Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika

Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti

Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.

Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.

Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.

Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.

Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.

Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.

Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.
 
Kwa hiyo bawacha huu ndio uthibitisho?
 
The vice versa is true

Hako umesahau kukaweka
 
Call Me J - Koromije

Kauli mbiu: Kichwa changu, tumbo langu.
 
1c4u1m.jpg

Yaani, kwa kifupi, TOA NGADA HAPA!
 
Watanzania nyie ni wanafiki sana.. Kuna watu walijidai wanamuunga mkono ndugu rais katika suala la uhakiki wa vyeti na elimu za watu lakini alipotuhumiwa makanda wamekengeuka kabisa na kuwa upande wa waghushi vyeti!
 
Back
Top Bottom