Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Katika hali ya kuwa Genius. Kuna magenius wa Darasan ambao kwa namna moja au nyngne walisoma na mambo ya kawa sawa. Lakn hao hao wakija kwenye maisha/Mtaan au kwenye ndoa mbal na Darasani n VILAZA sana. So Megenius wa Darasan co Magenius wa maisha. Kwa Mfano mimi
Mama yng n Genius sana wa elimu ya Maisha japo hakusoma elimu ya Darasani.
Wanawake weng wenye Matako makubwa wengi akili zao huwa znawaza matako yao 2. Yaaan avae nn hli watu washangae matako yake . Wakat wakifanya hvyo Mama yng anasugua kichwa wap apete pesa ya kununua nyumba ya kupangisha.
Mwsho ww ukimfikilia Demu/kicheche mimi nnamuwaza Mama yng, Happy Birth Day yke ndio X-mass kwenye maisha yng
interesting-japo umechanganya mada mbili tofauti
 
utapata sapot ya watu wengi
Suport ya nini juu ya maoni binafsi!

Upendo unaochagua huwa haudumu,

Itafika mahali utakubali kuna aliyemzidi uwezo,utamfuata ?
Mkizaa mtoto kilaza as unavyomwita utamtupa?

Na ujue kuna watoto wanazaliwa hawaeleweki ila wanakuzwa kwenye mazingira ya kuwafikisha sehemu nzuri.

Hivyo basi amini unachoamini.
 
hahahaa umeongea kitu sensitive japo kwa temper
 
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD

Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa wanapajua, ile nimepiga test (5 questions) maswali ma 4 yakaenda
wacha nikwame kwenye swali flani bwana, kulia kakaa mshikaji wangu kushoto, kushoto kakaa demu japo nasoma nae course moja ila hatukuwahi kuzungumza na wakati huo nipo second year!

aah nikaona isiwe jawu, japo sikuona poa kumchabo mtoto wa kike ila nikamfinya....mamaa nsaidie swali la pili...nakumbuka lilikuwa swali la Combined Moment ya I shaped Beam yaani nilikuwa na idea partial saaana!

Aaah mtoto wa Kike Kuona Kafinywa na Handsome Boy-Genius Hakusita asee akanihamishia na kikaratasi chake nikacheki nikapata idea nikasolve swalii!

Kile kitendo kilinimotivate sana, nikamregard yule dada kama Genius maana almost kila swali alijibu vema na hata baada ya lile paper akawa rafiki yangu mpaka namaliza, sasa nikawa najiuliza kama ndo kilaza kakaa pembeni mwangu ningesaidika?

Hakika nikikumbuka lile tukio najikuta kuwarespect na kuwakubali wanawake Ma-genius/inteligent...assume father is inteligent na mama inteligent ... mtoto ataezaliwa si einstein?
Tena natamani sana Mwanamke nitaemuoa awe Kibonge dizain, tall afu genius/inteligent

sio uzae na Mwanamke kilaza....offspring/wattoto wawee vilazaa baadae ibaki historia ooh Baba yao huyu mtoto alikuwa genius/inteligent...ooh mara alikosea kuoa mwanamke kilaza!

Kweli siku nikibadili wazo na nikakubali kuoa i will go for genius/inteligent woman, hakika lazima wazae watoto genius/inteligents!

Ndugu Wanaume Wenzangu unapotaka kuoa consider sana IQ ya Mwanamke, sio uangalie uzuri /Msambwanda tu kumbe kichwa empty, raha ya mzazi hasa baba ni kuona Mwanae akiwa jembe yaani Kichwaa!

Waache Vilaza Kwa Vilaza Waoane/ Waache wafu Wazike Wafu wao!

Maneno yangu sio Sheria!

Mkuu utakua Mhaya tu!

Hahahaaaaa.."Handsome-Genius"!This is hilarious!

Nadhani umesahau "Regression Law" kwamba wakali sana hua wanazaa poor versions of themselves!

