kibulambwana
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 141
- 30
Wampeleke gwajima kwanza, acha kutetea upuuzi.
Yaa..wewe huoni ktk history ya maisha ya BASHITE baba YAKE akasema vitu vingine tuviache tu.,.Unataka kusema mpaka wazazi wake nao wanatuficha kakitu flani?![]()
Sasa vitu vingine tukiviacha tu kuna maswali yatakosa majibu! Ni utata mtupuYaa..wewe huoni ktk history ya maisha ya BASHITE baba YAKE akasema vitu vingine tuviache tu.,.
Kwa hili Daudi Kaota Mkia hata likija jambo kubwa namna gani Mkia wake hauta katika.Katika suala hili Makonda amedhihirisha ni mtu makini na mjanja sana. Anajua fika ngoma ya watanzania huwa haikeshi, hivyo katulia tulii maana anajua ikija kiki nyingine, watanzania wote watahamia kwenye kiki mpya. Ziko wapi kiki zifuatazo?
[HASHTAG]#bensaanane[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Njaa[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Ukame[/HASHTAG]
[HASHTAG]#freegodblesslema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ListMadawaYaKulevya[/HASHTAG]
[HASHTAG]#WabungenaMakonda[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ListMashoga[/HASHTAG]
#n.k
Ushahidi WA Nini ? Vetting mamlaka zitakuwa tayari kuonyesha zikivyo poyoyo ? NN uko kazini hapa kujaribu kumwokoa mhalifuAhahahaaa....kwa hiyo kumbe huyo Gwajima naye hakuuonyesha huo ushahidi anaodai anao.
Hivyo hatuwezi hata kujua kama kwamba [1] anao kweli na [2] ni ushahidi unaotosha na kuridhisha.
Hivyo hata yeye anaweza akawa anazusha tu ili kupoteza kabisa lengo na kuzua mparaganyiko tu.
Upo kazini hapa kujaribu kuzuia ukweli. Sidhani kama utaweza. Mkuu Wa ulinzi na usalama WA mkoa kanaswaAonyeshe vyeti ili iweje?
Kwa amri ya nani?
Na akionyesha mtakubali au mtahamisha magoli na kudai hivyo alivyovionyesha navyo ni feki?
Hii nchi bana....
Kwa hiyo ushahidi/ ithibati kuwa kweli kadanganya kuhusu vyeti vyake si suala la muhimu, sio?Ushahidi WA Nini ? Vetting mamlaka zitakuwa tayari kuonyesha zikivyo poyoyo ? NN uko kazini hapa kujaribu kumwokoa mhalifu
Sidhani kama anaokoleka kwa kuwa utetezi hautabadiri vyeti fake kuwa genuine
Angekuwa anasingiziwa kwa kimbelembele alichonacho tayari angewananga kina Gwajima nimatokeo yake kwa kubandika cheti chake.
Kanaswa
Jitahudini kusingizia kuwa anasemwa kwa kuwa anapambana na ngada mazwazwa WA ktz watawaunga mkono.
Huyu ni Mkuu Wa mkoa ndugu NNKwa hiyo ushahidi/ ithibati kuwa kweli kadanganya kuhusu vyeti vyake si suala la muhimu, sio?
Yeye ndiye mwenye ushahidi na ithibati ya uhakika kwa kuwa vyeti hutolewa kwa mhiitimu na sio jurani au ndugu. Wanamjua majina yake na Shule alizosona O,levelKwa hiyo ushahidi/ ithibati kuwa kweli kadanganya kuhusu vyeti vyake si suala la muhimu, sio?
Hujamsikia Gwajima akisema anao ushahidi ofisini kwake?Yeye ndiye mwenye ushahidi na ithibati ya uhakika kwa kuwa vyeti hutolewa kwa mhiitimu na sio jurani au ndugu. Wanamjua majina yake na Shule alizosona O,level
Kuweka Mambo sawa yeye aweke vyeti vyake
Gwajima atakuwa na nakala tu naamini vyeti orijino anavyo Paul na sio DaudHujamsikia Gwajima akisema anao ushahidi ofisini kwake?
Itakua ni kesi ya Madai na sio jinai.Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Itakua ni kesi ya Madai na sio jinai.Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Ndy maana inasemekana wazazi wake pia wamefundishwa jinsi ya kuongea... DAUDI BASHITE sio MTU wa spot spotSasa vitu vingine tukiviacha tu kuna maswali yatakosa majibu! Ni utata mtupu
Sasa wewe mzee na umri wako wote unakuwa mfuasi wa mwenyekiti aliyezungusha kidato cha NNE. Mtu ambaye ana tuhuma za mihadarati na kuuza chama!Amini usiamini vilaza wa kutupwa nchini Tanzania waliweza kuungaunga elimu hadi wengine wao wakaukwaa uprofessa. Hebu fikiria mtu aliyepata sufuri darasa la saba, akapata sufuri darasa la kumi na mbili, akapata mwanya wa kutoka nje ya Tanzania na baada ya miaka kumi anarudi akiwa ni profesa na kuanza kufundisha chuo kikuu! Huu ni mfano moja tu kati ya mengi tu na kuficha na kukwepa fedheha inayoweza kuwapata wanakimbilia siasa...na wako wengi!
Yeyote anayemtetea Makonda namweka kwenye kundi hili...wanajishuku yanaweza yakawapata yanayompata Bashite hivyo lazima watafute namna ya kujihami. Ukipitia JF utakuta mada inayowasema madaktari wetu feki waliojaa kwenye taasisi mbalimbali. Mimi huyo Mange unayemsema hata simjui wala sisomi habari zake, nasikia tu akitajwa humu. Je na wewe Ibambasi uko kundini? Mkuki kachomwa Tomaso, mbona damu unavuja wewe?
Yani baada ya kuona hii comment ndo nimeamini kumbe kweli hilo ni jina lakeThe comment posted 8 months ago mentioning bashite family by name, and likewise mama Daudi complete the initial name, as Daudi Bashite.