Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,188
- 1,912
We nae
Ameongea akiwa kanisani sio bungeni Wala mahala pengine popote kwaio lile swala Ni la kiimani na alikua anaongea na waumini wake Kama wewe sio muumini wake haikuhusu mkuu.Wanabodi,
Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu!
Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio kiongozi wa kiroho kwa waumini na wafuasi wake. Hawezi kuhubiri jambo lolote mimbarini kwake, ambalo ni kinyume cha maslahi ya taifa.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, must stand as one, Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama hukubaliani na msimamo huo wa serikali, then unapaswa kunyamaza kimya yaani, "Shut Up" or kama huwezi kunyamaza, then you just Quit!
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi kama alivyofanya Gwajima, huo ni usaliti, anatakiwa kushughulikiwa kama wasaliti wengine wote, na hatua ya kwanza ni kuachia ngazi kama mtumishi wa umma na kubaki na kazi moja tuu ya kuwachunga kondoo wake. Kitendo cha kuitumia mimbari kuhubiri siasa ni kuchanganya dini na siasa!
Je, Askofu Gwajima afanywejwe?
Pasco.
nileteeni gwajima x5Ana hasira za kukosa uwaziri.
Tumlaumu aliyeingiza sumu kwenye sisitimu.
Hapa wanaweza wakaweka maji wakatupiga Changa la macho.Nashauri waziri wa afya ajibu hoja za Gwajima kwanza
Na aje public kama waziri wa afya wa Zanzibar mbona ameeleza kwa umakini umuhimu wa hiyo chanjo?
Wachanjwe kwanza wenyewe wote baraza la mawaziri waliopitisha hii chanjo
Wanachi tutafuata.
Hii issue Ina walakini na itakuja kutugharimu tusipokua makini.Tuwe wakweli kwenye hili. Polisi au chombo cha dola chenye mamlaka kilipaswa IMMEDIATELY kumkamata na kumhoji huyu FAKE PASTOR Gwajima. Ametoa tuhuma nzito kuhusu watu walioruhusu chanjo ziingie Tanzania kuwa wanahongwa au na Bill Gates au na wazakishaji wa chanjo wa Marekani.
Kwa uelewa wangu aliyeruhusu chanjo zije ni Rais Samia baada ya kushauriwa na timu yake ya wataalamu. Kwa hiyo tuhuma ya Gwajima inamlenga Rais SSH moja kwa moja.
TISS na POLISI kamata huyu Fake Pastor Gwajima
Kwa hiyo unataka kusema Gwajima yuko sahihi?Hii issue Ina walakini na itakuja kutugharimu tusipokua makini.
Watu wa CCM ndo wanatakiwa wakubali Kila kitu hata Kama ni ujinga.uhuru wa kutoa maoni ni kwa Kila raia wa nchii hii kwaio muacheni atoe hoja zake wananchi wanasikiliza then wataamua zipi kipi Ni Bora kwao wachanjwe au hapana.Asulubiwe!
Huyu ni msaliti kabisa. Mbunge wa CCM hatakiwi kubehave this way. Hii ni dharau kubwa kwa serikali na raisi.
Naamini CCM wanajua cha kumfanya. Kama chama tusikubali utamaduni huu wa kambale. Aondolwe kwenye chama akafanyie nje hizo porojo zake.
Kwenye sayansi Kuna biashara sometimes kwaio umakini unahitajika nafikiri wakuu viongozi wa nchi Ni watu muhimu kwa ustawi wa Taifa letu walitakiwa wakae mbele kwenye foleni wapate chanjo sisi tutafuata mbona barabarani huwa tunasimama wapite Kwanza.Kwa hiyo unataka kusema Gwajima yuko sahihi?
Anyway kama umechagua kuishi kwa maombi ya walokole it's okay. Ila nakushauri fuata sayansi
Kwa hiyo ndugu una maanisha Paschal mayala kwa sasa anakisaliti kimvuli chake?? Yaani unamaanisha kuwa Paschal anakikana kata kata kuwa kimvule chake cha miaka ya 2007 hadi 2015 hakikuwa cha kwake??. Kwa hiyo ndugu una maanisha Paschal alienda kwa mganga wake wa kisukumu kupiga ramli na kisha kuambiwa kimvuli alichonacho Cyo chake! Akaamua kupiga nyungu kama kawa ya wasukuma, Ili atoe mikosi ndipo kimvuli chake kikarudi??, Una maanisha Paschal ana kimvuli kingine kipya! Ambacho anaamini kindaki ndaki kuwa hicho ndo kimvuli chake halali? Kile kimvuli cha kupata kura mbili hakikuwa chake??. Kama unasema kile cha miaka ya nyuma ndicho chake kihalali! basi Paschal apigwe risasi mchana, tena peupeeeee!!!!!!. Kama hakikuwa halali basi Paschal apewe uwaziri wa umbaramwezi.
Uko sahihi kabisa!Binafsi sikubaliani na upumbavu anaoongea Gwajima and his stupid self.
