Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,548
- 860,660
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunguni VIP MKUU..... karaha yao.....Je umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?
Je umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?
Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;
Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID (indomethacin 25 mg capsules) halafu katege kama unavyotegaga sumu nyingine za unga za panya. Baada ya siku 4-5 matokeo utakayoyapata naamini mwenyewe utaleta mrejesho
Dawa hii hutumiwa na binadamu kama dawa zingine tu ila kwa panya ni sumu kwani wakishakula utaona siku ya nne panya wanakufa na wengine wanashindwa kutembea kwa kusagika sagika mifupa
Kama una jirani yako mshauri naye atumie maana muda mwingine waweza kuta unahangaika kumbe wanahamia kutoka nyumba ya pili
Dawa hii inaepusha gharama kwani pakiti ya buku (tembe 10) unaweza tega mara kadhaa bila kuimaliza pia ni salama kabisa wakati wa kutega kwani siyo sumu kwa binadamu
Oh sawa nimekuelewa mkuuUle akiunusa inabidi utoke nje kwa Chafya sasa yeye hana chafya lazima jicho liwe jekundu kupindukia na afe
Hapana huwa wananukia asubuhi sana.Wakifa wanatoa harufu ama?
AnamalizaKuna panya anapekenya sofa ndani kwa ndani, hatoki nje nahisi hata nikimtega ni kazi sifuri... nimeamua kumpuuza nione kama atalimaliza sofa!
yes, nitaku-pmNije kukusaidia?
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]panya mjanja sana huwa nacheka akili yakeEnheee twende kazi... [emoji4]
Serious kabisa[emoji33]
Seriously! Kwamba akikuona unaandaa anajua unataka kumuuwa?
We ulimuweza[emoji28]Ahhh aseeh kwenye sabufa yangu pale kweny lile tobo aliingia nikiwa namuona kabisa ilikuwa mchana basi ilikuwa on nikaweka bluetooth nikatafuta nyimbo yenye mdundo wa maana alafu nikaongezaaaa sauti volume hadi mwisho nikapita kinyuma nyuma nikaziba kwa haraka lile tundu na nguo kisha nika play [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchangamsha niliplay nyimbo tano zenye mdungo mkubwa kisha nikatoa tambara alitoka anatembea kama mlevi nikamalizia kuua saafi
Ananikera sana yule kiumbe akiingia chumbani huwa sipati usingizi kabisa zile kukurukakara zake..Serious kabisa
Ndo maana nikasema huwa panya yuko smart sana ni ile tu haongei
Mtegeshee nyanya na hicho kidawa cha buku kwisha habare yakeAnanikera sana yule kiumbe akiingia chumbani huwa sipati usingizi kabisa zile kukurukakara zake..
Basi sasa watanitambua wajinga hawa... Halafu ukimtaiti kwenye kona umtandike anatoka damu huyo kama binadamu, basi hapo mimi hujihisi kama nimefanya violation kubwa kweli kweli...Mtegeshee nyanya na hicho kidawa cha buku kwisha habare yake
Yeah kumuua mwenyewe hapana, muachie nyanya afanye hiyo kazi maninaa[emoji28]Basi sasa watanitambua wajinga hawa... Halafu ukimtaiti kwenye kona umtandike anatoka damu huyo kama binadamu, basi hapo mimi hujihisi kama nimefanya violation kubwa kweli kweli...
[emoji3]Yeah kumuua mwenyewe hapana, muachie nyanya afanye hiyo kazi maninaa[emoji28]
Khaa ndugu yangu achana na mziki wa kunguni panya mwenyewe anasubili kunguni ni noma sana kanitesa sana uyu mduduKunguni VIP MKUU..... karaha yao.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana we jamaa[emoji3]
Kuna siku panya kaingia kwenye kabati ya nguo niko na jamaa yangu tukaanza kupekura mule kabatini, pekenyua huku tunapigapiga bwana, yule panya si akatoka kwa spidi ya risasi.... Jamaa akaruka kwa mshituko [emoji3][emoji3] sasa kile kitendo cha kuruka ikawa ni kosa la jinai maana alimtimbatimba panya kapasukapasuka... Aisee siwezi sahau siku ile.
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana we jamaa
Mnajaza makorokoro mengi mno kwenye nyumba zenu.
Nyumba ikipangiliwa vizuri na ikawa safi muda wote panya wenyewe wanajisikia aibu kukatiza.
Panya penye njaa hakai hakikisha hakuna mabaki yoyote ya chakula yanazagaa.
Ukitaka kujua penye njaa panya hakai nyumba ikose watu week tu panya wote wanasepa.
Kama Wachina vile hawa washenzi sana kunguni.Khaa ndugu yangu achana na mziki wa kunguni panya mwenyewe anasubili kunguni ni noma sana kanitesa sana uyu mdudu
Hahahahahahaha,,,matokeo yake jamaa kamkandakanda panya amekuwa chapati ya maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Eti nikashangaa kumbe panya anakimbia kwasababu anatuogopa lakini wakati huo huo na mwenzangu naye anamuogopa panya..