Tuhuma mbalimbali lkn sio zote.Samahani ndugu, hii ni kuhusu tuhuma za vyeti tu au hata tuhuma nyingine?
Tuhuma mbalimbali lkn sio zote.Samahani ndugu, hii ni kuhusu tuhuma za vyeti tu au hata tuhuma nyingine?
Sawa ndugu, nyingine ni zipi?Tuhuma mbalimbali lkn sio zote.
Unataka nilist hapa kama darasani? Njoo ofisini kwetu msemwa advocates it plaza Dar nikupe darassa la kisheria usisahau 50,000 ada ya kuniona.Sawa ndugu, nyingine ni zipi?
Dah.... Na cha ajabu zaidi...imehit Sana hiki kipindi cha kupambana na watu wa ngadaHili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt

Unataka nilist hapa kama darasani? Njoo ofisini kwetu msemwa advocates it plaza Dar nikupe darassa la kisheria usisahau 50,000 ada ya kuniona.
NECTA NDIYO YENYE UWEZO WA KUTHIBITISHA UHALALI WA CHETI CHA MAKONDA PEKEE.
ndiyo mahana Lijuakali kafungwa na Kisena kutoguswa?Mkuu Nyani Ngabu,mfumo wa kisheria wa nchi yetu ya Tanzania hauruhusu mtu binafsi kumfungulia mwingine,na kuendesha kesi mahakamani,kesi ya jinai. Kinachotakiwa ni kwa mtu mwenye ushahidi dhidi ya jinai ya mwingine kuuwasilisha ushahidi huo kwa mamlaka zinazohusika,mfano polisi au TAKUKURU,ili hatua stahiki zichukukiwe. Mamlaka hizo na nyinginezo,kama Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ndizo zitakazomshtaki mhusika. Ndiyo kusema,wenye kuamua kushtaki au la ni watawala waliopo kwenye mamlaka hizo iwe ushahidi umekabidhiwa au ule walionao wenyewe.
Rubi hujamboMungu ana makusudi yake