Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Inabidi ukakague ukoo wao na wenu..babu, bibi, baba yake babu...walau vizazi vitatu vinne ndipo utajua kama zipo ama hazipo.
[emoji23] [emoji23] sasa kazi yote ya nini si uchukue tu ambae zipo dominant zinaonekana kabisa hata kama ana recessive nyingine walau kutakuwa na chance.
 
Hahah!, sio Daby huyo anataka umuwaze tu usiku kucha..
Uzuri ni weekend so no worries!
Hahaa wikiend wapi...sisi wengine sio wafanyakazi ni watumwa. Itakuwa yeye kweli maana anataka nimuwaze yeye tu wakati anatuwaza yeye tunajaa costa
 
Hahaa wikiend wapi...sisi wengine sio wafanyakazi ni watumwa. Itakuwa yeye kweli maana anataka nimuwaze yeye tu wakati anatuwaza yeye tunajaa costa

[emoji28] [emoji23] [emoji23]

Ujue tu kama kaloga ina maana wewe ndo mwenyewe, hataki ubanduke kwake ndo maana anataka umuwaze tu!
 
Mwandishi wa makala umesoma lakini hujaelimika.
Mama anaweza akawa jiniaz mtoto kilaza.au mmaama kilaza mtoto jiniaz,hujawahi kuona? Tembea uone,sisi waalimu tunaofundisha vijijini tunayaona haya,hapa shuleni kwetu kuna dogo kapata wani kalii lakini baba darasa la pili,mama hakusoma,sare zenyewe tulikua tunamchangia,kaenda faiv lugoba kapata tuu ya fom six na sasa yuko ud.na kwao peke yake ndo kasoma,
 
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD

Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa wanapajua, ile nimepiga test (5 questions) maswali ma 4 yakaenda
wacha nikwame kwenye swali flani bwana, kulia kakaa mshikaji wangu kushoto, kushoto kakaa demu japo nasoma nae course moja ila hatukuwahi kuzungumza na wakati huo nipo second year!

aah nikaona isiwe jawu, japo sikuona poa kumchabo mtoto wa kike ila nikamfinya....mamaa nsaidie swali la pili...nakumbuka lilikuwa swali la Combined Moment ya I shaped Beam yaani nilikuwa na idea partial saaana!

Aaah mtoto wa Kike Kuona Kafinywa na Handsome Boy-Genius Hakusita asee akanihamishia na kikaratasi chake nikacheki nikapata idea nikasolve swalii!

Kile kitendo kilinimotivate sana, nikamregard yule dada kama Genius maana almost kila swali alijibu vema na hata baada ya lile paper akawa rafiki yangu mpaka namaliza, sasa nikawa najiuliza kama ndo kilaza kakaa pembeni mwangu ningesaidika?

Hakika nikikumbuka lile tukio najikuta kuwarespect na kuwakubali wanawake Ma-genius/inteligent...assume father is inteligent na mama inteligent ... mtoto ataezaliwa si einstein?
Tena natamani sana Mwanamke nitaemuoa awe Kibonge dizain, tall afu genius/inteligent

sio uzae na Mwanamke kilaza....offspring/wattoto wawee vilazaa baadae ibaki historia ooh Baba yao huyu mtoto alikuwa genius/inteligent...ooh mara alikosea kuoa mwanamke kilaza!

Kweli siku nikibadili wazo na nikakubali kuoa i will go for genius/inteligent woman, hakika lazima wazae watoto genius/inteligents!

Ndugu Wanaume Wenzangu unapotaka kuoa consider sana IQ ya Mwanamke, sio uangalie uzuri /Msambwanda tu kumbe kichwa empty, raha ya mzazi hasa baba ni kuona Mwanae akiwa jembe yaani Kichwaa!

Waache Vilaza Kwa Vilaza Waoane/ Waache wafu Wazike Wafu wao!

Maneno yangu sio Sheria!
Got two qns for u
1st huyo Mwanamke kukusaidia au kupatia hayo maswali ndo unamuona genius?hilo tu?

2nd umejiuliza kama baba yako angeamua kuoa huyo so called genius ww ungekuwepo?
 
Kuwa na mwanamke zinachaji kichwani ni sifa. Nakumbuka wakati niko olevel nilikua na nyodo sana hasa nikitongozwa na mwanaume wa kidato chetu. Nilikua nawaambia siwezi kutembea na mwanaume ninaemzidi akili. Zile akili ziliendaga wapi sijui.
Hehehe shikamooo
 
Back
Top Bottom