Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Mhh, mpaka Kiswahili kilishindikana, Daudi amekwisha
Alivyo kilaza hata fasihi simulizi na andishi hazijui, hajui aina za sentesi. Mambo ya vilai na vishazi. Kichwa chake kilivyo kizito hata kushika mashairi alishindwa.
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Ni hivi mkuu Ngabu, Wanasema aliwaaibisha Watu kwenye Media bila Ushahidi Watu wakakasirika
Naye wakamchimba wakapata hizi tuhuma zinazobebewa Bango. Wanataka naye ajisafishe kwenye Media ile njia aliyotumia!
 
Kuna mamlaka za ki uchunguzi. Ndio maana tunawalipa mishahara.

Sisi Raia hatuwezi fanya kazi zao. Kuna NECTA wameibiwa cheti, kuna UTUMISHI wametapeliwa, kuna PCCB rushwa baina ya Paul Pogba na Daudi Bashite, kuna POLICE wao huyu Raia siyo mwamninifu ni Tapeli.

Kuna TUME ya MAADILI YA VIONGOZI huyu mtuhumiwa kamadanganya hadi RAIS wa nchi.

Kuna TISS hawa ni kuhakikisha nchi iko salama kuanzia mawazo ya kiongozi wa nchi, mwaminifu, nk.

KAZI KWAO.

ISSUE INACHUA MUDA COZ NI JAMBAZI LA CCM NDILO LINATUHUMIWA.
 
Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Unapenda police kutoa taarifa. Na serikali inaanzia hapo. Mahakamani wewe itakuwa shahidi namba moja na sio mshitaki. Mshitaki ni Jamhuri kwa kuvunjwa sheria zake.
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Au kama vipi kinyume chake mshauri Mh. Makonda awashitaki wanaomtuhumu kwa uongo na kumchafulia jina na hadhi yake, tena kwake yeye ushahidi wa kwanza ni tuhuma za wazi za askofu Gwajima, hii itakuwa rahisi kwa Mkonda kwani atapiga ndege wawili kwa jiwe moja mosi atakomesha uzushi wa adui zake na wakati huo huo kujisafisha dhidi ya tuhuma zinazomkabili na lakini pia ni fursa safi kwake kiuchumi kwani atalipwa fidia.
 
Maandishi yako ni mengi mkuu lkn nitajaribu kufafanua kwa jinsi navojua.
Mleta uzi amesema wale wanaomtuhum kuwa aligushi walete vielelezo hapa. Ndiyo maana nikakuambia uko nje ya mada kwa kuwa wewe unataka amri ya yeye aka mpambabanaji wa madawa ya kulevya itoke juu ili athibitishe kuwa hizo tetesi ni kweli au uongo. Mleta uzi anasema wanaomtuhumu wao walete vielelezo mfn mchungaji gwajima, avitoe sio tu kusema anavyo ofsini sasa ofsini kwake vinafanyaje?

Jamhuri ya tanzania inamgawanyo wa serikali kuu na serikali za mitaa.

Mtumishi wa serikali za mitaa analipa kodi zawa na wananchi wa kwawaida mfano ananunua nguo, ananunua vinywaji, ananunua vyakula na vingine vyote ambavyo vinakatwa kodi sawa na mwananchi wa kawaida lkn yeye anaenda mbali zaidi kwa kukatwa kodi mshahara wake
Kwa huyu tukisema analipwa na kodi za walala hoi maana yake na yy ni mlala hoi kwa kuwa na yeye analipa kodi kwa maana nyingine anajilipa pia yy.

Uniwieradhi maana sijui serikali kuu kama wanafanya hivyo.

Nakushauri mkuu ungefungua uzi kuishinikiza labda serikali imrudie kumhakiki ili ithibitike kweli

Lkn inakuja vilevile kuwa huyu jamaa ni anapambana na dawa za kulevya ndo maana wamemwinukia asingefanya hivo angekuwa salama tu.

Lkn pia ujue hivi mtu mwingine akaingia kiujanja ujanja harafu akawa mtumishi bora mara 5 ya walioingia kwa halali basi huyu jamaa alikuwa akifanyiwa hiana ili asifanikiwe na ibilisi kwa kuwa alijua akikaa nafas furan atavuruga mambo yake.

AKA

Namtakia kila la kheri kupambana na wangamizi wa taifa MUNGU IBARIKI TZ MUNGU WABARIKI WAJA WAKE

Mkuu mimi na wewe tuko pamoja kwenye vita ya madawa ya kulevya, nakubaliana na wewe ni janga kubwa la jamii, athari zake tunaziona na tuko pamoja ktk mapambano.

