Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Kama ningerudi ku "date" tena ...24year old boy and nothing else

Ni maoni yake, yaheshimiwe

Amemiss zamani
73585ED2-B137-4FC9-8B14-095B2CBAB096.gif
 
Ulipokuwa kigori uliwapatezea agemates ukakimbizana na mitarimbo ya 40s sasa umeshakuwa mshangazi umeamu ubemende watoto wa 2000 waliozaliwa baada ya wewe kuvunja ungo. Ila ndo maisha, furahia kwa usalama.
 
Back
Top Bottom