua umewatega hawalii! Ukitaka kuwakomoa vizuri wewe mwaga Ugoro tu kwenye njia yao au hata Nyoka kama wanakutembelea sana. Mwaga Ugoro tu uone kimbembe chake, panya, nyoka hawana Chafya.
Indocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
Zipo nyingi tu hata pantoprazolle tb kwisha habari yake nawale wanaosumbuliwa na mchwa kwenye milango madirisha hydrogen peroxid kiboko ya mchwaJe umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?
Je umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?
Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;
Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID (indomethacin 25 mg capsules) halafu katege kama unavyotegaga sumu nyingine za unga za panya. Baada ya siku 4-5 matokeo utakayoyapata naamini mwenyewe utaleta mrejesho
Dawa hii hutumiwa na binadamu kama dawa zingine tu ila kwa panya ni sumu kwani wakishakula utaona siku ya nne panya wanakufa na wengine wanashindwa kutembea kwa kusagika sagika mifupa
Kama una jirani yako mshauri naye atumie maana muda mwingine waweza kuta unahangaika kumbe wanahamia kutoka nyumba ya pili
Dawa hii inaepusha gharama kwani pakiti ya buku (tembe 10) unaweza tega mara kadhaa bila kuimaliza pia ni salama kabisa wakati wa kutega kwani siyo sumu kwa binadamu