Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,871
Unataka kuninyima nini mkuu?Hehehe shikamooo
Unataka kuninyima nini mkuu?Hehehe shikamooo
Jibu zuri sanaMimi napendaga hiyo.
Hehehe don't take t personal mkuuUnataka kuninyima nini mkuu?
Nimekutania bwana. Huelewagi mtu anasema ukimwamkia unataka kumnyima mzigo [emoji2]Hehehe don't take t personal mkuu
Nimependa tu jibu lako especially the last part
Naweza kukubaliana na wewe kwa sehemu kwamba mama akiwa na akili anaweza kuzaa watoto wasio na akili ingawa kwa asilimia kubwa mambo yapo kama alivyoeleza mtoa mada...kwa uzoefu wangu ni kwamba hata baba awe na akili kiasi gani akikutana na mama kilaza watoto pia watakuwa vilaza au akili ya kawaida (kwa uzoefu wangu). Kingine nadhani usichoelewa ni kwamba akili haipimwi kwa idadi ya madarasa mtu aliyopitia hasa kwa hawa wazazi wetu...wengine walikosa opportunity tu ya kusoma kwa sababu elimu haikupewa kipaumbele siku za nyumaMwandishi wa makala umesoma lakini hujaelimika.
Mama anaweza akawa jiniaz mtoto kilaza.au mmaama kilaza mtoto jiniaz,hujawahi kuona? Tembea uone,sisi waalimu tunaofundisha vijijini tunayaona haya,hapa shuleni kwetu kuna dogo kapata wani kalii lakini baba darasa la pili,mama hakusoma,sare zenyewe tulikua tunamchangia,kaenda faiv lugoba kapata tuu ya fom six na sasa yuko ud.na kwao peke yake ndo kasoma,
Lazima tupongezane mkuuuWapenda ngono mmekutana
Nimekulewa sana mpenz was just explaining tuNimekutania bwana. Huelewagi mtu anasema ukimwamkia unataka kumnyima mzigo [emoji2]
Best QN everKabla Ya ww kuzaliwa Baba Na Mama Yko Walikuwa Magenius??..
Daaah wee Mwenyezi Mungu kakupendelea kumbeee, una akili halafu tena mzuri, una msambwada wa kuvalia suruali, khaaa!! Hope na reception imetulia[emoji87] [emoji87]Kuwa na mwanamke zinachaji kichwani ni sifa. Nakumbuka wakati niko olevel nilikua na nyodo sana hasa nikitongozwa na mwanaume wa kidato chetu. Nilikua nawaambia siwezi kutembea na mwanaume ninaemzidi akili. Zile akili ziliendaga wapi sijui.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hujui Raha ya kuwa Na demu kilaza. Ni watamu sana akili zote ziko kiunoni, chini ya kituvu, kitandani Na kwenye majamboz huyohuyo kuwa naye
Hahaaa daah, kumbe siji tena PM aiseee, nishakosa sifa tiyari, nina hela lakini elimu ya kuunga unga, teh!!Naomba sana mwanangu aje achukue akili zangu. Ndo maana sipendagi kudate mwanaume ambae history yake ya elimu inasua sua. Napenda wanaume wenye akili.