Kuna kunguru wanakula vifaranga wangu nataka kuwatega je hii dawa inauwa wanyama jamii ya ndege kama kunguruJe umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?
Je umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?
Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;
Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID (indomethacin 25 mg capsules) halafu katege kama unavyotegaga sumu nyingine za unga za panya. Baada ya siku 4-5 matokeo utakayoyapata naamini mwenyewe utaleta mrejesho
Dawa hii hutumiwa na binadamu kama dawa zingine tu ila kwa panya ni sumu kwani wakishakula utaona siku ya nne panya wanakufa na wengine wanashindwa kutembea kwa kusagika sagika mifupa
Kama una jirani yako mshauri naye atumie maana muda mwingine waweza kuta unahangaika kumbe wanahamia kutoka nyumba ya pili
Dawa hii inaepusha gharama kwani pakiti ya buku (tembe 10) unaweza tega mara kadhaa bila kuimaliza pia ni salama kabisa wakati wa kutega kwani siyo sumu kwa binadamu
Leo ndio nilikuwa najiuliza kwanini kila paka ninaeleta alikuwa anakimbilia porini? Kumbe ni mipaka pori, ikikuwa inarudi kwao. Ahsante mkuu kwa kunijuza.Fuga paka ndugu, tena tafuta breed inayowinda na kula panya.
Kero yake kuu ni pale panya watakapo kwisha ndani kwako ataanza kwenda kuwinda nje kisha anakuletea mizoga ndani.
Pia anavyozidi kukua ataanza kuwa jeuri na mwenye tabia za porini.
Mbali na hapo, hili ndilo suluhisho la kudumu. Panya wako very smart, wakijua nyumba hii kuna paka basi wanahama kabisa.
Saga kimoja tu kinatosha kabisaRatio ikoje,unasaga au !
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo, siku habari za panya zitatoweka kabisa chini ya jua ,Maana sio kwaizo mbinu za kuangamizwa anazopangiwa..[emoji79][emoji80]
[emoji1536][emoji1548][emoji1534][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mzee wa kilingeni HESHIMA YAKO.
Mkuu serious?Indocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji86]lazima ana watoto huyoHuyu wangu ana adabu, anatafuna taratibu mno.... akijua kuna watu sebleni anajikausha.
Yaani umeanza kwa kubisha lakini umehitimisha kwa kukubali hoja iliyoko mezani, kama ni kwenye debate club wewe umeshauza timu.Usidanganywe indocide ni salama ikiwa kwenye capsule zake tu nje ya hapo ni sumu kama sumu zingine na hasa ikiingia mfano kwenye kidonda au sehemu ulipojikata hata uuzaji wake mpaka uwe na cheti cha dactari ndio unauziwa.
Ila ni sumu nzuri sana kwa panya na wakifa hawanuki
[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Mimi alikaa kwenye sofa, anatoka usiku mchana anakausha unamsikia anavyohangaika.
Muda ukaenda akatanuka nakuongezeka size..... Kunasiku anatembea kwenye sofa namsikia anavyojipenyeza..... Aiseee nilipiga ngumi, vipepsi na mateke lile eneo alipo hadi akaanza kupiga ukunga....
Aisee nilitandika ngumi za maana hadi akatulia baada ya siku mbili nikaanza kusikia harufu ya mzoga nikajua tayari....
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji86]lazima ana watoto huyo
Ila udhaifu wa panya ni nyanya, pamoja na ujanja wake kwenye nyanya hachomoki
nchi gani hiyo?Mkuu aheri kutumia "Mouse glue traps " kuliko sumu ,mara inamfanya Kama Teja yaani anakufa kwa taabu tupu "Kuna nchi kuua panya bila kibali ni kosa Kama kuua mnyama wa porini bila kibali.
nchi gani hiyo?Mkuu aheri kutumia "Mouse glue traps " kuliko sumu ,mara inamfanya Kama Teja yaani anakufa kwa taabu tupu "Kuna nchi kuua panya bila kibali ni kosa Kama kuua mnyama wa porini bila kibali.
Mkuu nilichobisha ni hicho mtoa mada alichosema kuwa haina madhara kwa binadamu kitu ambacho sio kweli ila sijabisha kuhusu kuua panya, nisome katikati ya mistari utaelewa.Yaani umeanza kwa kubisha lakini umehitimisha kwa kukubali hoja iliyoko mezani, kama ni kwenye debate club wewe umeshauza timu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama matejaIndocid cha mtoto piriton tu ukiweka moja kwenye kakipande ka nyama au samaki asubuhi unawaokota kama mateja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]Mimi alikaa kwenye sofa, anatoka usiku mchana anakausha unamsikia anavyohangaika.
Muda ukaenda akatanuka nakuongezeka size..... Kunasiku anatembea kwenye sofa namsikia anavyojipenyeza..... Aiseee nilipiga ngumi, vipepsi na mateke lile eneo alipo hadi akaanza kupiga ukunga....
Aisee nilitandika ngumi za maana hadi akatulia baada ya siku mbili nikaanza kusikia harufu ya mzoga nikajua tayari....
Kuna vile visumu vinauzwa barabarani vina pakti la rangi ya kijani, kimoja bukuAsante kwa hii mbinu, nitajaribu kumtega kwa nyanya... ila kama ana watoto namwonea huruma!