[emoji23] [emoji23] [emoji23] bujibuji unanifurahisha sana mkuuHujui Raha ya kuwa Na demu kilaza. Ni watamu sana akili zote ziko kiunoni, chini ya kituvu, kitandani Na kwenye majamboz huyohuyo kuwa naye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wana PhD za viuno wamesumbua sana wanaume maboyawema sepetu ana degree ngapi za engineering?
Anisa Mobeto je?
Zari naye?
Ahahahahaa Ulikimbia darasa la mwandiko? ahahahahaaaHivi unafikiri ukichagua sana unaoa mke unaoa lizuzuuu unamkuta kakuwin kinamna fulani.
IQ ndio nini mbona umezaliwa wewe na wazazi wako walichaguliwa waoane shauri lako.
Chagua mpaka ukute wameisha maana unapomkata mtu leo kesho ameolewa au kapata mchumba ukirudi nyuma unakuta vyuma vimekaza na makofuli ya banwa kwenye milango na umekosa kote Mungu kaumba wewe sio wakuwachagua kisana kidogo tu maana kujiona ni kubaya sana eti nitaoa huyu boya tu wewe.
Sio nilikimbia nilifeli unajua zamani hurudishwi darasa unaendelea .Ahahahahaa Ulikimbia darasa la mwandiko? ahahahahaaa
Kuwa na mwanamke zinachaji kichwani ni sifa. Nakumbuka wakati niko olevel nilikua na nyodo sana hasa nikitongozwa na mwanaume wa kidato chetu. Nilikua nawaambia siwezi kutembea na mwanaume ninaemzidi akili. Zile akili ziliendaga wapi sijui.
Kama tumefeli somo la mwandiko hata la kutambua maana za maneno.sasa mbona unalalama
Niambie basiahahahaa hujui maana ya neno 'LALAMA'??