Ila kwavile mimi ni mpenda freedom,ngoja nikupinge hoja zako maana zinalazimisha upumbavu.
People are free kua wapumbavu
Nani kasema serikali yangu ikiamini kitu fulani mimi mtu huru ni "lazima" eti kuifata serikali inachoamini?
Kivipi kwa mfano?
Huu udikteta ndio tunataka katiba mpya inayotoa uhuru kamili kwa wanadamu
Serikali ni genge la watu kama wewe na mimi,wanachoamini sio lazima na mimi niamini
Na huwezi "lazimisha" wanadamu wote waamini serikali inachoamini,huo ni udikteta
Na sio lazima nisapoti kila serikali inachoamini kwa lazima
Huu usenge wa kusema ni lazima "nisapoti" na "kuamini" kila inachoamini serikali kwa lazima ndio maana exactly tunataka Katiba Mpya kufuta huu ulazimifu
Serikali ijitegemee,ifanye inayoihusu bila kulazimisha kusaidiwa na kila mwanadamu
Serikali hainilipi kwa mimi kuisapoti kwa inachokiamini na kufanya,sina nayo mikataba ya kisenge namna hiyo
Hii mausenge ya "lazima" ndio mausenge hasa inafanya nachukia serikali even more
Nishawishi,acha ku-force this nonsense
Kwa Mkristu yeyote anayeyajua maandiko matakatifu hasa "Ufunuo", wa Yohana hawezi kuchanjwa chanjo hiyo.Wanabodi,
Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu!
Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio kiongozi wa kiroho kwa waumini na wafuasi wake. Hawezi kuhubiri jambo lolote mimbarini kwake, ambalo ni kinyume cha maslahi ya taifa.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, must stand as one, Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama hukubaliani na msimamo huo wa serikali, then unapaswa kunyamaza kimya yaani, "Shut Up" or kama huwezi kunyamaza, then you just Quit!
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi kama alivyofanya Gwajima, huo ni usaliti, anatakiwa kushughulikiwa kama wasaliti wengine wote, na hatua ya kwanza ni kuachia ngazi kama mtumishi wa umma na kubaki na kazi moja tuu ya kuwachunga kondoo wake. Kitendo cha kuitumia mimbari kuhubiri siasa ni kuchanganya dini na siasa!
Je, Askofu Gwajima afanywejwe?
Pasco.
Wewe ndo huna hoja. hujui chochote kuhusu hiyo chanjo. ushahidi unaonesha kuwa hata waliochanjwa hupata corona kama kawaida. so this is bullshit. haina maana yoyote zaidi ya mipango yao ya kishetwani tuGwajima ni mbunge sio serikali
Mpango wa serikali ni wa serikali executive sio branch zingine,habanwi na mikataba ya collective ya serikali executive
Kama mbunge infact yupo sahihi kua kinyume na serikali executive
Cha ajabu ni hoja zake za kipumbavu sana yaani....
Gwajima ni kichaa,ubongo wake una mavi kabisa ndio shida
I got mine wrong sure! Upo sahihiGwajima ni mbunge sio serikali
Mpango wa serikali ni wa serikali executive sio branch zingine,habanwi na mikataba ya collective ya serikali executive
Kama mbunge infact yupo sahihi kua kinyume na serikali executive
Cha ajabu ni hoja zake za kipumbavu sana yaani....
Gwajima ni kichaa,ubongo wake una mavi kabisa ndio shida
Awahishwe MirembeWanabodi,
Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu!
Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio kiongozi wa kiroho kwa waumini na wafuasi wake. Hawezi kuhubiri jambo lolote mimbarini kwake, ambalo ni kinyume cha maslahi ya taifa.
Kwenye vita yoyote ya kitaifa, kama ilivyo vita ya Corona, ili kushinda vita, viongozi wote, must stand as one, Tanzania kama Taifa likiisha kubali Chanjo ya Covid Ndio Maslahi ya Taifa, Viongozi wote wa umma, wanakuwa bind na a collective responsibility clause, they must support, msimamo wa serikali.
Na kama hukubaliani na msimamo huo wa serikali, then unapaswa kunyamaza kimya yaani, "Shut Up" or kama huwezi kunyamaza, then you just Quit!
Kitendo cha kupingana na msimamo wa serikali wazi wazi kama alivyofanya Gwajima, huo ni usaliti, anatakiwa kushughulikiwa kama wasaliti wengine wote, na hatua ya kwanza ni kuachia ngazi kama mtumishi wa umma na kubaki na kazi moja tuu ya kuwachunga kondoo wake. Kitendo cha kuitumia mimbari kuhubiri siasa ni kuchanganya dini na siasa!
Je, Askofu Gwajima afanywejwe?
Pasco.
Wakaikubali ipi? Au wameamua wasichanjwe kabisa?Uhuru wa kujieleza Pasco
Hii habari ya chanjo inachanganya hata huko America kuna baadhi ya state zimeikataa hii Johnson and Johnson tulioletewa sisi .
Kwani hana uhuru wa kuongea?Wanabodi,