Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Hii kitu sijui ni kweli kuna wazazi nikicheki historia yao walikuwa Bana na mama ni genius ,wengine hawajasoma ila mapambano yao ya kimaisha yanasadiki u genius afu watoto wao ni mulemule
Yes, ndo sayansi inavosema mkuu
 
Naweza kukubaliana na wewe kwa sehemu kwamba mama akiwa na akili anaweza kuzaa watoto wasio na akili ingawa kwa asilimia kubwa mambo yapo kama alivyoeleza mtoa mada...kwa uzoefu wangu ni kwamba hata baba awe na akili kiasi gani akikutana na mama kilaza watoto pia watakuwa vilaza au akili ya kawaida (kwa uzoefu wangu). Kingine nadhani usichoelewa ni kwamba akili haipimwi kwa idadi ya madarasa mtu aliyopitia hasa kwa hawa wazazi wetu...wengine walikosa opportunity tu ya kusoma kwa sababu elimu haikupewa kipaumbele siku za nyuma
Umeeleza vizuri by 80%, soma comment yangu hapo juu ujazie hiyo 20%
 
Maneno yako sio sheria !!.

Nitaoa mwenye akili ya Maisha ,mwenye kujua familia nini ,inataka nini , nikitu gan kifanywe kuimarisha uchumi , nasio lazima awe nakazi Bali hata wazo lake tu kwangu linatosha, unajua ? Yaaan mwanamke atakayelea wanangu ktk misingi ya kuwapa maadili mema !!.

Going after IQ + misifa ya nje , sijui kua mzur darasan oohhh nini yote haina maana.

As long as nmeyafanya Mimi., sio lazima nifanane na mwanamke Wangu kiakili.
 
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD

Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa wanapajua, ile nimepiga test (5 questions) maswali ma 4 yakaenda
wacha nikwame kwenye swali flani bwana, kulia kakaa mshikaji wangu kushoto, kushoto kakaa demu japo nasoma nae course moja ila hatukuwahi kuzungumza na wakati huo nipo second year!

aah nikaona isiwe jawu, japo sikuona poa kumchabo mtoto wa kike ila nikamfinya....mamaa nsaidie swali la pili...nakumbuka lilikuwa swali la Combined Moment ya I shaped Beam yaani nilikuwa na idea partial saaana!

Aaah mtoto wa Kike Kuona Kafinywa na Handsome Boy-Genius Hakusita asee akanihamishia na kikaratasi chake nikacheki nikapata idea nikasolve swalii!

Kile kitendo kilinimotivate sana, nikamregard yule dada kama Genius maana almost kila swali alijibu vema na hata baada ya lile paper akawa rafiki yangu mpaka namaliza, sasa nikawa najiuliza kama ndo kilaza kakaa pembeni mwangu ningesaidika?

Hakika nikikumbuka lile tukio najikuta kuwarespect na kuwakubali wanawake Ma-genius/inteligent...assume father is inteligent na mama inteligent ... mtoto ataezaliwa si einstein?
Tena natamani sana Mwanamke nitaemuoa awe Kibonge dizain, tall afu genius/inteligent

sio uzae na Mwanamke kilaza....offspring/wattoto wawee vilazaa baadae ibaki historia ooh Baba yao huyu mtoto alikuwa genius/inteligent...ooh mara alikosea kuoa mwanamke kilaza!

Kweli siku nikibadili wazo na nikakubali kuoa i will go for genius/inteligent woman, hakika lazima wazae watoto genius/inteligents!

Ndugu Wanaume Wenzangu unapotaka kuoa consider sana IQ ya Mwanamke, sio uangalie uzuri /Msambwanda tu kumbe kichwa empty, raha ya mzazi hasa baba ni kuona Mwanae akiwa jembe yaani Kichwaa!

Waache Vilaza Kwa Vilaza Waoane/ Waache wafu Wazike Wafu wao!

