Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

Kuna vile visumu vinauzwa barabarani vina pakti la rangi ya kijani, kimoja buku

Njoo home kata nyanya vipande vinne nyunyizia halafu vipange kila pembe, siku hiyo utasikia kitu kinajirusha na kujipigiza chini[emoji1787][emoji28]Mi nimemuua mmoja mkubwa huyo last month

NB hakikisha hizo procedure unavyozifanya hakuoni, akikuona hali ng'oo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana Max Melo akinunua kitimoto kisha akaweka sumu akawategea panya ili wafe.
Asubuhi kaamka kakuta nyama ipo vilevile ila pembeni kuna kikaratasi kimeandikwa
"Broo ujue sisi ni Waislam hatuli kitimoto, hebu tubadilishie nyama."

Kesho Mr. Max akahama
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana Max akinunua kitimoto kisha akaweka sumu akawategea panya ili wafe.
Asubuhi kaamka kakuta nyama ipo vilevile ila pembeni kuna kikaratasi kimeandikwa
"Broo ujue sisi ni Waislam hatuli kitimoto, hebu tubadilishie nyama."

Kesho Mr. Max akahama
Ha ha[emoji28]
 
Mkuu aheri kutumia "Mouse glue traps " kuliko sumu ,mara inamfanya Kama Teja yaani anakufa kwa taabu tupu "Kuna nchi kuua panya bila kibali ni kosa Kama kuua mnyama wa porini bila kibali.
Hujaona ile mishkaki ya samaki nchangakule mtwara? Sasa unaongelea Mambo ya Sheria zisizotuhusu watz I'll iweje?
 
Usidanganywe indocide ni salama ikiwa kwenye capsule zake tu nje ya hapo ni sumu kama sumu zingine na hasa ikiingia mfano kwenye kidonda au sehemu ulipojikata hata uuzaji wake mpaka uwe na cheti cha dactari ndio unauziwa.

Ila ni sumu nzuri sana kwa panya na wakifa hawanuki
Unakaa nchi gani? Indocide inauzwa Kama karanga. Tena huku uswazi unaulizwa kabisa " unataka ya kuua panya'? Hata wale wauza sumu ya panya' wanayo na wanaiuza. Cheti? What do you mean? Mtu hajauza tangu asubuhi adai cheti? Cheti au cheri?
 
Je umekuwa ukisumbuliwa na panya sana?

Je umetumia pesa sana kununua sumu za panya bila mafanikio?

Kama jibu ni ndiyo basi soma na ufanye hivi;

Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa INDOCID (indomethacin 25 mg capsules) halafu katege kama unavyotegaga sumu nyingine za unga za panya. Baada ya siku 4-5 matokeo utakayoyapata naamini mwenyewe utaleta mrejesho

Dawa hii hutumiwa na binadamu kama dawa zingine tu ila kwa panya ni sumu kwani wakishakula utaona siku ya nne panya wanakufa na wengine wanashindwa kutembea kwa kusagika sagika mifupa

Kama una jirani yako mshauri naye atumie maana muda mwingine waweza kuta unahangaika kumbe wanahamia kutoka nyumba ya pili

Dawa hii inaepusha gharama kwani pakiti ya buku (tembe 10) unaweza tega mara kadhaa bila kuimaliza pia ni salama kabisa wakati wa kutega kwani siyo sumu kwa binadamu
kuna phenobabiton
 
Hizo indocin unazisaga na kuzimwaga ndani au unazisaga na kunyunyiza unga wake kwenye chakula kinachopendwa kuliwa na paka.?

JamiiForums mobile app
Sana sana tumia vipande vya nyanya vilivyokatwa katwa, kisha chukua unga huo wa indocine nyunyuzia katika vipande hivyo vya nyanya. Baada ya hapo nenda katege sehemu wanazopenda kutembelea au kutokea.
Tanbihi: ukishindwa vipande vya nyanya, basi hata unga wa ugali unaweza kutumika kuchanganyishia na indocine. Kisha katege sehemu husika.
 
1599971664879.png

Fuga paka ndugu, tena tafuta breed inayowinda na kula panya.
1599971596163.png


1599971617771.png


Sio kwa paka hawa wa mjini.
 
Indocid kwa sasa hazipatikani sana madukani,Valium ni nzuri sana,akila zinafanya mfumo wa upumuaji kusinyaa soo wanakufa,tatizo ukitega alafu akala mbwa,naye utampoteza
Mkuu inapatikana wapi hiyo? Ni dawa Kama hizi zingine?
 
Fuga paka ndugu, tena tafuta breed inayowinda na kula panya.

Kero yake kuu ni pale panya watakapo kwisha ndani kwako ataanza kwenda kuwinda nje kisha anakuletea mizoga ndani.

Pia anavyozidi kukua ataanza kuwa jeuri na mwenye tabia za porini.

Mbali na hapo, hili ndilo suluhisho la kudumu. Panya wako very smart, wakijua nyumba hii kuna paka basi wanahama kabisa.
Hivi kwa mtu asiye na mapenzi na paka na asiyehitaji kuongeza bajeti ya kumhudumia paka huyo kwa nini aangaike na kumfuga wakati kunapotokea uhitaji wa kuwaua panya anatumia gharama ndogo tu kununua dawa kama hizo indocin, piriton na valium?
 
Hivi kwa mtu asiye na mapenzi na paka na asiyehitaji kuongeza bajeti ya kumhudumia paka huyo kwa nini aangaike na kumfuga wakati kunapotokea uhitaji wa kuwaua paja anatumia gharama ndogo tu kununua dawa kama hizo indocin, piriton na valium?
Mkuu katika wanyama wabishi na wenye akili paka hawezi kukosa, paka ni mjanja sana unaweza ukamtegea sumu lakini ataenda atainusa na kuiacha kama ulivyoweka watu wanasema paka ana tabia ya kunusa ndipo uanza kula na iwapo utatega sumu basi utakuta kama ulivyoweka
 
Back
Top Bottom