Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
huree sasa hivi vyeti feki serikalini ruksaa
huree sasa hivi vyeti feki serikalini ruksaaAsilete kwa nani? Ni mamlaka gani iliyomuagiza awasilishe vyeti vyake na akakosa kutekeleza?mbona una kiherehere ,bashite hachomoki ,subiri kesi ya kikatiba ikianza cross examination ndo atabanwa mbele ya hon judge and ruling itaweka precedent kwenye law report kuwa kuchakachua vyeti ni criminal offence,
Kama kuna kesi yoyote kuhusu hayo mambo ya vyeti basi itakuwa ni criminal. Criminal cases zote katika nchi hii zinakuwa prosecuted na DPP ama mtu anapewa ruhusa na DPP kushitaki. DPP kwa maana nyingine ni Jamhuri ndio maana kwenye kesi za criminal parties huwa ni Republic v Accused. Tanzania hatuna Private Prosecutors labda upate ruhusa ya DPP.Aisee!
So that is the standard of proof now?
Kwamba ukiamua kukaa kimya juu ya mambo yanayozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii basi una hatia?
Scratching my head.....literally!
Paulo Makonda kashika nyadhifa nyingi sana kabla ya u-RC.
Yote mabaya anayoelekezwa ambayo hayakusikika kabla ya kuanzisha vita vya mihadarati yangekuwa yalishasikika kitambo.
Asipoleta inakuwa kweli ama si kweli?Kama si kweli na ushahidi haupo, basi alete vyeti kila mtu avione!
Hataki sasaNi hivi mkuu Ngabu, Wanasema aliwaaibisha Watu kwenye Media bila Ushahidi Watu wakakasirika
Naye wakamchimba wakapata hizi tuhuma zinazobebewa Bango. Wanataka naye ajisafishe kwenye Media ile njia aliyotumia!
Hao wote uliowataja hawajaona kasoro yoyote na kuna taratibu ya kuanzisha uchunguzi wa jambo ambalo sio hatari kwa taifa mtu au jamii. Taratibu haziruhusu kuanzisha uchunguzi wa cheti cha mtu kwa sab ya tuhuma za mtandaoni au mtu fulani kupitia mtandaoni. Kuna zoezi la kuhakiki vyeti likifika kwa wakuu wa mikoa naye atahakikiwa. Lkn kama kuna raia mwenye malalamiko kuhusu jinai ya mtu yoyote anaruhusiwa kwenda mahakamani kufungua shauri dhidi ya mhusika.Kuna mamlaka za ki uchunguzi. Ndio maana tunawalipa mishahara.
Sisi Raia hatuwezi fanya kazi zao. Kuna NECTA wameibiwa cheti, kuna UTUMISHI wametapeliwa, kuna PCCB rushwa baina ya Paul Pogba na Daudi Bashite, kuna POLICE wao huyu Raia siyo mwamninifu ni Tapeli.
Kuna TUME ya MAADILI YA VIONGOZI huyu mtuhumiwa kamadanganya hadi RAIS wa nchi.
Kuna TISS hawa ni kuhakikisha nchi iko salama kuanzia mawazo ya kiongozi wa nchi, mwaminifu, nk.
KAZI KWAO.
ISSUE INACHUA MUDA COZ NI JAMBAZI LA CCM NDILO LINATUHUMIWA.
Kwahiyo inawezekana raia kwenda polisi au mahakamani kufungua kesi dhidi ya makonda kwa kosa la kufoji vyeti?Unapenda police kutoa taarifa. Na serikali inaanzia hapo. Mahakamani wewe itakuwa shahidi namba moja na sio mshitaki. Mshitaki ni Jamhuri kwa kuvunjwa sheria zake.
Ushauri asipouchukua itakuwaje? Hivi kama ni kweli kafoji cheti mnatarajia atajishitaki mwenyewe? Kwani msimshtaki ili sheria ichukue mkondo wake?Au kama vipi kinyume chake mshauri Mh. Makonda awashitaki wanaomtuhumu kwa uongo na kumchafulia jina na hadhi yake, tena kwake yeye ushahidi wa kwanza ni tuhuma za wazi za askofu Gwajima, hii itakuwa rahisi kwa Mkonda kwani atapiga ndege wawili kwa jiwe moja mosi atakomesha uzushi wa adui zake na wakati huo huo kujisafisha dhidi ya tuhuma zinazomkabili na lakini pia ni fursa safi kwake kiuchumi kwani atalipwa fidia.
Huwezi kuchunguza kitu bila kufunguliwa shauri polisi au mahakamani. Kafungue shauri uone kama hajaamrishwa kupeleka vyetiNani wa kuchunguza kama sio Serikali?. Tunajitoa ufahamu.