Maneno yangu sio Sheria!
Ila mkuu mi Nina swali,
Kwan intelligences we unaipima na vitu gani??
Naamini intelligence ni genetic factor ,
Hata kam wazazi hawakusoma waweza kuwa intelligent .
Kigezo cha kutokusoma pekee hakitoshi kupima hii kitu .zipo sababu zilizozuia baadhi ya watu kutopata formal education lakini sio kigezo cha kuitwa vilaza

Kigezo cha kutokusokapekee hakitoshi kupima hii kitu .zipo sababu zilizozuia baadhi ya watu kutopata formal education lakini sio kigezo cha kuitwa vilaza
 
Mtoto wa kiume anarithi akili (akili za darasani) za mama yake, Mtoto wa kike anaweza kurithi za baba au za mama au kote kote akachukua nusu nusu. Haya si maneno yangu, ni sayansi ndo inaongea.
Aisee sasa hivi ndo nimeelewa nilikuwa sijui hapo kwenye jinsia za watoto...nimerelate kwenye mifano halisi ninayoijua ni relevant kwa asilimia 90
 
Elimu yako bado haija kusaidia. Lazima kati ya makabila haya Sukuma, Haya au Chaga. Kama siyo hayo mimi na appeal na ukapimwe mkojo.

Kwa sasa nikujitathimini wewe kama wewe. Najua utauliza kama nimesoma.!!
ahahahaa Mkuu umekoseaa tena kosa kubwa mimi ni Mkaskazini
 
Inabidi ukakague ukoo wao na wenu..babu, bibi, baba yake babu...walau vizazi vitatu vinne ndipo utajua kama zipo ama hazipo.
mzee recessive genes zina tabia ya kujificha
 
Mwandishi wa makala umesoma lakini hujaelimika.
Mama anaweza akawa jiniaz mtoto kilaza.au mmaama kilaza mtoto jiniaz,hujawahi kuona? Tembea uone,sisi waalimu tunaofundisha vijijini tunayaona haya,hapa shuleni kwetu kuna dogo kapata wani kalii lakini baba darasa la pili,mama hakusoma,sare zenyewe tulikua tunamchangia,kaenda faiv lugoba kapata tuu ya fom six na sasa yuko ud.na kwao peke yake ndo kasoma,
Nasikitika kusema umesoma tu upate cheti uwe mwalimu, uwezo wako wa kureason possibilities ni mdogo mno au haupo kabisaa
 
Got two qns for u
1st huyo Mwanamke kukusaidia au kupatia hayo maswali ndo unamuona genius?hilo tu?

2nd umejiuliza kama baba yako angeamua kuoa huyo so called genius ww ungekuwepo?
1. huyo binti after then nilifanya interaction nae anajua yaani aproximately to me!
2. mama yangu ni genius.....kila mtu anajua
 
Naweza kukubaliana na wewe kwa sehemu kwamba mama akiwa na akili anaweza kuzaa watoto wasio na akili ingawa kwa asilimia kubwa mambo yapo kama alivyoeleza mtoa mada...kwa uzoefu wangu ni kwamba hata baba awe na akili kiasi gani akikutana na mama kilaza watoto pia watakuwa vilaza au akili ya kawaida (kwa uzoefu wangu). Kingine nadhani usichoelewa ni kwamba akili haipimwi kwa idadi ya madarasa mtu aliyopitia hasa kwa hawa wazazi wetu...wengine walikosa opportunity tu ya kusoma kwa sababu elimu haikupewa kipaumbele siku za nyuma
una busara mwanangu na akili yako ina fikiri
 
Hii kitu sijui ni kweli kuna wazazi nikicheki historia yao walikuwa Bana na mama ni genius ,wengine hawajasoma ila mapambano yao ya kimaisha yanasadiki u genius afu watoto wao ni mulemule
waambiee
 
mi naona wewe ndo ulikuwa kilaza na yule mwanamke alikuwa na akili zake tu za kawaida,ila swali la moment la shape rahisi kama I section unaanzaje kulikosa sasa.
 
Back
Top Bottom