Kama ni kweli na ushahidi upo....

Kama ni kweli na ushahidi upo....

Maajabu ni pale tulipo ona Bashite huyu akiwatuhumu watumishi wa idara mbalimbali na tuhuma tu ikaweza kuotesha nyasi vibarua vyao bila ya kufanyika uchunguzi wowote! Sasa Kila muosha huoshwa! Haki iko wapi??? Jamani tuondeleeni Bashite.
 
Ukiona clouds na le mutuz wamekausha ujue kilichobaki ni kumtungia wimbo wa maombolezo
 
suala la uhakiki wa vyet limeshashindikana, inaskitisha sana serikali inaposhindwa kutimiza wajibu, kwan mpaka sasa watumiaji vyeti feki bado wamejaa kibao maofisin umo
Wapo wengi sana. Kiufupi, jamaa nchi ilisha mshinda
 
3b49f73a3aadd427268719a59b7a7e4d.jpg
Hii ni prove tosha jamani...hilo jina Bashite lilitajwa 8 months ago mtandaoni watu hawakushtukia...ila nashangaa people wataleta uchama tu hapa na utetezi usio na maana....Vyeti yule kafoji...Gwajima kuekwa ndani ni uonevu wa Serikali na Mungu anawaona mnachomfanyia mtumishi wa Mungu...cku mtatoa Hesabu zake...Ukweli kweli unauma...ww Bashite mwachie huru mtumishi wa Mungu ....Hajakosa lolote kusema ukweli...
 
Waweke
Kwa hili naomba niwe wazi kwako ....Punguza kuwatesa watoto Wa akina mama wenzako ....Mikopo mmenyima maelfu kwa maelfu ....kuna wazazi wakaamua kuuza Assets zao ili kuwalipia watoto vyuo wasome .......Leo hii mnakuja na matamko oooohh 8000 hawana sifa .....Ivi mpaka TCU inawachagua ulikua imefumba macho ????? Ivi hamkuliona hili ???? Mmeacha watu wameuza Mali zao ...wengine wameishi maisha ya ajabu ili mradi wasome ...Leo mnakuja na matamko ambayo nyinyi ndio watendaji ....Nyinyi ndio mmewagawa hawa vijana .....Yaan ikiwa mamlaka ningekua yangu Ningewafungulia mashitaka kwa usumbufu na athari za kisaikolojia mnazotupa wazazi na wanafunzi.....Kwan elimu inakua ivi ?? Hata kama ni kuonyesha uwajibikaji jaribuni kujua utu ninin ....Namm mwisho niseme..atakapopatikana Rais Mwningne na kuamua kutudisha Mfumo Wa zamani Basi tambua kua Watu watakulaumu sana na Jina lako litabaki kua ktk historia ya viongozi walioshindwa ..embu tutumie elimu zetu kama kings nasio kusubiri ajar ndo mzitumie kama matibabu .
e1ac5adf830497654351ab7e50de4008.jpg

Kwanini Wanaodai Wana vyeti halisi vya Makonda hawaviweki hadharani?
Waviweke mara ngapi?
 
Kwanini Wanaodai Wana vyeti halisi vya Makonda hawaviweki hadharani?
Kiuhalisia ni kuwa ukipata zero huwezi pewa cheti NECTA...shuleni utapewa leaving certificate tu kuonyesha ulisoma mpaka form 4....lakini nadhani cheti alichofojia ndio kilichopo ....
 
Kwa hiyo bawacha huu ndio uthibitisho?
Mnajichoresha haswa,so juzi tuu mmekimbiza watu makazini. Mkadai mmepitia vyeti vya kila mtu.Sasa mnaonyeshwa na watu walio nje ya system, shida nini system haina weledi? Au siju ya kucheki bashite aliwazidi akili? Vipi gwajima kawa mjinga hivyo had I arudishe sembe ndani au aweke vyeti vya bashite ndabi bila kuscan? He mna hakika gwajina hana mitamvo ya siri ndani? Baadae awaanike tena? Kwa stahili hii rematch mtatolewa tena damu. Shida humu ndani mnachagua ushauri wa kusikia. Note my word. Ni bora aibu ndogo watu wanasahau mapema kuliko kubwa. Mkajipange upya. Bashite apigwe chini mpeni pole km jk akivyompa msela kwamba kapata janga la kisiasa. Humu ndani kuna washauri wazuri tuu ila makaretii yenu tuu. Mimi mwenyewe nimewapa warning kibao, kuanzia purukushani za sukari, machinga mwanza, pesa na bank. Ila bado tuu mnataka aibu kwa nguvu.
 
Huo si uthibitisho.

Ni mazingira tu ambayo yanaweza kumfanya mtu apatwe na imani kuwa huenda kinachodaiwa kina ukweli.