Lakini vita hiyo isiwe sababu ya kulinda incompetence ya mtu, yaani kujilinda nyuma ya pazia na kujitakasa na vita vya unga, na zaidi ya hapo Makonda ameonyesha madhaifu yake kabla ya hili sakata. Yaani anatumia vita hii kama scape goat, na maandishi yako kwa sababu ya unga mimi sifikirii kama ndio sababu.

In fact vita hio imekua na mapungufu mengi zaidi ya mafanikio, bado ninasubiri hao mapapa kupanda vizimbani na kushtakiwa, kutoka ktk list ya Makonda.

Kamwe tusikubali kutumia hii vita kisiasa tuwe waangalifu, tunaiua kabla haijaanza, na Makonda ana nafasi yake kwa hilo, kwa mapungufu yake binafsi na weledi wake wa kikazi.

Wewe niambie Mkuu conversion rate ya hao aliyowataja na hatimae kushitakiwa ni asilimia ngapi?
 
Basi hata wasipokwenda mahakamani basi watoe ushahidi wa ivyo vyeti basi hadharani
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Majungu tu. Hata kama ni kweli hao mbona Makonda ni bora zaidi yao.
 
Kifungu cha 128 kifungu kidogo cha 2 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai kinasema mtu yeyote anayeamini kua na tuhuma dhidi ya mtuhumiwa yeyote kufanya uhalifu wowote anaweza peleka shtaka lake kwa polisi au hakimu mwenye mamlaka au nguvu ya kuskiliza tuhuma hizo......inawezekana tena ni rahisi sana,sema naona wanahofia haki inaweza isitendeke hasa kwa upande wa polisi kumkamata RC wao,ndo maana wanasambaza kwanza tuhuma hizo kwenye jamii ambayo wamefanikiwa,inabidi RC akane mbele ya umma kwa kuleta uthibitisho wa elimu yake na vyeti ili kuona na majina.Lasivyo atapata sana presha
 
Mimi nimeishia form four A haaa haaaa.

Kwakuwa nimeishia form four nadhani makosa ya jinai yanapaswa kuwa handled na serekali kupitia taasisi zake DCI au DPP.Hivyo wewe kama raia huna nafasi ya kumshtaki Bashite nafasi uliyonayo ni kumzodoa tuu na si vinginevyo.Mfano kama umeshiriki kutoa uhai wa mwanao mkeo atakuwa shahidi wa jamhuri (DPP) mwenye kesi au atakayekushtaki atakuwa mkurugenzi wa mashtaka.

Una nafasi ya kumshtaki Bashite katika makosa ya civil eg kesi ya madai ya kuchafuliwa jina ambayo nadhani bado kidogo tu zitaanza kunguruma katika mahakama zetu tukufu.
Acha uongo kesi za jinai unazijua au akili imekaa kiumbeambea tu bila weledi? Wewe umejeruhiwa utamsubiria Dpp au DCI wakushitakie? Tuache umbea na majungu tupige kazi. Km unao ushahidi peleka Police au mahakamani sio majungu mitandaoni. Inawezekanaje yupo mtu ananufaika kwa impersonation huku wewe ukiwa na ushahidi unaendelea kumtazama tu huku ukipiga kelele km kichaa? Mbona ukiibiwa kwako huwasubirii uliowataja wakakushitakie Police au mahakamani bali unajipeleka mwenyewe tena ukiwa umenyoosha sentences zako?
 
Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo

Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema

Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Msimjibie kuhusu hii ishu.
Mwacheni atoe hivyo vyeti original.
Utasemaje Fulani ni muongo na wakati muhusika hajakanusha tuhuma ambazo zinatamba hadi kimataifa???
_20170301_082249.JPG
 
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.

Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.

Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?

Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?

Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?

Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.

Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.

Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.

Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?

Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
 
Naongeza swali, hivi kubadilisha jina ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi? Kwa elimu yangu ndogo ya darasa la 3 najua kuwa sheria ya nchi inaruhusu mtu kubadilisha jina kwa sababu yoyote aliyonayo, ili mradi amefuata hatua stahiki ya kula kiapo kwa mwanasheria au mahakama na kwenda kusajili kiapo chake pale wizara ya ardhi sijui mnaita 'deed poll'.

Ndio maana tunao watu wengi wamebadilisha majina na tunawafahamu (hata wewe unayesoma lazima unamfahamu mtu aliyebadili jina walau mmoja) hiyo ndio inawarahisishia wanawake wanaoolewa na kutaka kutumia majina ya waume zao legally waweze kubadilisha majina yao ya kuzaliwa na kuyatumia majina ya waume zao legal bila shida.

Hebu tusaidieni kutufafanulia,
- issue ni kufeli?
- issue ni ku adilisha jina?
- issue ni kututoa kwenye vita ya madawa ya kulevya?

Maana hatuelewi.
 
Back
Top Bottom