Ndio maana watoto wa Einstein wapo mpaka leo na ni ma-engineer wa kawaida kabisa.Tena mwingine ni average Civil engineer kama wewe.

Kupata outlier au off-shoot ni rare occurance mzee!
 
ahahahaa usinitishee mkuu, but sio mhaya mimi
 
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD

Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa wanapajua, ile nimepiga test (5 questions) maswali ma 4 yakaenda
wacha nikwame kwenye swali flani bwana, kulia kakaa mshikaji wangu kushoto, kushoto kakaa demu japo nasoma nae course moja ila hatukuwahi kuzungumza na wakati huo nipo second year!

aah nikaona isiwe jawu, japo sikuona poa kumchabo mtoto wa kike ila nikamfinya....mamaa nsaidie swali la pili...nakumbuka lilikuwa swali la Combined Moment ya I shaped Beam yaani nilikuwa na idea partial saaana!

Aaah mtoto wa Kike Kuona Kafinywa na Handsome Boy-Genius Hakusita asee akanihamishia na kikaratasi chake nikacheki nikapata idea nikasolve swalii!

Kile kitendo kilinimotivate sana, nikamregard yule dada kama Genius maana almost kila swali alijibu vema na hata baada ya lile paper akawa rafiki yangu mpaka namaliza, sasa nikawa najiuliza kama ndo kilaza kakaa pembeni mwangu ningesaidika?

Hakika nikikumbuka lile tukio najikuta kuwarespect na kuwakubali wanawake Ma-genius/inteligent...assume father is inteligent na mama inteligent ... mtoto ataezaliwa si einstein?
Tena natamani sana Mwanamke nitaemuoa awe Kibonge dizain, tall afu genius/inteligent

sio uzae na Mwanamke kilaza....offspring/wattoto wawee vilazaa baadae ibaki historia ooh Baba yao huyu mtoto alikuwa genius/inteligent...ooh mara alikosea kuoa mwanamke kilaza!

Kweli siku nikibadili wazo na nikakubali kuoa i will go for genius/inteligent woman, hakika lazima wazae watoto genius/inteligents!

Ndugu Wanaume Wenzangu unapotaka kuoa consider sana IQ ya Mwanamke, sio uangalie uzuri /Msambwanda tu kumbe kichwa empty, raha ya mzazi hasa baba ni kuona Mwanae akiwa jembe yaani Kichwaa!

Waache Vilaza Kwa Vilaza Waoane/ Waache wafu Wazike Wafu wao!

Maneno yangu sio Sheria!
kweli..mi mke wangu kilaza mno alipata zero form IV ila sijui nilimpendea nini. Katika watoto wangu watatu naye mmoja ni kilaza mno hadi naogopa akikua sijui atafanya kazi gani..labda na mi mwenyewe kilaza labda
 
Kuwa na mwanamke zinachaji kichwani ni sifa. Nakumbuka wakati niko olevel nilikua na nyodo sana hasa nikitongozwa na mwanaume wa kidato chetu. Nilikua nawaambia siwezi kutembea na mwanaume ninaemzidi akili. Zile akili ziliendaga wapi sijui.
Ulijuwa hujaijua makitu wewe hahah
 
Kuna dada mmoja rafiki yangu alikua ni kipanga hasa darasani na amesomea kazi nzuri but hana akili ya maisha ya kawaida yaan hawezi kufanya reasoning kitu cha kawaida yaan she's very primitive..anachosha kweli hata ukiongea nae
 
Hiyo inaitwa "Low Emotional Intelligence"....

Hapo ndio unaona umuhimu wa genes,makuzi na mazingira sahihi!
 
kweli..mi mke wangu kilaza mno alipata zero form IV ila sijui nilimpendea nini. Katika watoto wangu watatu naye mmoja ni kilaza mno hadi naogopa akikua sijui atafanya kazi gani..labda na mi mwenyewe kilaza labda
Hii ni Hatarii mkuu
 
Back
Top Bottom