Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Anhaaa umerudi, sio?

Safi sana...sasa twende hoja kwa hoja na mstari kwa mstari.

Naomba tuanzie hapo kabla hatujaendelea na mengine.

Nionyeshe mahali kwenye bandiko langu la kwanza hapa ambapo nimewataka wana-JF ndio wanipe ushahidi.

Naomba sana tuanzie hapo ili tusipoteze focus. Nipe, nionyeshe nukuu ya mimi kutaka hivo, tafadhali sana.
SIMPLE: So long as mada ipo JF, hiyo ni sababu tosha kwamba umewataka wana-JF ndio watoe ushahidi!! Na una kila sababu ya kufanya hivyo kwa sababu ni wana-JF ndio waliokomalia zaidi suala la Daudi Bashite!! Na kama kumbukumbu zangu zipo, ni JF ndipo mjadala huu ulianza na kisha kusambaa kwingine!

Msome Mamaphilipo hapa chini:
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
Hiyo post ni ya December 2015. Hivyo pamoja na kuthibitisha kwamba hoja ya kuitwa Bashite imeanzia JF na probably ndio maana umeleta JF lakini kwa upande mwingine inathibitisha tuhuma dhidi yake si za jana wala leo!!! Na hata ukimsoma Mamaphilipo kwenye posts zake zingine, anaonesha wazi wala sio shabiki wa mambo ya kisiasa!!!!

But all in all, majority ya utakaowataka watoe ushahidi kwenye hizo social networks bado hawana tofauti na wana-JF!!!
 
SIMPLE: So long as mada ipo JF, hiyo ni sababu tosha kwamba umewataka wana-JF ndio watoe ushahidi!! Na una kila sababu ya kufanya hivyo kwa sababu ni wana-JF ndio waliokomalia zaidi suala la Daudi Bashite!! Na kama kumbukumbu zangu zipo, ni JF ndipo mjadala huu ulianza na kisha kusambaa kwingine!

Msome Mamaphilipo hapa chini:
Hiyo post ni ya December 2015. Hivyo pamoja na kuthibitisha kwamba hoja ya kuitwa Bashite imeanzia JF na probably ndio maana umeleta JF lakini kwa upande mwingine inathibitisha tuhuma dhidi yake si za jana wala leo!!! Na hata ukimsoma Mamaphilipo kwenye posts zake zingine, anaonesha wazi wala sio shabiki wa mambo ya kisiasa!!!!

But all in all, majority ya utakaowataka watoe ushahidi kwenye hizo social networks bado hawana tofauti na wana-JF!!!

I knew it.

Umeshindwa kunionyesha nilipowataka wana JF wanipe ushahidi wa tuhuma dhidi ya Makonda.

Tunaweza kuendelea na mengine sasa.
 
hapo hakuna matamko kama ya Mbeya kwa mwl msigwa.....wap ndalichako,....
 
Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
akienda kuripoti polisi kesi ikishaanza anakuwa shahidi namba 1. anayeshitaki kwenye criminal case ni republic"
 
Yaani naona manaiskeli anachafua cv ya mapadlick 2020 wapinzani watatumia silaha hii na wengi wataamini mapadlock lazima atafutie njia ya kujisafisha kumtoa mabaiskel hata kumwamisha mkoa kisha huko apunguze kiherehere
 
I knew it.

Umeshindwa kunionyesha nilipowataka wana JF wanipe ushahidi wa tuhuma dhidi ya Makonda.

Tunaweza kuendelea na mengine sasa.
Nimeshindwa vp? Aliyesema kwamba ana ushahidi ni Askofu Gwajima! Je, Gwajima yupo hapa JF?! Kama uliowataka watoe ushahidi sio wana-JF; WHY umeleta mada JF?!

Kama ungemtaka Gwajima ndie akupe huo ushahidi, hiyo hoja usingeileta JF! Au angalau ungemtaja Gwajima kwenye thread yako!!

