Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Inshu Ni pale umemuoa uyo genius af anapigwa show nje mpk mimba af azaliwa kilaza ha ha ha mtatafutana asee
ahahahahaa ilo balaa, sema mara nyingi na almostly iq ya mtoto mama huchangia kwa kiasi kikubwa
 
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD

Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa wanapajua, ile nimepiga test (5 questions) maswali ma 4 yakaenda
wacha nikwame kwenye swali flani bwana, kulia kakaa mshikaji wangu kushoto, kushoto kakaa demu japo nasoma nae course moja ila hatukuwahi kuzungumza na wakati huo nipo second year!

aah nikaona isiwe jawu, japo sikuona poa kumchabo mtoto wa kike ila nikamfinya....mamaa nsaidie swali la pili...nakumbuka lilikuwa swali la Combined Moment ya I shaped Beam yaani nilikuwa na idea partial saaana!

Aaah mtoto wa Kike Kuona Kafinywa na Handsome Boy-Genius Hakusita asee akanihamishia na kikaratasi chake nikacheki nikapata idea nikasolve swalii!

Kile kitendo kilinimotivate sana, nikamregard yule dada kama Genius maana almost kila swali alijibu vema na hata baada ya lile paper akawa rafiki yangu mpaka namaliza, sasa nikawa najiuliza kama ndo kilaza kakaa pembeni mwangu ningesaidika?

Hakika nikikumbuka lile tukio najikuta kuwarespect na kuwakubali wanawake Ma-genius/inteligent...assume father is inteligent na mama inteligent ... mtoto ataezaliwa si einstein?
Tena natamani sana Mwanamke nitaemuoa awe Kibonge dizain, tall afu genius/inteligent

sio uzae na Mwanamke kilaza....offspring/wattoto wawee vilazaa baadae ibaki historia ooh Baba yao huyu mtoto alikuwa genius/inteligent...ooh mara alikosea kuoa mwanamke kilaza!

Kweli siku nikibadili wazo na nikakubali kuoa i will go for genius/inteligent woman, hakika lazima wazae watoto genius/inteligents!

Ndugu Wanaume Wenzangu unapotaka kuoa consider sana IQ ya Mwanamke, sio uangalie uzuri /Msambwanda tu kumbe kichwa empty, raha ya mzazi hasa baba ni kuona Mwanae akiwa jembe yaani Kichwaa!

Waache Vilaza Kwa Vilaza Waoane/ Waache wafu Wazike Wafu wao!

Maneno yangu sio Sheria!

Genius NA genius unapata Bomu.

Nenda kawauliza Israel walivyokuwa wanataka kupata magenius kwa combination ya gene walivyopata vituko.
 
Uzi umekaa kichoko huu full kukariri huo ugenius mnaupima kwa kufaulu na kuigiliziana darasani au?? Shenzi kabisa asante bujibuji kwa kuwafumbua macho hawa vilaza wanaojishaua magenius wakati amekiri kuigilizia oooh ntazaa na mwenye akili utadhani wengine unawasaidia kwenda chooni
 
ahahahaa Vilaza utawajua tu,Ma Geniius tena wanawake wamesapoti kwa furaha kabisaa
 
Uzi umekaa kichoko huu full kukariri huo ugenius mnaupima kwa kufaulu na kuigiliziana darasani au?? Shenzi kabisa asante bujibuji kwa kuwafumbua macho hawa vilaza wanaojishaua magenius wakati amekiri kuigilizia oooh ntazaa na mwenye akili utadhani wengine unawasaidia kwenda chooni
Hujamuelewa bujibuji kasema vilaza watamu huko kunako 6 kwa 6
 
Hujui Raha ya kuwa Na demu kilaza. Ni watamu sana akili zote ziko kiunoni, chini ya kituvu, kitandani Na kwenye majamboz huyohuyo kuwa naye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zote ziko wapi?
 
Elimu yako bado haija kusaidia. Lazima kati ya makabila haya Sukuma, Haya au Chaga. Kama siyo hayo mimi na appeal na ukapimwe mkojo.

Kwa sasa nikujitathimini wewe kama wewe. Najua utauliza kama nimesoma.!!
 
Back
Top Bottom