Lakini hayo mazingira si uthibitisho.

Nyani vituko sana, wajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.

Labda ndio hulka yako, kuchekesha ndio Asili yako.

Mbona unajitoa ufahamu!
 
Siasa za maneno matupu sijui zitaisha lini, ingekuwa ni kweli kwamba ana vyeti feki siku nyingi vingekuwa visharushwa hewani kama ushahidi.. kila siku wanaoleta mada wanaleta kwa kuhisi tu bila kuja na ushahidi.
 
Ukiona clouds na le mutuz wamekausha ujue kilichobaki ni kumtungia wimbo wa maombolezo
Kubwa jinga Le mutuz siku hizi hata makonda analikwepa baada ya kugundua watu wanalidharau sana, Daud Albert lazima aonyeshe vyeti na asipoonyesha vyeti alafu waendelee kumnyayasa Gwajma kule kijijini kwao wazee wote wa kimila watafanya Tambuko la kumlaani Daud kwa Udikteta anaomfanyia Gwajma.
 
Kubwa jinga Le mutuz siku hizi hata makonda analikwepa baada ya kugundua watu wanalidharau sana, Daud Albert lazima aonyeshe vyeti na asipoonyesha vyeti alafu waendelee kumnyayasa Gwajma kule kijijini kwao wazee wote wa kimila watafanya Tambuko la kumlaani Daud kwa Udikteta anaomfanyia Gwajma.
Nadhani Jamii Forums nayo inaanza kukataa kuwa jukwaa La kusafishia zile elimu lissu, gwajima, na wengine wanazozitafuta .
 
Huyu tunae mpaka mwisho wa maisha yake..
Daudi Albert Bashite.
Elimu take haisafishiki. Le mutuzi km wale maprof wa udsm. Wanajipa tuu vyeo mchambuzi was masuala ya mashariki ya kati, mchambuzi was uchumi, mbobezi wa was masuala ya social media.
 
Kwani hujaona necta form four results ya shule yake kwenye mtandao serial namba yake 546 na aggregate zake ni 35 division 0??????? na jina ni Albert Bashite!!

Kile kichekesho kiliwekwa kwa ajili ya watu Kama wewe sio Wenye akili zilizotimia!

Jibu this simple Question. Hayo Matokeo yalikuwa ya Mwaka gani?
 
Hivi wataendelea kukaa kimya hadi lini? Au wanataka kutumia falsafa ya yule mtangulizi wao kwamba NI UPEPO TU HUO UTAPITA? Inapotokea hivyo watanzania tufanyeje? Kuna mambo mengi ya msingi watz tumeyalalamikia lakini watawala wakakaa kimya na kuyapuuzia hadi yakasahaulika taratibu au wakaanzisha tukio jingine ili kuhamisha akili za watu. Jamani watanzania tuwe na utamaduni wa kuthubutu kudai haki zetu hata mahakamani badala ya maneno matupu ambayo wenyewe wanayaita ni upepo utapita.
 
Habari wanabodi. Baada ya mfululizo wa tuhuma dhidi ya kufoji vyeti vya kitaaluma, kuna mwitikio kutoka kwa mtuhumiwa na mamlaka husika, ambavyo vinathibitisha ukweli wa tuhuma husika
Mosi, Ni mhusika kukimbia vyombo vya habari na kukosa utetezi wa kina katika kufoji cheti
Pili, Kushindwa kuanika nyaraka za vyeti vyake vya kitaaluma.
Tatu, Kupungua kwa ujasiri wake wa awali.
Nne, Mamlaka husika kukaa kimya huku ikisisitiza uhakiki wa vyeti kwa Watumishi wa umma.
Tano : Mteule wake kukosa ujasiri wa kulizungumzia, kama ilivyo kawaida yake, Na hivyo kujenga mazingira ya kumlinda.
Sita : Majibu yake kukwepa kutaja cheti badala yake kuibua visingizio kwamba hata kama angepata 0 angekuwa mkuu wa Mkoa.
Saba : Jeshi la polisi kwenda kukagua Gwajima ambaye ndio ameweka wazi zaidi juu ya tuhuma hiyo.
Haya yote bila shaka, kwa wenye fikra yakinifu wameelewa.

Polisi badala ya kumkamata na kumpekuwa mtuhumiwa wanaenda kumkamata na kumpekuwa aliyetoa habari njema juu ya matumizi ya vyeti vya rafiki kupata kusoma mpaka kupata ajira na kupata vyeo! Kuna sehemu nyingi sana wahalifu au watu ambao siyo raia wemetumia chama kujificha na hakuna wakuwasema yaani kuna kulindana!!!
 
Sisi wanyonge tumekaguliwa vyeti.Ni wakati wa wateule nao wakaguliwe.
 
Back
Top Bottom