Kama umesahau, ulichokiandika ni hiki hapa:
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Kumbe hoja yako ya kutaka ushahidi ni kutokana na kile kinachosemwa kwenye mitandao ya kijamii!!!

Sasa unakataa nini nikisema unawataka wana-JF ndo wakupe ushahidi?! Si umesema hapo kabla kutokana na yanayosemwa kwenye mitandao ya kijamii?! Na bado hoja yako umeileta kwenye mtandao wa kijamii! Sasa ni nani unawadai ushahidi kama sio hao wana mitandao ya kijamii ambao jumba lao kuu ni JF?! Au JF sio mtandao wa kijamii?!

Come on NN; acha janja janja bhana... wewe unawataka wana-JF na wengine wa kwenye mitandao ya kijamii ndio wakupe huo ushahidi!!!

Lakini yote haya ni ile iile janja janja ya wahalifu!!! Kama sio mhalifu atoke mbele... mbona haya mambo simple tu?!
 
Mkuu, Moja ya raha ya maongezi nikujiwezesha kwa wa kile anachokiongea mwenzako kukielewa, kwa mtindo wa JamiiForums kusoma na kuelewa kile kilichoandikwa.

Na ndio nakubaliana na wewe, hapa inaongelewa ni ushahidi wa jamhuri juu ya mtuhumiwa.

Na ushahidi wa muajiriwa juu ya muajiri, yaani mimi na wewe aka mwananchi, mlipa kodi Ikiwa ndani ya Dar au mikoani, au kwa msemo sahihi mimi na wewe ndio tunaolipa mishahara, kwa hio jamhuri au kwa kuanzia ofisi ya Mkuu wa Mkoa ndio atupe ushahidi, na sio vice versa.

Naelewa neno Public office au kwa maneno mepesi ofisi ya kwako, yangu na wote sisi humu, hilo neno bado naona linakutatiza.

Nakushauri google it, utapata kufunguka Mkuu , kwa hio kwa comment yako hapo mimi kutoka nje ya mada, mbona nimo at the core of it, kama Dunia na kilichomo ndani yake.

Tutazidi kufahamishana mkuu, ukielewa wewe na mimi basi, taratibu tutaelewana kwa jengine.

Na jengine kwa argument ya kusema mtendaji wa serikali aka Wakuu wa mikoa ambao si wakuchaguliwa yaani wa kuteuliwa na sio accountable kwa anao waongoza yaani sisi wananchi, haina mashiko kwa sababu hapo unaongelea jamhuri yaani serikali kwa ujumla wake, ndio sasa panakua pazuri zaidi, Kwa hio ni amri tu toka juu iende wizara ya elimu, kumlinda mtendaji kwa njia ambayo itutaarifu niyaje.

It sting both ways.. Ndio maana akiwa wazi na sisi kondoo basi tumeridhishwa na mtendaji wetu, tunaangalia mengine muhimu zaidi ya
Haya.
Maandishi yako ni mengi mkuu lkn nitajaribu kufafanua kwa jinsi navojua.
Mleta uzi amesema wale wanaomtuhum kuwa aligushi walete vielelezo hapa. Ndiyo maana nikakuambia uko nje ya mada kwa kuwa wewe unataka amri ya yeye aka mpambabanaji wa madawa ya kulevya itoke juu ili athibitishe kuwa hizo tetesi ni kweli au uongo. Mleta uzi anasema wanaomtuhumu wao walete vielelezo mfn mchungaji gwajima, avitoe sio tu kusema anavyo ofsini sasa ofsini kwake vinafanyaje?


Jamhuri ya tanzania inamgawanyo wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Mtumishi wa serikali za mitaa analipa kodi zawa na wananchi wa kwawaida mfano ananunua nguo, ananunua vinywaji, ananunua vyakula na vingine vyote ambavyo vinakatwa kodi sawa na mwananchi wa kawaida lkn yeye anaenda mbali zaidi kwa kukatwa kodi mshahara wake
Kwa huyu tukisema analipwa na kodi za walala hoi maana yake na yy ni mlala hoi kwa kuwa na yeye analipa kodi kwa maana nyingine anajilipa pia yy.

