Kama nitaoa, nitaoa aina hii ya Mwanamke!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Nimejikuta leo nakumbuka mbali, enzi izo nipo CoET napiga Civil pale UD

Nakumbuka ilikuwa paper ya Teacher anaitwa Dr Shirima-Mechanics of Materials (SC 201) plae A21, waliosoma UDSM watakuwa wanapajua, ile nimepiga test (5 questions) maswali ma 4 yakaenda
wacha nikwame kwenye swali flani bwana, kulia kakaa mshikaji wangu kushoto, kushoto kakaa demu japo nasoma nae course moja ila hatukuwahi kuzungumza na wakati huo nipo second year!

aah nikaona isiwe jawu, japo sikuona poa kumchabo mtoto wa kike ila nikamfinya....mamaa nsaidie swali la pili...nakumbuka lilikuwa swali la Combined Moment ya I shaped Beam yaani nilikuwa na idea partial saaana!

Aaah mtoto wa Kike Kuona Kafinywa na Handsome Boy-Genius Hakusita asee akanihamishia na kikaratasi chake nikacheki nikapata idea nikasolve swalii!

Kile kitendo kilinimotivate sana, nikamregard yule dada kama Genius maana almost kila swali alijibu vema na hata baada ya lile paper akawa rafiki yangu mpaka namaliza, sasa nikawa najiuliza kama ndo kilaza kakaa pembeni mwangu ningesaidika?

Hakika nikikumbuka lile tukio najikuta kuwarespect na kuwakubali wanawake Ma-genius/inteligent...assume father is inteligent na mama inteligent ... mtoto ataezaliwa si einstein?
Tena natamani sana Mwanamke nitaemuoa awe Kibonge dizain, tall afu genius/inteligent

sio uzae na Mwanamke kilaza....offspring/wattoto wawee vilazaa baadae ibaki historia ooh Baba yao huyu mtoto alikuwa genius/inteligent...ooh mara alikosea kuoa mwanamke kilaza!

Kweli siku nikibadili wazo na nikakubali kuoa i will go for genius/inteligent woman, hakika lazima wazae watoto genius/inteligents!

Ndugu Wanaume Wenzangu unapotaka kuoa consider sana IQ ya Mwanamke, sio uangalie uzuri /Msambwanda tu kumbe kichwa empty, raha ya mzazi hasa baba ni kuona Mwanae akiwa jembe yaani Kichwaa!

Waache Vilaza Kwa Vilaza Waoane/ Waache wafu Wazike Wafu wao!

Maneno yangu sio Sheria!
 
Hujui Raha ya kuwa Na demu kilaza. Ni watamu sana akili zote ziko kiunoni, chini ya kituvu, kitandani Na kwenye majamboz huyohuyo kuwa naye
Ahahahahaa umeongeaa ukwelii wotee, sasa hao wafanye Mchepuko Maana atakuzalia watoto design hio hio
 
Back
Top Bottom