#COVID19 Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

Gwajima anapata mwanya kupitia ushmaba wetu. Watanzania wengu tu washamba bila kujali umri na elimu.
Unakuta mtu mzima na msomi anaamini yale maigizo ya kunatisha sumaku mabegani eti chanjo zinanasa usumaku.
Kwa hilo tu unagundua ni kiasi gani tulivo washamba.
Viblog vya wahuni ulaya na USA wanatengeneza press conference kuongelea mambo ya africa, halafu mtu mzima na msomi anaamini kwa aslimia 100. Najua siasa za kumwenzi jiwe zinachangia lakini wewe kama ni mtu mzima unakuwaje mjinga hata kuhatarisha maisha yako?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Uhuru wa kujieleza Pasco

Hii habari ya chanjo inachanganya hata huko America kuna baadhi ya state zimeikataa hii Johnson and Johnson tulioletewa sisi .
Johnson ndo chanjo yenye asilimia ndogo zaidi za kukinga. Hii ndo sababu ya kwanza, na ya pili ni kwamba iliwahi kusimamishwa kutolewa baada ya madai kuwa inasababisha vifo. Uchunguzi ulifanyika na baada ya kuona haina madhara ikaruhusiwa kuendelea kutolewa. Sasa kutokana na uvumi mbalimbali unaoendelea mitandaoni ndio sababu baadhi ya majimbo wanaona isiwe tabu,,, kama kuna chanjo zingine ni bora zitumike ili mwitikio uwe mkubwa ,,,kwani lengo linabaki palepale,,- kuchanja watu waote duniani.


Nakushauri uwe mfuatiliaji mwenyewe kutoka vyanzo vya uhakika. Hapa Tanzania siasa zimeingia humo. Kuna wale wa kuenzi mawazo ya jiwe ,,, hawataki kabisa kusikia kitu kinaitwa chanjo kwani ni kama kumdhalilisha bwana wao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Gwajima hayupo serikalini.

Ana haki ya kutoa maoni yake hata kama maoni hayo ni ya kipumbavu!

Kwenye demokrasia watu wana haki ya kuwa wapumbavu na wana haki ya kukosea pia.

Gwajima asinyamazishwe. Apingwe kwa hoja.
 
Umeongea kama mpumbavu, nadhani chuki yako kwa gwajima bado ni kubwa na kujipendekeza kwako kwa samia kumeanza vibaya. Taifa ni nani? Si kila siku unazungumza uhuru wa kujieleza? Katiba inasemaje?upumbavu si matusi ni sifa kama mweusi na mweupe n.k bado unamchukia gwajima toka kipindi kile amchambue askofu pengo.

Kisha akakubwaga vibaya kwenye kula ya maoni ya ubunge kawe. Na kuja shinda kwa kishindo. Kwanin unadhani pengo alikuwa na haki ya kuzungumzia siasa ila wengine hawana haki?

 
Bora wasukuma mjitokeze muongee naye hata kilugha atawaelewa
Na wakijitokeza mimi naomba tu wanitafsiriye tu huyu mbunge anaongea nini kwenye hii video hapa chini.

Your browser is not able to display this video.

Nawaona na waumini wanavyomsikiliza kwa umakini wa hali ya juu, masikini Tanzania!
 
Ndio shida ya shetani yule Magufuli kuokota mavi takataka kulee sababu tu ni msukuma Na kuwaleta kwenye Chama. Yani angenyamaza tuu
CCM fukuza hii mbwa Gwajima.
 
Usaliti kwa taifa ulianza lini?Uchunguzi wa chanjo hii umefanyikia maabara ipi Tanzania?
Tuache kusaka vyeo!
 
Kulingana na vyanzo vya taarifa kupitia tovuti za marekani, hiyo Johnson & Johnson haina madhara kwani ilishafanyiwa majaribio kwa Waathirika elfu 40 bila ya wao kupata matatizo.

Generally, Chanjo/Vyanjo vya aina 3 ambazo zimethibitishwa na kupitishwa kuwa hazina madhara na nchi ya Marekani in hizi:
 
Natamani kila mtanzania asome hii. Article
 
Gwajima anapotosha umma hana elimu yeyote juu ya chanjo wala padadol.
 
Gwajima kawauliza haya maswali
  • ukipata chanjo unaweza kupata corona? Ndio
  • ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? Ndio
Sasa kwa nini upate chanjo?
Hivi umelazimishwa kuchanjwa? Au kiherehere kinakusumbua
 
Unavunja Uhuru wa kutoa maoni.
Hayo ni maoni kama yalivyo maoni yako.
Hakuna kuhukumu mwacheni atufungue.
 
Hakuna chanjo iliyooitishwa na FDA marekani.
Zote ni mpango wa majaribio hivyo zimepata kibali cha udharura.
 
Huyu jamaa ame miscalculate siasa anafikiri bado yupo enzi za ' Nileteeee Gwajimaaa × 3" Naona dalili ya jimbo la Kawe kurudi kupata mbunge mwingine
 
Serikali haijapendeka kuwa chanjo ni lazima kila mwananchi achanje bali ni optional,sasa kwa gwajima kile kipengere cha hiyari ya kutoku chanjwa ndo anacho kitumia kwa nguvu zote.sioni usaliti wa gwajiboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…