Uniwieradhi maana sijui serikali kuu kama wanafanya hivyo.

Nakushauri mkuu ungefungua uzi kuishinikiza labda serikali imrudie kumhakiki ili ithibitike kweli

Lkn inakuja vilevile kuwa huyu jamaa ni anapambana na dawa za kulevya ndo maana wamemwinukia asingefanya hivo angekuwa salama tu.

Lkn pia ujue hivi mtu mwingine akaingia kiujanja ujanja harafu akawa mtumishi bora mara 5 ya walioingia kwa halali basi huyu jamaa alikuwa akifanyiwa hiana ili asifanikiwe na ibilisi kwa kuwa alijua akikaa nafas furan atavuruga mambo yake.


AKA

Namtakia kila la kheri kupambana na wangamizi wa taifa MUNGU IBARIKI TZ MUNGU WABARIKI WAJA WAKE
 
Huyu sio wa kupelekwa mahakamani tu ila ni wa kuchomwa moto kabisa.
 
08dd47a54eacfad8c756b7caadcb2c06.jpg
 
Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.

Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.

I wonder why!

Things that make you go hmm....
Kama upo huko usisahau kutembelea Kolomije au Call Me J
 
Hili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt
..Ajisafishe kwenye social media ?!Hawezi kujisafisha kwa lolote maana anawajua raia wa nchi hii na tabia zao...watazua jambo jingine akifanya unachokiita kujisafisha...Hekima anayoitumia ndiyo sahihi"kukaa kimya"...akiitwa na vyombo husika vyenye kuhusika na academic status yake atatoa maelezo huko...nadhani mpaka sasa hakuna chombo husika kimetoa taarifa kuhusiana na academic status yake...sasa labda ajisafishe wapi?
 
Lakini wahusika hawakukanusha na kueleza bayana uhusika wao?.Makonda anapata kigugumizi gani? Katika hili.
Sikila jambo unalo sikia ulitolee ufafanuzi,kukaakimya nisehemu ya mjibu, hasa kwajambo lauzushi kama hili .makonda kasoma navyeti anavyo ndio maana kakaakimya ilihawawapiga debe endapo wakiamua kufungua kesi ndiowatajua Vyeti vipi ama no......
 
I knew it.

Umeshindwa kunionyesha nilipowataka wana JF wanipe ushahidi wa tuhuma dhidi ya Makonda.

Tunaweza kuendelea na mengine sasa.
Ninachoweza kukuthibitishia Daud Bashite mwisho wake ni jumapili hii.

Malaika wa kuzimu huwa wanatembelea ikulu yetu siku za jumapili.

Reserve this post for refference.
 
Mimi ninachojua kuhusu sisi watanzania wengi ni kwamba:-

Huwa tunapenda USHABIKI aidha katika jambo lililo na ukweli au lisilo na ukweli ilimradi jambo hilo limetokea kwa mtu ambaye ana umaarufu flani

Kuhusu jambo la Makonda, binafsi siamini kama kweli Gwajima ana vyeti vya Makonda.

Logically, mtu anayepata division 0 form four hawezi kupata cheti

Pia inawezekana vipi cheti cha Makonda apewe Gwajima? Hiyo wizara ni ya watu wenye akili timamu? Au alipataje?

Tena Gwajima hakusema kuwa ana nakala (copy) ya cheti, alisema cheti

Kumbuka ukichukua cheti kutoka NECTA ni lazima uthibitishe kwa kusign. Yeye Gwajima alisaini katika cheti cha Makonda au Daudi Bashite?

Inawezekana kabisa kuwa Makonda anatumia VYETI FEKI AU VYA MTU na wanacholalamika watu wengi ni kuwa kwanini hachukuliwi hatua kama walivyofanyiwa wengine waliokutwa na vyeti feki?

Ila uthibitisho wa Gwajima ni wa kuseek attentions za watanzania na kutaka kuaminiwa.
 
Back
Top Bottom