Sent from my D2302 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo watapata haki kupitia presha atakayopata mheshimiwa?Kifungu cha 128 kifungu kidogo cha 2 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai kinasema mtu yeyote anayeamini kua na tuhuma dhidi ya mtuhumiwa yeyote kufanya uhalifu wowote anaweza peleka shtaka lake kwa polisi au hakimu mwenye mamlaka au nguvu ya kuskiliza tuhuma hizo......inawezekana tena ni rahisi sana,sema naona wanahofia haki inaweza isitendeke hasa kwa upande wa polisi kumkamata RC wao,ndo maana wanasambaza kwanza tuhuma hizo kwenye jamii ambayo wamefanikiwa,inabidi RC akane mbele ya umma kwa kuleta uthibitisho wa elimu yake na vyeti ili kuona na majina.Lasivyo atapata sana presha
Kwahiyo watapata haki kupitia presha atakayopata mheshimiwa?Kifungu cha 128 kifungu kidogo cha 2 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai kinasema mtu yeyote anayeamini kua na tuhuma dhidi ya mtuhumiwa yeyote kufanya uhalifu wowote anaweza peleka shtaka lake kwa polisi au hakimu mwenye mamlaka au nguvu ya kuskiliza tuhuma hizo......inawezekana tena ni rahisi sana,sema naona wanahofia haki inaweza isitendeke hasa kwa upande wa polisi kumkamata RC wao,ndo maana wanasambaza kwanza tuhuma hizo kwenye jamii ambayo wamefanikiwa,inabidi RC akane mbele ya umma kwa kuleta uthibitisho wa elimu yake na vyeti ili kuona na majina.Lasivyo atapata sana presha
Subiri zamu yao kama itafika.Sisi wanyonge tumekaguliwa vyeti.Ni wakati wa wateule nao wakaguliwe.
Baada ya kueleweka nini kinafuata?Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika
Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti
Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.
Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.
Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.
Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.
Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.
Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.
Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.
AsipowekaYeye ndiye mwenye ushahidi na ithibati ya uhakika kwa kuwa vyeti hutolewa kwa mhiitimu na sio jurani au ndugu. Wanamjua majina yake na Shule alizosona O,level
Kuweka Mambo sawa yeye aweke vyeti vyake
Kama kweli amepata zero na kufoji atatoa vyeti? Hata ingekuwa mimi sitoi hata mjaze posterz nchi nzima. Itafutwe njia mbadala ya kumlazimisha atoe vyeti kwa ukaguzi na ikithibitika hatua zichukuliwe. Je mmefikiria kuhusu njia hii? Hopefully ni mahakama.Gwajima atakuwa na nakala tu naamini vyeti orijino anavyo Paul na sio Daud
Daudi wanasema alizungusha na ukizungusha unabaki na leaving cert. Lakini Paul alifaulu kwa hiyo yeye anacho cheti. Anavyotumia kwenye CV zake aweke hadharani tu.
Anakuteseni Bure kuwatuma kubadiri upepo
RC hadi Sasa Kaota Mkia WA vyeti feki kuukata ni kutoka na ukweli wake wote kinyume na tuhuma
Kuamini ni jambo moja kuchukua hatua ni jambo lingine na ndio la muhimuYani baada ya kuona hii comment ndo nimeamini kumbe kweli hilo ni jina lake
Vizuri kwa kujua hivyoKwa hili Daudi Kaota Mkia hata likija jambo kubwa namna gani Mkia wake hauta katika.
Tangu lineanza kuongelewa na dhamira ya Mkuu Wa jaya kuhusu vyeti fake taarifa sahihi tayari ziatakuwepo kilichobaki ni ukabila. Angekuwa kabila la kwangu mudamrefu U RC ungekuwa umeyeyuja na yuko kisutu kwa kughushi Bahati yakes sio kabila langu Bali kabila la Yule
Ataishi na jina la kuazima tu. Hakuna namna nyingine
Gwajima nae alikaa nao ndani kama fenicha?Ushahidi anao Gwajima na ndio maana juzi alifuatwa nyumbani kwake na wale jamaa ambao wao wanapoamrishwa tu wanakurupuka na kutumia nishati yetu ya mafuta bure hata km wanaona kile wanachokifuata hakina mashiko
Kumbe ushahidi ni mpk autoe makonda mwenyewe kuwa kafoji vyeti? Nani anaweza kujichoma kisu mwenyewe badala ya kujiokoa? Kama ni hivyo hii vita imefeli.Ushahidi WA Nini ? Vetting mamlaka zitakuwa tayari kuonyesha zikivyo poyoyo ? NN uko kazini hapa kujaribu kumwokoa mhalifu
Sidhani kama anaokoleka kwa kuwa utetezi hautabadiri vyeti fake kuwa genuine
Angekuwa anasingiziwa kwa kimbelembele alichonacho tayari angewananga kina Gwajima nimatokeo yake kwa kubandika cheti chake.
Kanaswa
Jitahudini kusingizia kuwa anasemwa kwa kuwa anapambana na ngada mazwazwa WA ktz watawaunga mkono.