magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 13,812
- 33,650
kwamba akila kimya kimya fresh?Tatizo ni kero akianza kula sofa kelele zake tu
kwamba akila kimya kimya fresh?Tatizo ni kero akianza kula sofa kelele zake tu
Fuga paka ndugu, tena tafuta breed inayowinda na kula panya.
Kero yake kuu ni pale panya watakapo kwisha ndani kwako ataanza kwenda kuwinda nje kisha anakuletea mizoga ndani.
Pia anavyozidi kukua ataanza kuwa jeuri na mwenye tabia za porini.
Mbali na hapo, hili ndilo suluhisho la kudumu. Panya wako very smart, wakijua nyumba hii kuna paka basi wanahama kabisa.
Labda mapanya ya Dar yaliyozoea kula kitimoto na mapaka kwenye bar.
Yale majanja hayalagi nyama zilizotegwa. Yatafanya kila yawezalo hata ikibidi kufungua friji na kula vilivyomo.
Panya ukiwaacha mwaka wanafika laki mojaKuna panya anapekenya sofa ndani kwa ndani, hatoki nje nahisi hata nikimtega ni kazi sifuri... nimeamua kumpuuza nione kama atalimaliza sofa!
How many descendants could a pair of rats produce in three years?Kuna panya anapekenya sofa ndani kwa ndani, hatoki nje nahisi hata nikimtega ni kazi sifuri... nimeamua kumpuuza nione kama atalimaliza sofa!
Hamna paka ''poli'' (=pori) kama unavyo-suggest. Paka ni matunzo tu. Wengi ya watu wanaofuga paka huwa wanawa-treat vibaya ndiyo maana wanaamua kuasi na kukimbia. Unakuta mtu hampi chakula kabisa na kudai atafute panya mwenyewe. Pia unakuta kunakuwa na watoto wanaompiga kila anapoonekana. Paka ni matunzo tu. Ukimtunza vizuri hawezi kwenda popote.leo ndo nilikuwa najiuliza kwanini kila paka ninaeleta
akikuwa anakimbilia polini? Kumbe ni mipaka poli ikikuwa inarudi kwao .ahsante mkuu kwa kunijuza
Unaweka bila tahadhari? Ni uzembe wa hali ya juu na unaweza kuua hata binadamu wewe. Sumu ya panya inawekwa kwa kuhakikishia sehemu iliyowekwa haiwezi kileta madhara kwa mifugo au watu. Na pia unatoa tahadhari kwa familia nzima ili kila mtu ajue.Last week nimewekea panya sumu. Naamka asubuhi si dada wankazi kafungulia kuku. Nikakuta panya na kuku wawili wa kienyeji wamekwenda na maji....
Panya shenzi kabsa....
Mkuu una bahati hao wako mbona wastaarabu. Kuna wengine wanakuvizia usiku mwingi umelala wanakula tartiiiiibu ile sehemu nyeupe nene ya unyayo wako.panya wamenisumbua sana, wamekua wakila nguo nzuri za watoto na zetu, jana ndo wamenimaliza kabisa wamekula mafuta ya kupaka watoto kitu ambacho sijawahi kuona ukweli sina amani toka jana, ngoja leo nitumie hizi njia huenda nikawanasa hawa washenzi
hawa viumbe washenzi sana.Mkuu una bahati hao wako mbona wastaarabu. Kuna wengine wanakuvizia usiku mwingi umelala wanakula tartiiiiibu ile sehemu nyeupe nene ya unyayo wako.
Kuna wengine wadogowadogo sana anaingia kwenye begi anatengeneza uchochoro wa ndani kwa ndani kwa kula nguo kutoka upande mmoja wa begi hadi mwingine. Siku unataka mtoko unakuta kila nguo unayoitoa humo ina shimo mahali fulani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa mungu anakuona panya kacheza segere mpk amechokaAhhh aseeh kwenye sabufa yangu pale kweny lile tobo aliingia nikiwa namuona kabisa ilikuwa mchana basi ilikuwa on nikaweka bluetooth nikatafuta nyimbo yenye mdundo wa maana alafu nikaongezaaaa sauti volume hadi mwisho nikapita kinyuma nyuma nikaziba kwa haraka lile tundu na nguo kisha nika play [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchangamsha niliplay nyimbo tano zenye mdungo mkubwa kisha nikatoa tambara alitoka anatembea kama mlevi nikamalizia kuua saafi
[emoji23][emoji23]zilipigwa nyimbo nyumba ikawa inatetemeka mpaka panya akachanganyikiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa mungu anakuona panya kacheza segere mpk amechoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani nimecheka sana JF raha sana stress tupa kule[emoji23][emoji23]zilipigwa nyimbo nyumba ikawa inatetemeka mpaka panya akachanganyikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakikaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani nimecheka sana JF raha sana stress tupa kule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu hii comment yako imenichekesha mpaka kamasi zimenitokaKuna panya wako smart sana, wanajitafutia chakula chao wenyewe nje ya nyumba, wako tayari walale njaa kuliko kula chochote kwenye hiyo nyumba. Baada ya kushiba huko nje hurudi kusumbua na kukimbiakimbia humo ndani ili kukupa taarifa kuwa wapo na hawana mpango wa kuhama
Nije kukusaidia?panya wamenisumbua sana, wamekua wakila nguo nzuri za watoto na zetu, jana ndo wamenimaliza kabisa wamekula mafuta ya kupaka watoto kitu ambacho sijawahi kuona ukweli sina amani toka jana, ngoja leo nitumie hizi njia huenda nikawanasa hawa washenzi
Labda kapeleka kwa mdai wakoPanya aliniibia elfu tatu jikoni