swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,630
Hizo indocin unazisaga na kuzimwaga ndani au unazisaga na kunyunyiza unga wake kwenye chakula kinachopendwa kuliwa na paka.?
JamiiForums mobile app
JamiiForums mobile app
Zinakua kwenye capsule kwa hivyo unaifungua kisha ule unga unanyunyizia kwenye nyanya au dagaa au chocho utachotumia kama chambo, pia zile caps nazo unazichanganya humo humo.Hizo indocin unazisaga na kuzimwaga ndani au unazisaga na kunyunyiza unga wake kwenye chakula kinachopendwa kuliwa na paka.?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi alikaa kwenye sofa, anatoka usiku mchana anakausha unamsikia anavyohangaika.
Muda ukaenda akatanuka nakuongezeka size..... Kunasiku anatembea kwenye sofa namsikia anavyojipenyeza..... Aiseee nilipiga ngumi, vipepsi na mateke lile eneo alipo hadi akaanza kupiga ukunga....
Aisee nilitandika ngumi za maana hadi akatulia baada ya siku mbili nikaanza kusikia harufu ya mzoga nikajua tayari....
Kwahyo umemsusia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna panya anapekenya sofa ndani kwa ndani, hatoki nje nahisi hata nikimtega ni kazi sifuri... nimeamua kumpuuza nione kama atalimaliza sofa!
Usidanganywe indocide ni salama ikiwa kwenye capsule zake tu nje ya hapo ni sumu kama sumu zingine na hasa ikiingia mfano kwenye kidonda au sehemu ulipojikata hata uuzaji wake mpaka uwe na cheti cha dactari ndio unauziwa.
Ila ni sumu nzuri sana kwa panya na wakifa hawanuki
Ndio utaratibu mkuu ni miongoni mwa dawa zinazouzwa kwa mpango huoCheti cha daktari Bongo!
Ndio utaratibu mkuu ni miongoni mwa dawa zinazouzwa kwa mpango huo
Duu hapo mipanya watu haoLabda mapanya ya Dar yaliyozoea kula kitimoto na mapaka kwenye bar.
Yale majanja hayalagi nyama zilizotegwa. Yatafanya kila yawezalo hata ikibidi kufungua friji na kula vilivyomo.
Hakuna panya anaeacha kula cheese 🧀 hubbyLabda mapanya ya Dar yaliyozoea kula kitimoto na mapaka kwenye bar.
Yale majanja hayalagi nyama zilizotegwa. Yatafanya kila yawezalo hata ikibidi kufungua friji na kula vilivyomo.
Sitanii jaribu leo uoneHahaaaa mkuu Ni kweli? Nasumbuliwa Sana na panya aise
Sitanii jaribu uoneUna uhakika mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] wa kutumwa huyoHakuna panya anaeacha kula cheese [emoji893] hubby
Ratio ikoje,unasaga au !Sitanii jaribu uone
Indocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
Indocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
Mkuu aheri kutumia "Mouse glue traps " kuliko sumu, mara inamfanya kama Teja yaani anakufa kwa taabu tupu "Kuna nchi kuua panya bila kibali ni kosa kama kuua mnyama wa porini bila kibali.