Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,887
- 7,033
Ila mkuu hapa hoja iliyopo ni kuua panya na siyo kuua paka.Mkuu katika wanyama wabishi na wenye akili paka hawezi kukosa, paka ni mjanja sana unaweza ukamtegea sumu lakini ataenda atainusa na kuiacha kama ulivyoweka watu wanasema paka ana tabia ya kunusa ndipo uanza kula na iwapo utatega sumu basi utakuta kama ulivyoweka