FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,106
- 2,789
Niko napambana aisee.Hapa napia mziki full bass kwanza mpaka atoke akigoma itabidi nifungue tuMtoe mkuu anatafuna nyaya
Niko napambana aisee.Hapa napia mziki full bass kwanza mpaka atoke akigoma itabidi nifungue tuMtoe mkuu anatafuna nyaya
Nenda kwa wale wauza samaki wa nguru au papa, kuna mmoja ukimuweka tu paka wote wanaondokaKuua panya mmoja kwa 500 kweli hii ni hasara. Ngoja nami nitumie Piriton, Indocid.
Anaejua sumu nzuri kwa ajili ya paka shume anijulishe tafadhali yamekula sana vifaranga wangu.
Fafanua kidogo hapa mkuu, ukimuweka nini au wauzaji ndo wanaijua hiyo sumu?Nenda kwa wale wauza samaki wa nguru au papa, kuna mmoja ukimuweka tu paka wote wanaondoka